Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,146
- 5,520
Nilipoona Mambo yapo w upazi nikajua Kuna reliable source umeiweka kumbe ni haya magazeti yanayochambiwa chooni?, Una uhakika gani na uliyoyasema? Je kama Fei kaomba Mambo yaishe aongeze mkataba?. Fei huyu si aliwaambia hataki kucheza Yanga? Huo mkataba ameongeza ili acheze Tp mazembe?. Puuzi wewe wahed
Toa akili za funza..Peleka ushahidi wako mahala husika gazeti lifungiwe kama limeandika uongo, Fei kawavua nguo msilete makasiriko yenu.