Pelekaroho
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 1,601
- 375
Uelewa mdogo wa viongozi wa bunge ndio chanzo, hawaoni kama kuna kitu ndani ya hoja ya Kafulila na wenzake. Hakili ndogo kuongoza kubwa ndo madhara yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Kikwete kakosa mtu wa kumpa u AG si ampe hata mwanae yule Mwanaasha kuliko hili zigo.
Mwanaasha yupo oxford
Werema is such an flop lawyer I have ever seen
Acha uongo ! You have seen it today kwa Werema
Werema amechoka kazi, analazimishwa tu kuendelea...
Ni kweli wakati Wao wanaongea Werema hakuomba mwongozo wa M/kiti wala hakuwaingilia ingilia alikaa kiimya hadi wakamaliza kuongea,tatizo lilianzia pale walipoanza kumwingilia ingilia ndipo akapoteza umakini kabsa ikawa Kama ilivyokuwa kwa Juma nkamia na Pia Peter Serukamba inapaswa Wabunge wawe wanavumilia kwanza Mtu amalize kuzungumza kisha wajibu kwa kufuata Kanuni, kinyume na hapo tutashuhudia Vioja zaidi ya hivi.
Sio lugha nzuri kwa binadamu mwenzako. Usishabikie
Tiba Pekee ni Kuandaa Pambano la ndondi Kati ya wale Wabunge wapinzani wa jadi angalau Serikali iingize Pesa kuliko malumbano kuishia hewani pasipo faida yeyote.
Si wametengeneza gym pale bungeni? Hayo ndo matokeo ya kunyanyua chuma,.. Kujiamini. Mbona wanashiriki mpira wa miguu,dansi,mpira wa pete,.. Tuone na ngumi za waheshimiwa,tukianza na hawa wanaotukanana,ifuate ya Lissu Vs Ndugai,Pinda Vs Mbowe, Lema Vs Nchemba, Komba Vs Mbatia...Wadhamani wapo wengi wanangojea Pambano la Ndondi Spika aandaa mapambano watu wajue nani zaidi kwenye nguvu za mikono na ni nani zaidi kwenye nguvu ya Mdomo kuchonga.
Hatuwezi moja kwa moja kuita kitendo cha Werema ni kupandwa na hasira. Ni ujinga tu na kukosa busara. Yeye amekuwa akitukana wabunge, hasa wa upinzani kila siku, wapo kimyaa, wanamvumilia. Jana alianza yeye kumtukana Kafulila kwamba ni tumbili, ujinga, ujinga mtupu. Lakini kuna jambo, hawa wenzetu wa mkoa wa Mara balaa. Tujikumbushe....
WASSIRA: Mbali na kuwa na matusi huyu alibatizwa jina la Tyson mchana kweupe katika ofisi za MAELEZO, Dar alipomuwinda kama swala na hatimaye kumpiga Mhariri wa gazeti la DIRA ati kwa kuandika Wassira ni swahiba wa Mrema. Neno "swahiba" kwa Wassira akasema ni tusi na kuanza kumsaka na hatimaye kumpiga! MUSOMA hiyo!
MUHONGO: Huyu anaamini watu waliosoma hapa nchini ni wale waliosomea elimu ya miamba, mawe. Hutukana karibu kila anaposimama bungeni. MUSOMA hiyo!
WEREMA: Huyu ndo kiboko maana yeye huwa hata anafikia kujisifu "sisi watu wa Musoma". Matusi mtindo mmoja na kwa kutokemewa huko nyuma jana alifikia hatua ya kutaka kupigana bungeni. MUSOMA hiyo!
Jamii gani hii ya watu wa kufikia cheo cha Waziri ama Mwanasheria Mkuu ndimi zao zinatema matusi na kutaka kupigana? Wanadai ati huko kwao Musoma kupigana ama kutukana ni SIFA. SIFA???????? Kubwa jinga!