Sakata la Fei Toto, Yanga inachekesha na kusikitisha

Matakataka ya msimbazi ndy yapo busy na habari za Feisal Salumu lkn YANGA hawana habari nae maana pengo lake halipo mpaka sasa tangu aondoke huyo mpemba YANGA wameshinda mechi zote kasoro ile ya Tunisia hivyo mbumbumbu fc tulizeni vinyeo vyenu Yanga inapiga mwendo[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu,

Ni dhahiri kwa hali ilipofikia inaonyesha fika kuwa Yanga wameamua kutia aibu brand ya klabu na mashabiki wao kuijumla.

Hii ni kuhusiana na sakata la Feitoto
Kila dalili zinaonyesha kuwa Fei haitaki Yanga lakini Yanga wanaonyesha ung'ang'anizi wa hali ya juu kwa mchezaji huyo, jambo linalotafsiriwa kama ni aibu kwa klabu upande wa wadau mbalimbali wa soka.

Tayari taswira inaonyesha kuwa Fei ni mkubwa kuliko Yanga kwa vitendo vinavyoonyeshwa na Yanga. Kutokana na hili hata Mama Fei mwenyewe anashangaa kwa nini Yanga wamekuwa Sikio la kufa kwa mteja wake!.

THIS IS INSANE FOR THE CLUB!
Tukumbuke nyuma kidogo Simba SC ilivyoonyesha hadhi yake mbele ya wachezaji wake mahiri kama Singano Messi na Emmanuel Okwi kudhihilisha ukubwa wa klabu mbele yao.
THIS IS HOW MUST BE!

Okay tuachane na hayo tuje kwenye ukweli sasa, Kama Yanga wanatambua mchango wa Fei kwenye klabu yao, kwa nini wasitimize au kumpatia stahiki zake ikiwemo na vigezo vyake anavyohitaji!?

Karibu Tanzania nzima inafahamu ni jinsi gani Feisal Maestro alivyoipenda sana Yanga, kiasi cha dhahiri kudhihilisha kuwa Yanga ndio waliomkosea kijana wao kwani si rahisi Feisal kuibadilika Yanga kufikia hatua hiyo.

Ikumbukwe mchezo huu mchafu haujaanza leo kwa klabu ya Yanga kutaka kudhulumu stahiki za wachezaji wake, na mara kadhaa kesi hizi zimepelekwa TFF na ngazi zingine za juu, endapo ukiangazia sakata la Kakolanya na Morrison.

Itoshe kusema dharau kwa wachezaji wa ndani zikome kwani kinachoangaliwa ni kiwango na si utaifa. Pili, Yanga ijitathmini maana kuhonga kwenye ngazi za Uongozi haiwezi tosha mbele ya haki ya mtu!.

Naomba wachezaji mjifunze kwa hili ambalo YANGA wanafanya kwa wachezaji wa ndani. Kwa kweli inasikitisha sana.

View attachment 2535389

You are idiot, pumbavu usiyekuwa na mfano hujui kitu we mbwa. Mkataba una taratibu zake kuingia na kutoka.
Nimpoteza muda kusoma upumbavu wako
 
Umeniunganisha kuwa mwanachama wa simba bila kunilipia kadi, wakati mimi nilisimama kwenye utu tu.Feisal hata akilipwa milioni mia mbili hanigawii japo.Mungu awajalie mumpate tena mkuu.
Hakugawi kivipi wakati ndio ameshagawanyika. Mtoa mada aliyeshusha watu pamoja na taasisi hadhi na kutokuheshimu, ukamuona yupo sahihi kwavile umefurahia alichokiwasilisha kimekufurahisha. Ila mimi kumjibu kiwa ana upeo mdogo ikakuuma mno kuwa nimeshindwa kuheshimu watu.
 
Kwanini swala hili TFF imeamua kulifanya siri haitaki kutoa mchanganuo wa kanuni zilizotumika kuhukumu pamoja na sheria aliyovunja Feisal kila mtu aone

Hiyo ndio hoja yangu mimi
Wakili msomi umemtelekeza mteja wako
 
Sio wafanye navyotaka mimi, bali wafanye fair kiuwazi kama ambavyo wamekuwa wakifanya kwenye mashtaka yaliyopita wakitoa fursa kwa watu kuhoji

Ukakasi unakuja kutokana na mwenendo wa shitaka lilivyo wailishwa na namna lilivyokuja kuamuliwa

Shtaka lilidai Feisal amevunja mkataba, maamuzi yanakuja kuwa Feisal ni mchezaji halali wa Yanga (two different things)

Pamoja na hivyo kumkuta mchezaji akiwa na hatia bado hajawajibishwa (maana yake hakuvunja sheria)

Hii controversial ndio iliyopaswa kuwekwa bayana kila mtu ajue ni sheria ya kifungu gani ambayo imeamua, waweke ufafanuzi kama ambavyo walifanya kwenye kesi ya Morrison
Malalamiko ya yanga ni Feisal kuvunja mkataba kihuni, kamati imeamuru Feisal bado ni mchezaji halali wa yanga
Inshu ya kumuwajibisha ni yanga tena kupeleka malalamiko yao juuvya utoro wa mchezaji wao, ndipo hatua zitachukuliwa ila tff haiwezi kudeal na kesi amvayo haipo mezani kwao.
 
