Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitu pekee ulichoshindwa kuelewa mimi sizungumzii habari ya gazeti. Ndio maana comment yangu ya kwanza nika kwambiaje ungetenganisha habari ya kunukuu na maoni yako binafsi. Kama usingekurupuka hapo tusingefika huku.Ungeweka mahaba niue pembeni utumie akili usingekuja na majibu ya ajabu sampuli hii.
Gazeti limeripoti unaita habari ya uongo, kisa ushabiki maandazi tu, hata hujui.vyombo vya habari vina ethics zao, wanafanya kazi chini ya sheria na taratibu, kama una ushahidi.wameandika uongo kawashtaki..
Wewe ni mjjnga unayejiona una akili, sio kosa lako, inawezekana kwenu wengine wote ni mazezeta, atleast wewe ndie unajua kusoma na kuandika JF!.
Kama huzungumzii habari ya gazeti, unazungumzia maoni yangu binafsi, basi kama ungekuwa na akili kidogo tu ungejua nina haki ya kutoa maoni yangu, na kujiamulia niyaweke wapi, bila kuingiliwa na kilaza yeyote kama wewe, bahati mbaya hili hujui, akili hazikutoshi..Kitu pekee ulichoshindwa kuelewa mimi sizungumzii habari ya gazeti. Ndio maana comment yangu ya kwanza nika kwambiaje ungetenganisha habari ya kunukuu na maoni yako binafsi. Kama usingekurupuka hapo tusingefika huku.
Kuashiria wewe ni mbumbumbu wa mwisho umeanza kuni attack personally sasa kwa hali hiyo utaelewa nani zezeta [emoji23][emoji23]
Don't just comment because you have an electric device make sure your mental state is at easy. JF is educated young brother pull up ur sock bata we
Sasa nyinyi madunduka pilipili ya shamba inawawashia nini? Yanga wameshamalizana na mchezaji wao povu mnatoka nyinyi 😂😂Salaam..!!
Kama tujuavyo lile sakata la Fei na Yanga kuhusu suala la mkataba namna lilivyoendeshwa kwa magumashi na TFF kwa kushirikiana na wanasiasa, na jinsi maamuzi ya kesi ile yalivyokuwa ya ajabu, baada ya TFF kudai Fei ni mchezaji wa Yanga Sc bila kusema amekiuka vipengele gani kwenye mkataba wake.
Sasa taarifa zilizopo rasmi ni kwamba, Fei Toto amesaini mkataba mpya na utopolo wenye thamani ya milioni 350 za kitanzaniaa ili kurejea jangwani, mpaka kufikia hapa, inaonesha wazi, Fei ndie alikuwa na haki kwenye lile sakata.
Kwasababu, huwezi kwa akili ya kawaida ukamuongezea mkataba mpya muajiriwa wako aliyevunja mkataba wa awali kinyume cha sheria, kitendo cha uto kumuongezea Fei mkataba kinaonesha mchezaji ndie alikuwa na haki, na bado ni tegemeo kwao, ndio maana Nabi kila siku alikuwa akihangaika kupiga simu za kubembeleza kwa mchezaji.
Mwisho nitoe wito kwa wanasheria wetu wa makaratasi hapa JF, haya mambo ya kisheria siku zote sio ya kukariri kama hesabu za darasani, eti kilichopo kwenye mkataba wako, lazima kiwepo kwenye mkataba wa mwenzio, huko ni kujidanganya, kisheria kila mkataba unaamuliwa na vipengele vilivyopo kwenye mkataba husika, sio nje ya hapo.
View attachment 2518937
Bado unaonesha immaturity. Unasema uhuru wa kuandika yes kila mtu ana uhuru wa kuandika ila hapa JF tunawarekebisha vimburukutu kama wewe msilete habari za upotoshaji kwa sababu JF sio facebook kwa hiyo usiseme tu tunawaingilia uhuru wenu wewe ulitaka uandike tu utumbo wako halafu tusiusafishe na ndio maana nilikwambia organize sources zakoKama huzungumzii habari ya gazeti, unazungumzia maoni yangu binafsi, basi kama ungekuwa na akili kidogo tu ungejua nina haki ya kutoa maoni yangu, na kujiamulia niyaweke wapi, bila kuingiliwa na kilaza yeyote kama wewe, bahati mbaya hili hujui, akili hazikutoshi..
Najua unaficha maumivu ya kile nilichoandika, polee... ewe mjinga tambua huna mamlaka ya kuingilia uhuru wangu wa kutoa maoni, na wapi pakuyaweka, oky?
