Sakata la Fei Toto na Yanga SC, hatimaye ukweli wajulikana

Unataka ushahidi upi hushawahi kuniona humu nimesema Fei kauzwa.

Mimi nimeona humu JF mashabiki wenzako wa Simba waliscreenshot kutoka kwenye page za Jemedari na Dauda kwamba Feisal amuzwaa baada ya kununua mkataba kwa 110m, wenzako hao hao wakapost barua yake ya kuwaaga Yanga kwamba anaenda Uarabuni, wakapost mpaka clip akiwa kwenye gym Uarabuni.

Au kwani humu wanaongoza kujadili mkataba wa Feisal wakina nani ,maana hata hii habari si umeileta ww kama wenzako walivyoleta hizo screenshot toka kwa Jemedari ,Dauda na Page yake mwenyewe Feisal au.........
Mbona hauna msimamo, mara useme mimi, mara wenzangu, mara Jemedari na Shafih[emoji1787][emoji1787]
 
We huwajui wabongo kwa fitna Fei ni ganda la muwa for now likiisha utamu atatupiwa chungu aone kivuno! Yani siku akishuka kiwango tunamrudisha JKU au SBS! Klabu ni kubwa kuliko mchezaji.itabaki hivyo! Yes for now Feitoto ni tegemeo Utopoloni kwetu tunakubali na kupiga magoti, kwani kupiga magoti sh ngapi si tunataka mabao ya dogo Mwendokasi Fei
Muhimu kwa sasa mlienda Zanzibar kumpigia Fei magoti, hayo mengine ya maganda ya muwa, naona tuyaache shambani.
 
Uliandika mimi niliwahi andika humu jf Fei kauzwa timu fulani, ndio nataka ushahidi huo toka kwako.
Hebu refer sehemu niliyosema niliyo kutaja ni WEWE....... itafute kwenye comment zangu may labda hujui kiswahili.
 
Salaam..!!

Kama tujuavyo lile sakata la Fei na Yanga kuhusu suala la mkataba namna lilivyoendeshwa kwa magumashi na TFF kwa kushirikiana na wanasiasa, na jinsi maamuzi ya kesi ile yalivyokuwa ya ajabu, baada ya TFF kudai Fei ni mchezaji wa Yanga Sc bila kusema amekiuka vipengele gani kwenye mkataba wake...

Sasa taarifa zilizopo rasmi ni kwamba, Fei Toto amesaini mkataba mpya na utopolo wenye thamani ya milioni 350 za kitanzaniaa ili kurejea jangwani, mpaka kufikia hapa, inaonesha wazi, Fei ndie alikuwa na haki kwenye lile sakata.

Kwasababu, huwezi kwa akili ya kawaida ukamuongezea mkataba mpya muajiriwa wako aliyevunja mkataba wa awali kinyume cha sheria, kitendo cha uto kumuongezea Fei mkataba kinaonesha mchezaji ndie alikuwa na haki, na bado ni tegemeo kwao, ndio maana Nabi kila siku alikuwa akihangaika kupiga simu za kubembeleza kwa mchezaji.

Mwisho nitoe wito kwa wanasheria wetu wa makaratasi hapa JF, haya mambo ya kisheria siku zote sio ya kukariri kama hesabu za darasani, eti kilichopo kwenye mkataba wako, lazima kiwepo kwenye mkataba wa mwenzio, huko ni kujidanganya, kisheria kila mkataba unaamuliwa na vipengele vilivyopo kwenye mkataba husika, sio nje ya hapo.View attachment 2518937
Sasa ukiona Fei na Yanga wamemalizana ujue TFF walikuwa sahih cos walikuambia akaakae na Yanga wamalizane! Sasa si wamemalizana baada ya kukaa wenyewe?
 
Eti umeandika nini?

Umeletewa shauri ili kulitolea maamuzi, halafu unawaambia tena wakakae chini wamalizane, maana yake unayetakiwa kutoa maamuzi hujitambui, huijui kazi yako.

Wewe mwenzio kapanda boti kaenda kutulia kwao, unamfuata huko kumbembeleza, kama haki ni yako unabembeleza nini? mpaka hapo hujajua haki ilikuwa upande upi? wacha utani.
 
Wewe nionyeshe wapi nilipo kuambia ww umeleta....... kumbe kiswahili kwako ni kigumu.
Kweli huko kwenu wenye akili ni wawili tu..

Umeandika "mlisema" hujui hapo umeniunganisha na hao wengine? ndio nikakwambia nioneshe mimi niliungana nao wapi, ajabu unanitajia majina ya Jemedari, Shafii, sijui na nini kingine...
 
Salaam..!!

Kama tujuavyo lile sakata la Fei na Yanga kuhusu suala la mkataba namna lilivyoendeshwa kwa magumashi na TFF kwa kushirikiana na wanasiasa, na jinsi maamuzi ya kesi ile yalivyokuwa ya ajabu, baada ya TFF kudai Fei ni mchezaji wa Yanga Sc bila kusema amekiuka vipengele gani kwenye mkataba wake...

Sasa taarifa zilizopo rasmi ni kwamba, Fei Toto amesaini mkataba mpya na utopolo wenye thamani ya milioni 350 za kitanzaniaa ili kurejea jangwani, mpaka kufikia hapa, inaonesha wazi, Fei ndie alikuwa na haki kwenye lile sakata.

Kwasababu, huwezi kwa akili ya kawaida ukamuongezea mkataba mpya muajiriwa wako aliyevunja mkataba wa awali kinyume cha sheria, kitendo cha uto kumuongezea Fei mkataba kinaonesha mchezaji ndie alikuwa na haki, na bado ni tegemeo kwao, ndio maana Nabi kila siku alikuwa akihangaika kupiga simu za kubembeleza kwa mchezaji.

Mwisho nitoe wito kwa wanasheria wetu wa makaratasi hapa JF, haya mambo ya kisheria siku zote sio ya kukariri kama hesabu za darasani, eti kilichopo kwenye mkataba wako, lazima kiwepo kwenye mkataba wa mwenzio, huko ni kujidanganya, kisheria kila mkataba unaamuliwa na vipengele vilivyopo kwenye mkataba husika, sio nje ya hapo.View attachment 2518937
Mna mechi na Raja keshokutwa, jikiteni kupata matokeo siyo kujificha nyuma ya mikataba ya wachezaji wa Yanga.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kweli huko kwenu wenye akili ni wawili tu..

Umeandika "mlisema" hujui hapo umeniunganisha na hao wengine? ndio nikakwambia nioneshe mimi niliungana nao wapi, ajabu unanitajia majina ya Jemedari, Shafii, sijui na nini kingine...
Mlisema lina apply kwa watu wangapi?
 
Nilipoona Mambo yapo wazi nikajua Kuna reliable source umeiweka kumbe ni haya magazeti yanayochambiwa chooni?, Una uhakika gani na uliyoyasema? Je kama Fei kaomba Mambo yaishe aongeze mkataba?. Fei huyu si aliwaambia hataki kucheza Yanga? Huo mkataba ameongeza ili acheze Tp mazembe?. Puuzi wewe wahediiiii
 
Peleka ushahidi wako mahala husika gazeti lifungiwe kama limeandika uongo, Fei kawavua nguo msilete makasiriko yenu.
 
Back
Top Bottom