Sakata la Fei Toto na Yanga SC, hatimaye ukweli wajulikana

wamejikita kwenye umbea sasaiv badala ya kuangalia mechi inayo kuja watafanyaje wasibakwe tena [emoji23][emoji23][emoji23] simba sasaiv ni timu ya wagaga njaaa
Hivi kwani nyie hamna mechi inayokuja, naona mnatuwazia sana klabu ya taifa, mnyama mkali, msijali sisi ndio wenyewe.[emoji1306][emoji1306]
 
Habari ndio hiyo.. wameona pengo la dogo.

Mkimuona Fei amerudi mjue habari ndio hiyo hapo juu.
Il misimu hii miwili mpo vizuri kujua habari za Yanga, vp humo hawaja zungumzia mkataba wa Sportpesa maana msimu huu mmejikita kwenye kuchambua mikataba.

Nasikia jezi zipo Ethiopia zinapigwa pasi, vip hii habari nayo wameiandika maana ina wahusu si unajua Simba ni timu kubwa hawezi kuvaa jezi zisizo pigwa pasi.
 
Hivi kwani nyie hamna mechi inayokuja, naona mnatuwazia sana klabu ya taifa, mnyama mkali, msijali sisi ndio wenyewe.[emoji1306][emoji1306]
Sasa mbona mnapigawa kijinga sana shida inazia pale viongozi na wachezaji mnawalisha mlenda
 
ILa misimu hii miwili mpo vizuri kujua habari za Yanga, vp humo hawaja zungumzia mkataba wa Sportpesa maana msimu huu mmejikita kwenye kuchambua mikataba...
Kingine walichozungumzia ni ujinga wa utopolo kwenye mikataba wanayoingia, wamewashauri mkajifunze msimbazi wao huwa wanafanya nini ili kuepuka aibu ya kupanda boti kwenda kupiga magoti Zanzibar..
 
Kama ni kweli, Haitamaye Fei kashinda vita ya maslahi. Wale waliokuwa wanafurahia kuwa atazeekea benchi wameshindwa. Mtu ambaye hakufata taratibu kapewa mkataba mpya wenye umate mate. Inapendeza.
 
Wewe nawe na usomi wote uho unasikiliza habari za redio mbao?
 
Sawa tunjifunza kwenu kwa mengi mpaka kupiga pasi jezi Ethiopia.

Sasa si mlisema kishauzwa mbona hachezi.
 
Hili liwe funzo, na TFF waache ujinga wao wa kuwalinda wavunja sheria, wanatuharibia mpira wetu wala hawastahili kuwepo ofisini muda huu.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Sawa tunjifunza kwenu kwa mengi mpaka kupiga pasi jezi Ethiopia.

Sasa si mlisema kishauzwa mbona hachezi.
Habari ya kuuzwa uliiona wapi utuwekee hapa nasi tuione?
 
Mna wanyanya wachezaji bhna ivi ile daladala yenu mlio kuwa mnakuja nayo uwanjani mlisha ipeleka gereji kweli au tuwasaidie
Wanyanya, hebu andika kiswahili, japo najua Fei kapiga upper cut unaugulia maumivu mtani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sawa ile daladala vip tena mbona mnakuwa kama timunya kutoka buza
 
Wewe nawe na usomi wote uho unasikiliza habari za redio mbao?
Hoja yangu nimeanza kwa maneno " Kama ni kweli" Na hata kama si kweli bado sala zangu zipo kwa Fei apate maslahi yanayolingana na mchango wake, ikishindikana Yanga basi nje ya Yanga.
 
Back
Top Bottom