Habari wakuu,

Ni dhahiri kwa hali ilipofikia inaonyesha fika kuwa Yanga wameamua kutia aibu brand ya klabu na mashabiki wao kuijumla.

Hii ni kuhusiana na sakata la Feitoto
Kila dalili zinaonyesha kuwa Fei haitaki Yanga lakini Yanga wanaonyesha ung'ang'anizi wa hali ya juu kwa mchezaji huyo, jambo linalotafsiriwa kama ni aibu kwa klabu upande wa wadau mbalimbali wa soka.

Tayari taswira inaonyesha kuwa Fei ni mkubwa kuliko Yanga kwa vitendo vinavyoonyeshwa na Yanga. Kutokana na hili hata Mama Fei mwenyewe anashangaa kwa nini Yanga wamekuwa Sikio la kufa kwa mteja wake!.

THIS IS INSANE FOR THE CLUB!
Tukumbuke nyuma kidogo Simba SC ilivyoonyesha hadhi yake mbele ya wachezaji wake mahiri kama Singano Messi na Emmanuel Okwi kudhihilisha ukubwa wa klabu mbele yao.
THIS IS HOW MUST BE!

Okay tuachane na hayo tuje kwenye ukweli sasa, Kama Yanga wanatambua mchango wa Fei kwenye klabu yao, kwa nini wasitimize au kumpatia stahiki zake ikiwemo na vigezo vyake anavyohitaji!?

Karibu Tanzania nzima inafahamu ni jinsi gani Feisal Maestro alivyoipenda sana Yanga, kiasi cha dhahiri kudhihilisha kuwa Yanga ndio waliomkosea kijana wao kwani si rahisi Feisal kuibadilika Yanga kufikia hatua hiyo.

Ikumbukwe mchezo huu mchafu haujaanza leo kwa klabu ya Yanga kutaka kudhulumu stahiki za wachezaji wake, na mara kadhaa kesi hizi zimepelekwa TFF na ngazi zingine za juu, endapo ukiangazia sakata la Kakolanya na Morrison.

Itoshe kusema dharau kwa wachezaji wa ndani zikome kwani kinachoangaliwa ni kiwango na si utaifa. Pili, Yanga ijitathmini maana kuhonga kwenye ngazi za Uongozi haiwezi tosha mbele ya haki ya mtu!.

Naomba wachezaji mjifunze kwa hili ambalo YANGA wanafanya kwa wachezaji wa ndani. Kwa kweli inasikitisha sana.

View attachment 2535389
Yani hujielewi kabisa, stahiki zake ni zipi?
 
Wewe ni mwendawazimu kwani unajua nini kuhusu mkataba baina ya yanga na fei.?
 
Wengi tunashindwa kuelewa kuwa soko la michezo duniani linatawaliwa kitumwa. Na soko kubwa zaidi la michezo ni hili la mpira wa miguu aka soka.

Kila mchezaji ni mtumwa mambo leo. Anaetaka kujitowa kumilikiwa kwa mmiliki wake mmoja kwenda kwa mwengine ni lazima faida ipatikane na kanuni na sheria zilizowekwa, za utumwa mambo leo, lazima zifatwe na faida kubwa ioatikane kwa mmiliki wake wa sasa hivi, hawezi kuondoka kiholela, hata kesi ifike FIFA, ni hayo hayo tu.

Asiyeelewa hilo atalalamika sana.

Anaedhani utumwa umeondoka duniani huyo ni poyoyo, utumwa upo na sasa upo "regulated" kwa kanuni na sheria.
 
Mkuu utumwa haupo tena, hata kocha wa wydad katimuliwa bila yeye kutaka isipokuwa atalipwa fidia. Vivyo hivyo kwa fei
 
Huyo kocha nani atamnunuwa?
. Jiulize ntu anaetoka familia ya kimasikini kama fei toto ubavu wa kurudisha zaidi ya million mia moja anautowa wapi? Tumia kichwa chako kufikiri japo kiduchu.
 
Huyo kocha nani atamnunuwa?
. Jiulize ntu anaetoka familia ya kimasikini kama fei toto ubavu wa kurudisha zaidi ya million mia moja anautowa wapi? Tumia kichwa chako j+kufikiri japo kiduchu.
Unatumia hisia tu, swala sio nani kumnunua swala mkaba unaweza vunja mda wowote pasipo sababu ila utaladhimika kulipa fidia.
 
We bibi jiheshimu.
 
Unatumia hisia tu, swala sio nani kumnunua swala mkaba unaweza vunja mda wowote pasipo sababu ila utaladhimika kulipa fidia.

Kwa hiyo sheria za FIFA ndio zimeandikwa kwamba mchezaji anaweza akavunja mkataba wake na klabu mida wowote?
 
Back
Top Bottom