Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeipenda sana style ya werema. Amempa kafulila za uso
Kwani ukweli ni upi maana Werema anasema fedha hazikuwa za watanzania bali za hao wanaogombana.
Werema ni kichwa balaa
Sio lugha nzuri kwa binadamu mwenzako. Usishabikie
Nimeipenda sana style ya werema. Amempa kafulila za uso
Werema alishalipwa mgao wa 2bilioni kwenye wizi wa 200bilioni.
Werema ni kichwa balaa