Sakata la Fei Toto na Yanga SC, hatimaye ukweli wajulikana

Sakata la Fei Toto na Yanga SC, hatimaye ukweli wajulikana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli Yanga imejua kuwanyoosha. Hamuwazi tena makombe sasahivi, anyway kila mtu abembeleze wachezaji wake kama anaona inafaa.. lini nanyie mtaenda kumbembeleza mzungu[emoji1787][emoji1787] ili arudi??
Hamjui sheria utopolo, kunyoosha nini..
 
H

Hapa wewe umetawaliwa na Hisia (Emotional) sio mkataba! Ujue mkataba unalimdwa sheria na sheria ndiyo utaratibu, kwaiyo TFF walichofuata wao ni taratibu sio Emotional kama zako
Mkataba ulimruhusu fei kuvunja na kulipa milioni 112, fei sio chizi hujiulizi kwanini hakuweka mil200 kwenye akaunti ya yanga
 
Hili swala haliwezi kuwa rahisi hivi kama mleta mada anavyodhani nashangaa hata watu wanavohangaika kubishana nae.
Unajua kujipa moyo, kila siku nakuona unavyojitahidi, eti haliwezi kuwa rahisi, kama vile unajua wanachofanya viongozi wako nyuma ya pazia[emoji1787][emoji1787]
 
Ila mimi kama Fei karudi nafurahi kwani he is too young to Evaporate..
He won't evaporate coz ana kipaji, ndio maana kocha wake halali kila siku anahangaika kumpigia simu, na kocha alishakiri mipango yake kwenye timu haiendi bila Fei.
 
Kama kweli mwanasheria wa Fei anaamini hii taarifa ni ya uongo, aseme amechukua hatua gani za kisheria kwa hili gazeti, sio anakuja na jibu jepesi tu halafu utopolo wanaamini.

Watu wana vyanzo vyao vya taarifa hawawezi kuandika uongo tu for the sake of it, hata wao wanajua wanabanwa na sheria na lazima walinde hadhi ya chombo chao, tena awe makini kuchafua media za watu, asije kushtakiwa yeye.
 
H

Hapa wewe umetawaliwa na Hisia (Emotional) sio mkataba! Ujue mkataba unalimdwa sheria na sheria ndiyo utaratibu, kwaiyo TFF walichofuata wao ni taratibu sio Emotional kama zako
Hisia ziko wapi? kama mtu kavunja mkataba mlioingia nae, kwanini mpande boti kwenda kubembeleza kwao badala ya kumshtaki panapohusika?

Hujiulizi iweje Fei akunje nne Unguja, halafu viongozi wenu ndio kiguu na njia[emoji1787][emoji1787]

Hebu kaa kwa kutulia.
 
Mimi ni shabiki wa yanga ,nilitamani sana Fei arudi wanaosema No fei no problem nilikuwa nawaona ni wapuuzi Fei aliisaidia yanga pakubwa sana tulichotaka kumfanyia akikuwa kizuri tumechukua ubingwa Unbeaten Fei akiwa kati dimbani leo hii tuje tumthamini Mgeni kuliko wa kwetu na kingiñe TFF ni wapuuzi ili swala la FEI wao walitakiwa kuwa kati kati kama washauri wa kufanikisha kupatikana suruhu, tofauti na wao walivyolichukulia na kumkandamiza Fei mchezaji wao wa timu ya Taifa.
 
Back
Top Bottom