Sakata la Fei Toto na Yanga SC, hatimaye ukweli wajulikana

Nilipoona Mambo yapo w upazi nikajua Kuna reliable source umeiweka kumbe ni haya magazeti yanayochambiwa chooni?, Una uhakika gani na uliyoyasema? Je kama Fei kaomba Mambo yaishe aongeze mkataba?. Fei huyu si aliwaambia hataki kucheza Yanga? Huo mkataba ameongeza ili acheze Tp mazembe?. Puuzi wewe wahed
Peleka ushahidi wako mahala husika gazeti lifungiwe kama limeandika uongo, Fei kawavua nguo msilete makasiriko yenu.
Toa akili za funza..
 
Nilipoona Mambo yapo w upazi nikajua Kuna reliable source umeiweka kumbe ni haya magazeti yanayochambiwa chooni?, Una uhakika gani na uliyoyasema? Je kama Fei kaomba Mambo yaishe aongeze mkataba?. Fei huyu si aliwaambia hataki kucheza Yanga? Huo mkataba ameongeza ili acheze Tp mazembe?. Puuzi wewe wahed

Toa akili za funza..
Hawa Mbumbumbu waliletewa Manzoki kuhesabu kura unadhani wana akili
 
Nadhani mleta mada ungepaswa kunukuu hii taarifa kutokana na source yako halafu ungetenganisha na maoni yako binafsi.

Hiyo inaonyesha, hiyo ina maana, mara sijui kwa msaada wa wanasiasa [emoji23][emoji23] sentensi kama hizi wapelekee wenzako kijiweni kwako. Mnalazimisha mambo kwa hisia zenu kwa kadri mihemuko inavyowasisimua.

Yanga itaua watu kwa presaure
 
Yajayo Yanafurahisha Sana, April Watakula Kichapo Kutoka Kwa Yanga Na Huku CAF Watatolewa Group Stage, Kombe La FA La Azam Watalikosa Pia Na Ligi Kuu Anachukua Yanga Tena, Hawa Jamaa Wanaweza Kujinyeaa Round Hii [emoji23]
 
Utopolo mna fani nyingi, mpaka kupiga ramli🫣🫣
 
Nadhani mleta mada ungepaswa kunukuu hii taarifa kutokana na source yako halafu ungetenganisha na maoni yako binafsi.

Hiyo inaonyesha, hiyo ina maana, mara sijui kwa msaada wa wanasiasa [emoji23][emoji23] sentensi kama hizi wapelekee wenzako kijiweni kwako. Mnalazimisha mambo kwa hisia zenu kwa kadri mihemuko inavyowasisimua.

Yanga itaua watu kwa presaure
Makasiriko ya nini? Fei ndio mbaya sio mimi, kama hutaki kusoma nilichoandika kisa unaumia, basi soma habari ya gazeti liko hapo[emoji1787][emoji1787]
 
Nilipoona Mambo yapo w upazi nikajua Kuna reliable source umeiweka kumbe ni haya magazeti yanayochambiwa chooni?, Una uhakika gani na uliyoyasema? Je kama Fei kaomba Mambo yaishe aongeze mkataba?. Fei huyu si aliwaambia hataki kucheza Yanga? Huo mkataba ameongeza ili acheze Tp mazembe?. Puuzi wewe wahed

Toa akili za funza..
Nyie wajinga sana, leo mnayaona magazeti mabaya kisa yameandika msichokipenda[emoji1787][emoji1787]

Utopolo brain at work!.
 
Katika sakata hili Feisal ndiye mshindi tena kibabe sana,toka mshahara wa milioni nne hadi milioni 15 huu ni ushindi wa kishindo.
 
Nilipoona Mambo yapo w upazi nikajua Kuna reliable source umeiweka kumbe ni haya magazeti yanayochambiwa chooni?, Una uhakika gani na uliyoyasema? Je kama Fei kaomba Mambo yaishe aongeze mkataba?. Fei huyu si aliwaambia hataki kucheza Yanga? Huo mkataba ameongeza ili acheze Tp mazembe?. Puuzi wewe wahed

Toa akili za funza..
Duh hii kali,kumbe huko Yanga mnachambia magazeti ndiyo maana mnaambiwa mna vinyesi kwenye chupi zenu
 
Makasiriko ya nini? Fei ndio mbaya sio mimi, kama hutaki kusoma nilichoandika kisa unaumia, basi soma habari ya gazeti liko hapo[emoji1787][emoji1787]
Sio makasiriko shida yenu mnalazimisha maoni binafsi yawe uhalisia. Kwa kuonesha kushindwa kabisa mnaanza kuingiza vihabari vya uongo ili kupata sympathy.

Bro JF imeelimika jaribu ku organize sources zako ndio ulete habari inayoeleweka
 
Nyie wajinga sana, leo mnayaona magazeti mabaya kisa yameandika msichokipenda[emoji1787][emoji1787]

Utopolo brain at work!.
Wewe ndio tahira unayeilau Tff kwakutoa huku dhidi ya fei!! Punguza utahira...
 
Sio makasiriko shida yenu mnalazimisha maoni binafsi yawe uhalisia. Kwa kuonesha kushindwa kabisa mnaanza kuingiza vihabari vya uongo ili kupata sympathy.

Bro JF imeelimika jaribu ku organize sources zako ndio ulete habari inayoeleweka
Ungeweka mahaba niue pembeni utumie akili usingekuja na majibu ya ajabu sampuli hii.

Gazeti limeripoti unaita habari ya uongo, kisa ushabiki maandazi tu, hata hujui.vyombo vya habari vina ethics zao, wanafanya kazi chini ya sheria na taratibu, kama una ushahidi.wameandika uongo kawashtaki..

Wewe ni mjjnga unayejiona una akili, sio kosa lako, inawezekana kwenu wengine wote ni mazezeta, atleast wewe ndie unajua kusoma na kuandika JF!.
 
Back
Top Bottom