Ndio maana nimekwambia, wewe ni mjinga unaejiona mwerevu, na inawezekana hilo sio kosa lako, labda kwenu wote ni mazezeta isipokuwa wewe akili ndogo unaejua kusoma na kuandika jf, vipi, bado hunielewi?[emoji1787][emoji1787]🫣🫣
Kama umeshajua kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni inapendeza, huo ni ujinga wako wa kwanza unakiri nimekuondolea[emoji1787][emoji1787] na bora ukimbie kwasababu machozi unayotoa yatalowanisha server ya watu🫣🫣Bado unaonesha immaturity. Unasema uhuru wa kuandika yes kila mtu ana uhuru wa kuandika ila hapa JF tunawarekebisha vimburukutu kama wewe msilete habari za upotoshaji kwa sababu JF sio facebook kwa hiyo usiseme tu tunawaingilia uhuru wenu wewe ulitaka uandike tu utumbo wako halafu tusiusafishe na ndio maana nilikwambia organize sources zako
Mimi mpaka hapa nimemaliza sitaweza kuendelea kukutoa ujinga uliojaza kama wewe mwenyewe ushabeba vya kurithi. Dogo kwenye hii mada nimemaliza ila nakusihi acha ujinga kubali kurekebishwa wewe sio roboti. View attachment 2520044
Tafuta hela kwenye hiyo 350 M ya Fei hautapata hata buku. Upambe upambe wenzako wanapatia hela huo unaitwa ukunguni. Kwasababu chawa wote mjini wanalipwa we kunguni utaishia kunuka tu.Salaam..!!
Kama tujuavyo lile sakata la Fei na Yanga kuhusu suala la mkataba namna lilivyoendeshwa kwa magumashi na TFF kwa kushirikiana na wanasiasa, na jinsi maamuzi ya kesi ile yalivyokuwa ya ajabu, baada ya TFF kudai Fei ni mchezaji wa Yanga Sc bila kusema amekiuka vipengele gani kwenye mkataba wake.
Sasa taarifa zilizopo rasmi ni kwamba, Fei Toto amesaini mkataba mpya na utopolo wenye thamani ya milioni 350 za kitanzaniaa ili kurejea jangwani, mpaka kufikia hapa, inaonesha wazi, Fei ndie alikuwa na haki kwenye lile sakata.
Kwasababu, huwezi kwa akili ya kawaida ukamuongezea mkataba mpya muajiriwa wako aliyevunja mkataba wa awali kinyume cha sheria, kitendo cha uto kumuongezea Fei mkataba kinaonesha mchezaji ndie alikuwa na haki, na bado ni tegemeo kwao, ndio maana Nabi kila siku alikuwa akihangaika kupiga simu za kubembeleza kwa mchezaji.
Mwisho nitoe wito kwa wanasheria wetu wa makaratasi hapa JF, haya mambo ya kisheria siku zote sio ya kukariri kama hesabu za darasani, eti kilichopo kwenye mkataba wako, lazima kiwepo kwenye mkataba wa mwenzio, huko ni kujidanganya, kisheria kila mkataba unaamuliwa na vipengele vilivyopo kwenye mkataba husika, sio nje ya hapo.
View attachment 2518937
Tatizo langu huwa nafumua kwenye mishono bila ganzi[emoji1787][emoji1787]Tafuta hela kwenye hiyo 350 M ya Fei hautapata hata buku. Upambe upambe wenzako wanapatia hela huo unaitwa ukunguni. Kwasababu chawa wote mjini wanalipwa we kunguni utaishia kunuka tu.
Shida kubwa ya wewe mleta uzi unaandika ukiwa umehamaki na umepigwa butwaa inaonyesha kitendo cha fei kurudi yanga kimekuumiza isivyo kawaida na ni tofauti na marajio yako au matamanio yako, ulitakiwa kuleta hoja juu ya hicho ulichotuletea badala yake tunaona tu mara uto mara ooh mkataba mpya. Hayo mambo yako ungepeleka Instagram huko ndiko watu huandika bila sense jamii forum tunahitaji mtu atakaye tuletea habari za kueleweka sio huo unazi maandazi uliotuandikia.Salaam..!!
Kama tujuavyo lile sakata la Fei na Yanga kuhusu suala la mkataba namna lilivyoendeshwa kwa magumashi na TFF kwa kushirikiana na wanasiasa, na jinsi maamuzi ya kesi ile yalivyokuwa ya ajabu, baada ya TFF kudai Fei ni mchezaji wa Yanga Sc bila kusema amekiuka vipengele gani kwenye mkataba wake.
Sasa taarifa zilizopo rasmi ni kwamba, Fei Toto amesaini mkataba mpya na utopolo wenye thamani ya milioni 350 za kitanzaniaa ili kurejea jangwani, mpaka kufikia hapa, inaonesha wazi, Fei ndie alikuwa na haki kwenye lile sakata.
Kwasababu, huwezi kwa akili ya kawaida ukamuongezea mkataba mpya muajiriwa wako aliyevunja mkataba wa awali kinyume cha sheria, kitendo cha uto kumuongezea Fei mkataba kinaonesha mchezaji ndie alikuwa na haki, na bado ni tegemeo kwao, ndio maana Nabi kila siku alikuwa akihangaika kupiga simu za kubembeleza kwa mchezaji.
