Si ajabu ila ikiwa hyo taasisi kila mtu anailalamikia basi ujue kuna shida
Habari wakuu,
Ni dhahiri kwa hali ilipofikia inaonyesha fika kuwa Yanga wameamua kutia aibu brand ya klabu na mashabiki wao kuijumla.
Hii ni kuhusiana na sakata la Feitoto
Kila dalili zinaonyesha kuwa Fei haitaki Yanga lakini Yanga wanaonyesha ung'ang'anizi wa hali ya juu kwa mchezaji huyo, jambo linalotafsiriwa kama ni aibu kwa klabu upande wa wadau mbalimbali wa soka.
Tayari taswira inaonyesha kuwa Fei ni mkubwa kuliko Yanga kwa vitendo vinavyoonyeshwa na Yanga. Kutokana na hili hata Mama Fei mwenyewe anashangaa kwa nini Yanga wamekuwa Sikio la kufa kwa mteja wake!.
THIS IS INSANE FOR THE CLUB!
Tukumbuke nyuma kidogo Simba SC ilivyoonyesha hadhi yake mbele ya wachezaji wake mahiri kama Singano Messi na Emmanuel Okwi kudhihilisha ukubwa wa klabu mbele yao.
THIS IS HOW MUST BE!
Okay tuachane na hayo tuje kwenye ukweli sasa, Kama Yanga wanatambua mchango wa Fei kwenye klabu yao, kwa nini wasitimize au kumpatia stahiki zake ikiwemo na vigezo vyake anavyohitaji!?
Karibu Tanzania nzima inafahamu ni jinsi gani Feisal Maestro alivyoipenda sana Yanga, kiasi cha dhahiri kudhihilisha kuwa Yanga ndio waliomkosea kijana wao kwani si rahisi Feisal kuibadilika Yanga kufikia hatua hiyo.
Ikumbukwe mchezo huu mchafu haujaanza leo kwa klabu ya Yanga kutaka kudhulumu stahiki za wachezaji wake, na mara kadhaa kesi hizi zimepelekwa TFF na ngazi zingine za juu, endapo ukiangazia sakata la Kakolanya na Morrison.
Itoshe kusema dharau kwa wachezaji wa ndani zikome kwani kinachoangaliwa ni kiwango na si utaifa. Pili, Yanga ijitathmini maana kuhonga kwenye ngazi za Uongozi haiwezi tosha mbele ya haki ya mtu!.
Naomba wachezaji mjifunze kwa hili ambalo YANGA wanafanya kwa wachezaji wa ndani. Kwa kweli inasikitisha sana.
View attachment 2535389
Nashukuru sana kwa mchango wakoYou are idiot, pumbavu usiyekuwa na mfano hujui kitu we mbwa. Mkataba una taratibu zake kuingia na kutoka.
Nimpoteza muda kusoma upumbavu wako
Hakugawi kivipi wakati ndio ameshagawanyika. Mtoa mada aliyeshusha watu pamoja na taasisi hadhi na kutokuheshimu, ukamuona yupo sahihi kwavile umefurahia alichokiwasilisha kimekufurahisha. Ila mimi kumjibu kiwa ana upeo mdogo ikakuuma mno kuwa nimeshindwa kuheshimu watu.Umeniunganisha kuwa mwanachama wa simba bila kunilipia kadi, wakati mimi nilisimama kwenye utu tu.Feisal hata akilipwa milioni mia mbili hanigawii japo.Mungu awajalie mumpate tena mkuu.
Wakili msomi umemtelekeza mteja wakoKwanini swala hili TFF imeamua kulifanya siri haitaki kutoa mchanganuo wa kanuni zilizotumika kuhukumu pamoja na sheria aliyovunja Feisal kila mtu aone
Hiyo ndio hoja yangu mimi
Malalamiko ya yanga ni Feisal kuvunja mkataba kihuni, kamati imeamuru Feisal bado ni mchezaji halali wa yangaSio wafanye navyotaka mimi, bali wafanye fair kiuwazi kama ambavyo wamekuwa wakifanya kwenye mashtaka yaliyopita wakitoa fursa kwa watu kuhoji
Ukakasi unakuja kutokana na mwenendo wa shitaka lilivyo wailishwa na namna lilivyokuja kuamuliwa
Shtaka lilidai Feisal amevunja mkataba, maamuzi yanakuja kuwa Feisal ni mchezaji halali wa Yanga (two different things)
Pamoja na hivyo kumkuta mchezaji akiwa na hatia bado hajawajibishwa (maana yake hakuvunja sheria)
Hii controversial ndio iliyopaswa kuwekwa bayana kila mtu ajue ni sheria ya kifungu gani ambayo imeamua, waweke ufafanuzi kama ambavyo walifanya kwenye kesi ya Morrison
Yani hujielewi kabisa, stahiki zake ni zipi?Habari wakuu,
Ni dhahiri kwa hali ilipofikia inaonyesha fika kuwa Yanga wameamua kutia aibu brand ya klabu na mashabiki wao kuijumla.
