Sakata la Fei Toto na Yanga SC, hatimaye ukweli wajulikana

Salaam..!!

Kama tujuavyo lile sakata la Fei na Yanga kuhusu suala la mkataba namna lilivyoendeshwa kwa magumashi na TFF kwa kushirikiana na wanasiasa, na jinsi maamuzi ya kesi ile yalivyokuwa ya ajabu, baada ya TFF kudai Fei ni mchezaji wa Yanga Sc bila kusema amekiuka vipengele gani kwenye mkataba wake...

Sasa taarifa zilizopo rasmi ni kwamba, Fei Toto amesaini mkataba mpya na utopolo wenye thamani ya milioni 350 za kitanzaniaa ili kurejea jangwani, mpaka kufikia hapa, inaonesha wazi, Fei ndie alikuwa na haki kwenye lile sakata.

Kwasababu, huwezi kwa akili ya kawaida ukamuongezea mkataba mpya muajiriwa wako aliyevunja mkataba wa awali kinyume cha sheria, kitendo cha uto kumuongezea Fei mkataba kinaonesha mchezaji ndie alikuwa na haki, na bado ni tegemeo kwao, ndio maana Nabi kila siku alikuwa akihangaika kupiga simu za kubembeleza kwa mchezaji.

Mwisho nitoe wito kwa wanasheria wetu wa makaratasi hapa JF, haya mambo ya kisheria siku zote sio ya kukariri kama hesabu za darasani, eti kilichopo kwenye mkataba wako, lazima kiwepo kwenye mkataba wa mwenzio, huko ni kujidanganya, kisheria kila mkataba unaamuliwa na vipengele vilivyopo kwenye mkataba husika, sio nje ya hapo.View attachment 2518937
Fisal still ni mchezaj wa Yanga mbona umeandika ngonjera nyingi zisizokua na maana ila swala la feisal inaonekana lina kuuma
 
Hongera kwa nyie wanaharakati wa fei toto na sportpesa, haya sasa pambaneni na kwa sportpesa nao wapate haki yao
 
Wanachosema ili kuwadanganya mashabiki wao, na wanachotenda ni vitu viwili tofauti.

Time will tell.
Sio kudanganya mashabiki acha ujinga, fesial alikua na mkataba na Yanga na still Yanga wanauhuru wa kuongeza (extend) mkataba nchi ina wajinga wengi
 
Salaam..!!

Kama tujuavyo lile sakata la Fei na Yanga kuhusu suala la mkataba namna lilivyoendeshwa kwa magumashi na TFF kwa kushirikiana na wanasiasa, na jinsi maamuzi ya kesi ile yalivyokuwa ya ajabu, baada ya TFF kudai Fei ni mchezaji wa Yanga Sc bila kusema amekiuka vipengele gani kwenye mkataba wake...

Sasa taarifa zilizopo rasmi ni kwamba, Fei Toto amesaini mkataba mpya na utopolo wenye thamani ya milioni 350 za kitanzaniaa ili kurejea jangwani, mpaka kufikia hapa, inaonesha wazi, Fei ndie alikuwa na haki kwenye lile sakata.

Kwasababu, huwezi kwa akili ya kawaida ukamuongezea mkataba mpya muajiriwa wako aliyevunja mkataba wa awali kinyume cha sheria, kitendo cha uto kumuongezea Fei mkataba kinaonesha mchezaji ndie alikuwa na haki, na bado ni tegemeo kwao, ndio maana Nabi kila siku alikuwa akihangaika kupiga simu za kubembeleza kwa mchezaji.

Mwisho nitoe wito kwa wanasheria wetu wa makaratasi hapa JF, haya mambo ya kisheria siku zote sio ya kukariri kama hesabu za darasani, eti kilichopo kwenye mkataba wako, lazima kiwepo kwenye mkataba wa mwenzio, huko ni kujidanganya, kisheria kila mkataba unaamuliwa na vipengele vilivyopo kwenye mkataba husika, sio nje ya hapo.View attachment 2518937
Vipi wamekukasirisha sana[emoji3][emoji848]eti njombi umeudhika sana
 
Mkuu umekunywa chai kwanza? Asubuhi yote hii unaiwaza Yanga? Hivi kwanza ulishajua ilipo bil 20 ya udhamini wa Mo hapo Simba?

Yanga ilishatoa tamko Feitoto ni mchezaji wake na kama kuna timu inayomuitaji ije mezani, vipi tuna timu ilijitokeza? Hebu tuambie kama Feitoto angekuwa mchezaji huru ilishindikana vipi iyo timu inayomtaka ishindwe kujitangaza hadharani paka Leo?