Mwisho nitoe wito kwa wanasheria wetu wa makaratasi hapa JF, haya mambo ya kisheria siku zote sio ya kukariri kama hesabu za darasani, eti kilichopo kwenye mkataba wako, lazima kiwepo kwenye mkataba wa mwenzio, huko ni kujidanganya, kisheria kila mkataba unaamuliwa na vipengele vilivyopo kwenye mkataba husika, sio nje ya hapo.
View attachment 2518937
Nashindwa kabisa kukuelewa kwani we jinsia gani? kichwa cha habari umesema sakata la fei toto ukweli umejulikana unakuja tena kwenye maelezo yako ya pili unasema ipo siku ukweli utajulikana!! Hivi unajielewa wewe? what a bogus, harafu unasema waende shule wakasome we shule ipi umetuonyesha hapo hata kujenga hoja hujui au ndio hizo degree za elimu kwa wote unazidisplay humu? Feisal aongeze mkataba yanga unaumia wewe mpaka unakuja JF kuonyesha maumivu yako yaani watu tujue umeumia, watu kama wewe huishia kuumwa vidonda vya tumbo, sonona na pressure maana umejaa husda na wivu wa mambo yasiyokuhusu.Na wale wengine waliokuwa wakijidanganya Fei ameachwa peke yake hana support tena, habari hizo ziwafikie, sasa ni wazi, utopolo kama kawaida yenu hamjui kuingia mikataba itakayowalinda, matokeo yake kila siku nyie ni vurugu na wachezaji wenu, au wadhamini.
Viongozi wenu wamelazimika kumfuata Zanzibar na kumbembeleza, hatimaye wakakubali kufikia makubaliano na mchezaji kwa kumpa alichotaka, mshahara wa tsh. 15 milioni kwa mwezi, kwa miaka miwili, sio kelele za mitandaoni
Muhimu kwenu muende darasani kujifunza haya mambo, ubishi wa mitandaoni ni kujidanganya tu, na kuwaponza viongozi wenu wasio na kitu kichwani, kwani hata kama mkifichiwa aibu na TFF, lakini bado ukweli lazima iko siku utajulikana tu, kama ilivyotokea kwa Fei.
Siju ni kipi kinawaumiza sana hawa Dunduka fc,ni kwamba wanamuonea huruma sana dogo kuliko wazazi walomzaa?,au ni ile performance yake ndo wanataka ikosekane pale kwetu,yes tunamuhitaji kwasababu hakuna mwenye performance yake nchi hii kwa wote iwe ametoka nje au wa ndani kwa timu zote,na ndo maana tulishakuwa na mazungumzo nae tangu kabla ya yy kuvunja mkataba ila dogo alihisi hatutaweza kufika dau aliloahidiwa kule kwingine that's why hakuwa anarespond kukaa mezani na uongozi hadi alipoamua kuvunja mkataba bila kufuata sheria,na kipengele cha kuvunja mkataba bila maridhiano katikati ya msimu hakipo,Fei alitakiwa asubir msimu huu uishe ndo avunje mkataba,Dunduka hilo hawalijui wao wanakomaa kusema kaonewa na bla bla kibao,unadhani hao wanasheria wake walishindwa kwenda CAS? na ilhali wao ndo walipambana na Morison?,ishu ya Morison ilikuwa nyepesi kuliko hii ya fei ndo maana wameamua kunyoosha mikono juu baada ya kupata maoni hadi ya wanasheria wa nje wanaojua masuala ya soka vizur,unadhani mwanasheria anakibali kirahisi kuacha pesa kirahisi hivyo?,wangeshinda hii kesi ya fei wangepiga pesa ndefu na pia wangejenga majina zaidi kwa wanasoka wengine wa ndani,acha wapige kelele wakidhani fei kaonewa ila wanasheria wanajua nje ndani,waendelee kumsikiliza yule bint Kazumari akidanganya kwa kuichukia kwake Young AfricansAchana na yanga pamba na simba yenu
Kitendo cha Fei kurudi Yanga kiniumize vipi wakati mimi ndie nilikuwa nasisitiza yeye ndie mwenye haki na sio Yanga SC waliobebwa na TFF kwenye maamuzi?Shida kubwa ya wewe mleta uzi unaandika ukiwa umehamaki na umepigwa butwaa inaonyesha kitendo cha fei kurudi yanga kimekuumiza isivyo kawaida na ni tofauti na marajio yako au matamanio yako, ulitakiwa kuleta hoja juu ya hicho ulichotuletea badala yake tunaona tu mara uto mara ooh mkataba mpya. Hayo mambo yako ungepeleka Instagram huko ndiko watu huandika bila sense jamii forum tunahitaji mtu atakaye tuletea habari za kueleweka sio huo unazi maandazi uliotuandikia.