Hivi kwani nyie hamna mechi inayokuja, naona mnatuwazia sana klabu ya taifa, mnyama mkali, msijali sisi ndio wenyewe.[emoji1306][emoji1306]wamejikita kwenye umbea sasaiv badala ya kuangalia mechi inayo kuja watafanyaje wasibakwe tena [emoji23][emoji23][emoji23] simba sasaiv ni timu ya wagaga njaaa
Il misimu hii miwili mpo vizuri kujua habari za Yanga, vp humo hawaja zungumzia mkataba wa Sportpesa maana msimu huu mmejikita kwenye kuchambua mikataba.Habari ndio hiyo.. wameona pengo la dogo.
Mkimuona Fei amerudi mjue habari ndio hiyo hapo juu.
Si unajua wanawake hufuata yasiyowahusuWajikite kutatua shida zao sisi za kwetu tunazimudu
Sawa mama shumbanaFei sio mtu mzuri, kama nakuona vile[emoji24][emoji24]
Sasa mbona mnapigawa kijinga sana shida inazia pale viongozi na wachezaji mnawalisha mlendaHivi kwani nyie hamna mechi inayokuja, naona mnatuwazia sana klabu ya taifa, mnyama mkali, msijali sisi ndio wenyewe.[emoji1306][emoji1306]
Kingine walichozungumzia ni ujinga wa utopolo kwenye mikataba wanayoingia, wamewashauri mkajifunze msimbazi wao huwa wanafanya nini ili kuepuka aibu ya kupanda boti kwenda kupiga magoti Zanzibar..ILa misimu hii miwili mpo vizuri kujua habari za Yanga, vp humo hawaja zungumzia mkataba wa Sportpesa maana msimu huu mmejikita kwenye kuchambua mikataba...
Kabisa angalia mate yanavyo watoka wamekuwa wakina juma lokoleSi unajua wanawake hufuata yasiyowahusu
Wewe nawe na usomi wote uho unasikiliza habari za redio mbao?Kama ni kweli, Haitamaye Fei kashinda vita ya maslahi. Wale waliokuwa wanafurahia kuwa atazeekea benchi wameshindwa. Mtu ambaye hakufata taratibu kapewa mkataba mpya wenye umate mate. Inapendeza.
Sawa tunjifunza kwenu kwa mengi mpaka kupiga pasi jezi Ethiopia.Kingine walichozungumzia ni ujinga wa utopolo kwenye mikataba wanayoingia, wamewashauri mkajifunze msimbazi wao huwa wanafanya nini ili kuepuka aibu ya kupanda boti kwenda kupiga magoti Zanzibar..
Hili liwe funzo, na TFF waache ujinga wao wa kuwalinda wavunja sheria, wanatuharibia mpira wetu wala hawastahili kuwepo ofisini muda huu.Kama ni kweli, Haitamaye Fei kashinda vita ya maslahi. Wale waliokuwa wanafurahia kuwa atazeekea benchi wameshindwa. Mtu ambaye hakufata taratibu kapewa mkataba mpya wenye umate mate. Inapendeza.
Mna wanyanya wachezaji bhna ivi ile daladala yenu mlio kuwa mnakuja nayo uwanjani mlisha ipeleka gereji kweli au tuwasaidieUnawaza mlenda asubuhi🫣🫣
Au aggreyKabisa angalia mate yanavyo watoka wamekuwa wakina juma lokole
Aggrey hapana ni lokole 😂😂Au aggrey
Wanyanya, hebu andika kiswahili, japo najua Fei kapiga upper cut unaugulia maumivu mtani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mna wanyanya wachezaji bhna ivi ile daladala yenu mlio kuwa mnakuja nayo uwanjani mlisha ipeleka gereji kweli au tuwasaidie
Sawa ile daladala vip tena mbona mnakuwa kama timunya kutoka buzaWanyanya, hebu andika kiswahili, japo najua Fei kapiga upper cut unaugulia maumivu mtani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hoja yangu nimeanza kwa maneno " Kama ni kweli" Na hata kama si kweli bado sala zangu zipo kwa Fei apate maslahi yanayolingana na mchango wake, ikishindikana Yanga basi nje ya Yanga.Wewe nawe na usomi wote uho unasikiliza habari za redio mbao?