Sakata la Gwajima limenipa picha niliyoitarajia

Sishangai haya ya bashite hizi ni mbinu za kumchafua gwajima kwasababu wanajua hataenda kupima damu yake na huyo mtoto sikuhiz pesa inanunua kilakitu huyo mama kanunuliwa. Lakn hakuna marefu yasiyo na ncha
 
Makonda kachanganyikiwa
 
Wee balshite wewe weka vyeti mezani mura GWAJIMA dume la mbegu limetoa mtoto kuliko ww daud umejaza mafuta mwilini mtoto huna hata wa kusingiziwa
 
Tumeshazoea kwa CHADEMA kuwatetea wahalifu. Endeleeni na kazi hiyo. Sisi tunajenga nchi
Sasa kama Bashite anatumia bunduki kutaka afanikishiwe mambo yake hapo clouds huoni ni uendawazimu?
 
Wee eliza usidhani kila anayehoji uozo ni CHADEMA wewe!
Tena kwa Taarifa yako wanaotaka cheti kioneshwe ni ccm, tena ccm haswaa,refer msukuma.
CHADEMA itakupa kiharusi.
Tayari ana kiharusi
 
katika watumishi wa Mungu wapenzi kwenye biblia hakuna ambae hakumchapa mwanamke aliyekuja kizembe.tena Daudi aliua mume ndo kazalisha mkewe.
onyesha vyeti hizi ngonjera hazisaidii.
 
Bashite Onyesha cheti kimoja tu unatumia nguvu kubwa bure!!!! Cheti kimoja tu cha form 4!!!!
Waliopata zero miaka ile walikuwa hawapewi vyeti. Labda siku hizi DIVISION FIVE wanapewa.


Sasa yeye aonyeshe kipi? Cha Paul Christian?
 
Tumeshazoea kwa CHADEMA kuwatetea wahalifu. Endeleeni na kazi hiyo. Sisi tunajenga nchi

Weye wa hovyo kweli

Kinachomshinda hiyo ndugu yenu kuweka hadharani cheti chake halisi cha kidato cha NNE ni nini?

Mwambieni aweke vyeti mchezo uishe,then ndo arukie mengine
 
Nenda shule crip ndo mdudu gani?
 
Gwaji alikua anapiga show chini ya madhabahu, huku juu mapambio yanaimbwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…