Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio mkanda unaofuata, na haki yao wataipata, GSM atake asitake!... haya sasa pambaneni na kwa sportpesa nao wapate haki yao
Wataliaa mapoyoyo hawa wasiojua sheria za MikatabaSasa bado SportPesa 😁
Kiherehere ni kawaida kwa wamama wa nyumbaniWako watu huko Ethiopia, muhimu Fei kawapiga stick.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli Yanga imejua kuwanyoosha. Hamuwazi tena makombe sasahivi, anyway kila mtu abembeleze wachezaji wake kama anaona inafaa.. lini nanyie mtaenda kumbembeleza mzungu[emoji1787][emoji1787] ili arudi??Heeee,mbona unahamisha mjadala mzee wa kazi,FEI kawashika Makalio,mwiko UMECHOMOLEWA,Hahaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mzenji yule ni NOMA aiseee,sikutegemea kama kumbe kwenye Mikataba Mu mambumbumbu kiasi hicho,angalieni na sportpesa wasije kuwafilisi tu mkataka kuandamana Bungeni kuwasemelea kwa MAMA,hamkawii nyie,Hahahaaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli Yanga imejua kuwanyoosha. Hamuwazi tena makombe sasahivi, anyway kila mtu abembeleze wachezaji wake kama anaona inafaa.. lini nanyie mtaenda kumbembeleza mzungu[emoji1787][emoji1787] ili arudi??
Sio kubembeleza ana makataba na YangaYes, ni mchezaji wa Yanga baada ya kwenda Zanzibar kubembeleza na kumpa mkataba mpya mzito zaidi kama alivyotaka[emoji1756][emoji1756]
Acheni longolongo toeni pesa, kazi kuwapunja wazawa tu, fei kawazindua wachezaji wazawa waanze kulipa kutokana na michango yao kwenye timu, eti fei mchezaji wenu haya mbona hachezi? Au majeruhi?Mkuu umekunywa chai kwanza? Asubuhi yote hii unaiwaza Yanga? Hivi kwanza ulishajua ilipo bil 20 ya udhamini wa Mo hapo Simba...
Hili swala haliwezi kuwa rahisi hivi kama mleta mada anavyodhani nashangaa hata watu wanavohangaika kubishana nae.Nimemsikia wakilo wa Feisal akipinga swala hili
Inavyoonekana hili jambo limeibuliwa upya kama propaganda tu
Nakurekebisha kidogo,mwiko umeshindiliwaHeeee,mbona unahamisha mjadala mzee wa kazi,FEI kawashika Makalio,mwiko UMECHOMOLEWA,Hahaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kwani mchezaji hawezi kupewa mkataba mpya kabla ya wa awali kufika tamati? Kwa maamuzi ya tff,Fei ni mchezaji wa Yanga na hajavunja mkataba.Salaam..!!
Kama tujuavyo lile sakata la Fei na Yanga kuhusu suala la mkataba namna lilivyoendeshwa kwa magumashi na TFF kwa kushirikiana na wanasiasa, na jinsi maamuzi ya kesi ile yalivyokuwa ya ajabu, baada ya TFF kudai Fei ni mchezaji wa Yanga Sc bila kusema amekiuka vipengele gani kwenye mkataba wake.
Sasa taarifa zilizopo rasmi ni kwamba, Fei Toto amesaini mkataba mpya na utopolo wenye thamani ya milioni 350 za kitanzaniaa ili kurejea jangwani, mpaka kufikia hapa, inaonesha wazi, Fei ndie alikuwa na haki kwenye lile sakata.
Kwasababu, huwezi kwa akili ya kawaida ukamuongezea mkataba mpya muajiriwa wako aliyevunja mkataba wa awali kinyume cha sheria, kitendo cha uto kumuongezea Fei mkataba kinaonesha mchezaji ndie alikuwa na haki, na bado ni tegemeo kwao, ndio maana Nabi kila siku alikuwa akihangaika kupiga simu za kubembeleza kwa mchezaji.
Mwisho nitoe wito kwa wanasheria wetu wa makaratasi hapa JF, haya mambo ya kisheria siku zote sio ya kukariri kama hesabu za darasani, eti kilichopo kwenye mkataba wako, lazima kiwepo kwenye mkataba wa mwenzio, huko ni kujidanganya, kisheria kila mkataba unaamuliwa na vipengele vilivyopo kwenye mkataba husika, sio nje ya hapo.
View attachment 2518937
Kama alikua na haki si angeenda cas Kama alivyodai!!..kuboresha mkataba unaelewa ni kitu gani!?Na wale wengine waliokuwa wakijidanganya Fei ameachwa peke yake hana support tena, habari hizo ziwafikie, sasa ni wazi, utopolo kama kawaida yenu hamjui kuingia mikataba itakayowalinda, matokeo yake kila siku nyie ni vurugu na wachezaji wenu, au wadhamini.
Viongozi wenu wamelazimika kumfuata Zanzibar na kumbembeleza, hatimaye wakakubali kufikia makubaliano na mchezaji kwa kumpa alichotaka, mshahara wa tsh. 15 milioni kwa mwezi, kwa miaka miwili, sio kelele za mitandaoni
Muhimu kwenu muende darasani kujifunza haya mambo, ubishi wa mitandaoni ni kujidanganya tu, na kuwaponza viongozi wenu wasio na kitu kichwani, kwani hata kama mkifichiwa aibu na TFF, lakini bado ukweli lazima iko siku utajulikana tu, kama ilivyotokea kwa Fei.
Hapa wewe umetawaliwa na Hisia (Emotional) sio mkataba! Ujue mkataba unalimdwa sheria na sheria ndiyo utaratibu, kwaiyo TFF walichofuata wao ni taratibu sio Emotional kama zakoEti umeandika nini?
Umeletewa shauri ili kulitolea maamuzi, halafu unawaambia tena wakakae chini wamalizane, maana yake unayetakiwa kutoa maamuzi hujitambui, huijui kazi yako.
Wewe mwenzio kapanda boti kaenda kutulia kwao, unamfuata huko kumbembeleza, kama haki ni yako unabembeleza nini? mpaka hapo hujajua haki ilikuwa upande upi? wacha utani.
Makambo ana mshahara kuliko Fei[emoji1787][emoji1787]Hilo la kuangalia timu itashindaje ni la wachezaji, benchi la ufundi na uongozi sisi mashabiki hatuhusiki, yote kwa yote Fei kapata anachostahili sio kunyonywa, eti makambo ana mshahara mkubwa kuliko fei,