Sakata la Fei Toto, Yanga inachekesha na kusikitisha

Dah maswali magumu hayo ni balaa!
 
Kwanini swala hili TFF imeamua kulifanya siri haitaki kutoa mchanganuo wa kanuni zilizotumika kuhukumu pamoja na sheria aliyovunja Feisal kila mtu aone

Hiyo ndio hoja yangu mimi
We bana wee, baada ya hukumu nani hupewa nakala ya hukumu/ mwenendo wa kesi?
 
Mtoa mada ni KOUMER.
 
Watanzania tuheshimu sheria za mikataba!
Tff wangetumia tu hisia za uzazi kama mama yake wa ugari sukari, ingeweka precedent mbaya sana.
 
Mjadala ungeishia hapa mkuu majibu yote yapo hapa
 
Katikati kabla mkataba ulio saini haujaisha unaamka na nyege kuwa hauitaji kuitumikia kablu iliyokusaini,MATAKO YA NYANI
 
Uwezi kuwapangia cha kufanya, Yaani wasukumwe na kolo linalotaka matakwa yake yatimie kwenye mambo ambayo ayalihusu ulishagaona wapi, Nenda ukaombe nakala ya hukumu utapewa
Ajabu kolo anaeiamrisha tff ifuate atakavyo yeye,muulize zile b 20 za mudy ziko kwenye acc gani ya klabu
 
Sheria ya FIFA ipo wazi, mchezaji asilazimishwe wala kushikiliwa kwa nguvu na club kama anataka kuhama (sio utumwa huo), na kwamba kama anataka kuvunja mkataba sharti atimize kati ya mambo mawili
1) Alipe gharama za kuvunja mkataba na fidia zake
2) Afungiwe kucheza miezi 4 halaf aachiwe.
Sasa utopolo kwasababu hawana akili wanapuyanga tu.
*Inakuaje kamati ile ile iliyopitisha hukumu, ikae tena ifanye mapitio/marejeo ya hukumu ambayo wao ndo walitoa. Wajihukumu wenyewe?
* Kwa Fatima Karume utopolo watayamba
 
Yaani mtu unamtesa anakula ugali kwa sukari lakin bado unamng'ang'ania🚮
 
Huwezi kuchangia bila kushusha watu hadhi, wewe nani kakukagua kama una akili nyingi.Heshimianeni.
 
Huwezi kuchangia bila kushusha watu hadhi, wewe nani kakukagua kama una akili nyingi.Heshimianeni.
Wewe hukuona mtoa mada alichokiandika kuwa kinashusha hadhi? Tena hadhi ya taasisi kubwa kama Yanga, nanukuu

"Ni dhahiri kwa hali ilipofikia inaonyesha fika kuwa Yanga wameamua kutia aibu brand ya klabu na mashabiki wao kuijumla."

Na kisha hakuishia hapo kaja kukazia kwa kimalkia tena, nanukuu


"THIS IS INSANE FOR THE CLUB!"

Mwambie kwanza mleta uzi aanze kwa kuheshimu taasisi za watu aache lugha za kejeli wakati hata sheria yenyewe haijui.
 
Feisal amejipiga risasi mwenyewe mguuni

Asipokuwa makini itakuwa mwisho wake

*Siasa za.simba na yanga n ngumu
 
Umeokota wapi haya makamasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…