Hii ni kuhusiana na sakata la Feitoto
Kila dalili zinaonyesha kuwa Fei haitaki Yanga lakini Yanga wanaonyesha ung'ang'anizi wa hali ya juu kwa mchezaji huyo, jambo linalotafsiriwa kama ni aibu kwa klabu upande wa wadau mbalimbali wa soka.
Tayari taswira inaonyesha kuwa Fei ni mkubwa kuliko Yanga kwa vitendo vinavyoonyeshwa na Yanga. Kutokana na hili hata Mama Fei mwenyewe anashangaa kwa nini Yanga wamekuwa Sikio la kufa kwa mteja wake!.
THIS IS INSANE FOR THE CLUB!
Tukumbuke nyuma kidogo Simba SC ilivyoonyesha hadhi yake mbele ya wachezaji wake mahiri kama Singano Messi na Emmanuel Okwi kudhihilisha ukubwa wa klabu mbele yao.
THIS IS HOW MUST BE!
Okay tuachane na hayo tuje kwenye ukweli sasa, Kama Yanga wanatambua mchango wa Fei kwenye klabu yao, kwa nini wasitimize au kumpatia stahiki zake ikiwemo na vigezo vyake anavyohitaji!?
Karibu Tanzania nzima inafahamu ni jinsi gani Feisal Maestro alivyoipenda sana Yanga, kiasi cha dhahiri kudhihilisha kuwa Yanga ndio waliomkosea kijana wao kwani si rahisi Feisal kuibadilika Yanga kufikia hatua hiyo.
Ikumbukwe mchezo huu mchafu haujaanza leo kwa klabu ya Yanga kutaka kudhulumu stahiki za wachezaji wake, na mara kadhaa kesi hizi zimepelekwa TFF na ngazi zingine za juu, endapo ukiangazia sakata la Kakolanya na Morrison.
Itoshe kusema dharau kwa wachezaji wa ndani zikome kwani kinachoangaliwa ni kiwango na si utaifa. Pili, Yanga ijitathmini maana kuhonga kwenye ngazi za Uongozi haiwezi tosha mbele ya haki ya mtu!.
Naomba wachezaji mjifunze kwa hili ambalo YANGA wanafanya kwa wachezaji wa ndani. Kwa kweli inasikitisha sana.
View attachment 2535389
Wewe ni mwendawazimu kwani unajua nini kuhusu mkataba baina ya yanga na fei.?Habari wakuu,

Hersi ndio alimtuma fei atoroke?Raha ya hersi ni kuona fei nae anauza pweza forodhan
Taarifa rasmi hupewa wahusika kwani hukumu za mahakama hutolewa kwa kila mtu.?Nimesoma na hilo ndio tatizo ambalo mimi naliona
Kwanini maelezo hayo watumiwe wahusika tu huku umma ukiwa gizani tofauti ma kesi zingine tulivyoona zikiwa operated?
Labda hio kesi ni ya kitaifa [emoji23][emoji23]Taarifa rasmi hupewa wahusika kwani hukumu za mahakama hutolewa kwa kila mtu.?
Mkuu utumwa haupo tena, hata kocha wa wydad katimuliwa bila yeye kutaka isipokuwa atalipwa fidia. Vivyo hivyo kwa feiWengi tunashindwa kuelewa kuwa soko la michezo duniani linatawaliwa kitumwa. Na soko kubwa zaidi la michezo ni hili la mpira wa miguu aka soka.
Kila mchezaji ni mtumwa mambo leo. Anaetaka kujitowa kumilikiwa kwa mmiliki wake mmoja kwenda kwa mwengine ni lazima faida ipatikane na kanuni na sheria zilizowekwa, za utumwa mambo leo, lazima zifatwe na faida kubwa ioatikane kwa mmiliki wake wa sasa hivi, hawezi kuondoka kiholela, hata kesi ifike FIFA, ni hayo hayo tu.
Asiyeelewa hilo atalalamika sana.
Anaedhani utumwa umeondoka duniani huyo ni poyoyo, utumwa upo na sasa upo "regulated" kwa kanuni na sheria.
Huyo kocha nani atamnunuwa?Mkuu utumwa haupo tena, hata kocha wa wydad katimuliwa bila yeye kutaka isipokuwa atalipwa fidia. Vivyo hivyo kwa fei
Unatumia hisia tu, swala sio nani kumnunua swala mkaba unaweza vunja mda wowote pasipo sababu ila utaladhimika kulipa fidia.Huyo kocha nani atamnunuwa?
. Jiulize ntu anaetoka familia ya kimasikini kama fei toto ubavu wa kurudisha zaidi ya million mia moja anautowa wapi? Tumia kichwa chako j+kufikiri japo kiduchu.
We bibi jiheshimu.Huyo kocha nani atamnunuwa?
. Jiulize ntu anaetoka familia ya kimasikini kama fei toto ubavu wa kurudisha zaidi ya million mia moja anautowa wapi? Tumia kichwa chako j+kufikiri japo kiduchu.
Achana na mimi, jibu hoja zangu.We bibi jiheshimu.
Unatumia hisia tu, swala sio nani kumnunua swala mkaba unaweza vunja mda wowote pasipo sababu ila utaladhimika kulipa fidia.