Aya hebu leta huo ushahidi unaosema Yanga wamebembeleza na kumpigia magoti ili arudi, Halafu hata kama wamebembeleza sio kitu cha ajabu top players Dunia nzima huwa kuna special treatment ya kuwahandle refer Mbape hapo PSG n.k

Mwisho, Kurudi kwa Feitoto Yanga jua ni habari mbaya sana kwa Simba kwani Yale mashuti yataendelea kuwaumiza
Screenshot_20230113-230916.jpg
 
Gongo wazi kanda mbili

Kazi yao kuvunja vipengele katika mikataba, ngoja ipo siku tuta washitaki MIGA

Hawataki kuvaa nembo sahihi ya mdhamini
Walianza kwa vodacom na sasa nbc, pamoja na mikataba sheria na kanuni za tff kuwa wazi

Nembo ya GSM ni red lakini wamebadil rangi

Mikataba ya wachezaji na makocha ni kisanga kuna muda mpaka CAS na Fifa wana ingilia kati
Tuzungumze kidogo Mkuu.

Kwa kuitaja MIGA, bila shaka upo vizuri kwenye mambo ya Foreign Direct Investment, Right?

Kama ni ndiyo, Unatambua MIGA primarily ipo kwa ajili ya ku-offer insurance/guarantee kwa Foreign Investors against Political risks and Non Commercial risks. I hope tupo pamoja hadi hapo.

Sasa, Tunaweza vipi kuishtaki Club(Yanga) MIGA?

Yaani.....Why? and How?
 
Fisal still ni mchezaj wa Yanga mbona umeandika ngonjera nyingi zisizokua na maana ila swala la feisal inaonekana lina kuuma
Yes, ni mchezaji wa Yanga baada ya kwenda Zanzibar kubembeleza na kumpa mkataba mpya mzito zaidi kama alivyotaka[emoji1756][emoji1756]
 
Sio kudanganya mashabiki acha ujinga, fesial alikua na mkataba na Yanga na still Yanga wanauhuru wa kuongeza (extend) mkataba nchi ina wajinga wengi
Fei aligoma kuchezea utopolo, wacha uzwazwa wako, mpaka mmebembeleza kwa mkataba mpya.

Hii sio sawa na mchezaji kuongezewa mkataba akiwa anaendelea kuitumikia klabu yake kama unavyodhani, bwege!.

Fei juu... malizia Juu zaidi[emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu umekunywa chai kwanza? Asubuhi yote hii unaiwaza Yanga? Hivi kwanza ulishajua ilipo bil 20 ya udhamini wa Mo hapo Simba?

Yanga ilishatoa tamko Feitoto ni mchezaji wake na kama kuna timu inayomuitaji ije mezani, vipi tuna timu ilijitokeza? Hebu tuambie kama Feitoto angekuwa mchezaji huru ilishindikana vipi iyo timu inayomtaka ishindwe kujitangaza hadharani paka Leo?

Aya hebu leta huo ushahidi unaosema Yanga wamebembeleza na kumpigia magoti ili arudi, Halafu hata kama wamebembeleza sio kitu cha ajabu top players Dunia nzima huwa kuna special treatment ya kuwahandle refer Mbape hapo PSG n.k

Mwisho, Kurudi kwa Feitoto Yanga jua ni habari mbaya sana kwa Simba kwani Yale mashuti yataendelea kuwaumizaView attachment 2519005
Huu uzi sio wa bil 20, tafuta kivuli utulie[emoji1787][emoji1787]

Leo ndio umejua Fei ni top player, sio bora aende tena...

Na bado.
 
Ahueni mashabiki wa simba mtapumua sasa. Maana hilo sakata liliwavuruga kiasi cha kuitelekeza timu yenu kwa muda.
Nilikuwa nikuulizie sasa hivi, bahati yako[emoji1787][emoji1787]
 
Wamejikita kwenye umbea sasahivi badala ya kuangalia mechi inayokuja watafanyaje wasibakwe tena 😂😂😂 simba sasahivi ni timu ya waganga njaaa
Hilo la kuangalia timu itashindaje ni la wachezaji, benchi la ufundi na uongozi sisi mashabiki hatuhusiki, yote kwa yote Fei kapata anachostahili sio kunyonywa, eti makambo ana mshahara mkubwa kuliko fei,
 
Sasa taarifa zilizopo rasmi ni kwamba, Fei Toto amesaini mkataba mpya na utopolo wenye thamani ya milioni 350 za kitanzaniaa ili kurejea jangwani, mpaka kufikia hapa, inaonesha wazi, Fei ndie alikuwa na haki kwenye lile sakata.
Anarudi tena jangwani ?...hakupata timu huko Uarabuni ?
 
Back
Top Bottom