mjepo
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 4,913
- 919
Kwani kafulila siyo tumbili?Werema alishalipwa mgao wa 2bilioni kwenye wizi wa 200bilioni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kafulila siyo tumbili?Werema alishalipwa mgao wa 2bilioni kwenye wizi wa 200bilioni.
halafu hizi ngurue za Lumumba daah Zinatia hasira balaaWerema ni kichwa balaa
kafulila ni ngedere according to werema
wabunge kama kafulila na mnyika ni hasara tu wao mda wote ni kutaka kuuza sura na kuonekana badala ya kujadili mambo yenye msaada wa watanzania.
nimekubali mkuu werema ni kichaa balaa
Nimeipenda sana style ya werema. Amempa kafulila za uso[/Q
Werema anashikwa na hasira kwa sababu anajua kuwa karibu ataumbuka. Siku zote wabunge wa bunge lililopita waliitaka serikali inunue IPTL na kwavile yule Mechar alikuwa tayari kuiuzia serikali ya Tanzania 70% ya share zake hilo lingewezekana lakini haikiwa hivyo. Fisadi Jairo akiwa katibu mkuu wa wizara ya nishati ndio aliyesuka hiyo dili ya kumuuzia huyu singasinga hizo shares ili waweze kukomba hizo hela za ESCROW!!
Kwani kafulila siyo tumbili?
Kafulila alimwambia WEREMA MWIZI baada ya yeye kuambiwa TUMBILI. Azuiliwa na mawaziri asitimize shambulio hilo jana bungeni.
Source magazeti ya leo: Mwananchi, Nipashe, Tanzania Daima, Mtanzania...