kwa mkemia kama alivyokubali kupimwa mkojoHiyo DNA ikapimiwe wapi?
Hiyo DNA ikapimiwe wapi?
Gwajima anasema kuzaa yeye anazaa Kiroho Na Kimwili. Tena angekuwa hivyo angechagua mzuri siyo kichaa.
Braza tambua mm sina degree ya chuo chenu cha kata hicho udomNenda shule crip ndo mdudu gani?
Nimekurupuka nn sasa mana nimeweka huu uzi hapa kabla hata ya hayo mambo kuwekwa hadharanUmekurupuka mambo yako wazi sasa... Video ya Makonda akiingia Clouds na askari ipo hewani
Sawa mkuu lugha imepanda ndege hata chief inamsumbua mana engineer mwenzang yule ko sio ajabu kwetuEdit basi kwenye Crip weka Clip.
Pole mdau.....Nimekurupuka nn sasa mana nimeweka huu uzi hapa kabla hata ya hayo mambo kuwekwa hadharan
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
kuvamia kituo cha television ndo kujenga nchi? mnashindwa kufanya mambo ya maana kazi kumuandama tu mtumishi Wa Mungu.Tumeshazoea kwa CHADEMA kuwatetea wahalifu. Endeleeni na kazi hiyo. Sisi tunajenga nchi
Hilo jina ni lako kabsa...aliyekupa hakukoseawe gonga safaari zako achana na manabii wa uongo
Halafu night aje akugonge wewe
Wanawatetea kina sependa wenye tuhuma za aibu wanasahau kujenga chama watakuja kushtukia 2020 hii hapa kwa door ndipi watajuaTumeshazoea kwa CHADEMA kuwatetea wahalifu. Endeleeni na kazi hiyo. Sisi tunajenga nchi
Inaonekana unajua mengi sana kuhusu Gwajima. Sasa unasubiri nini kuisaidia polisi wamkamate huyu mhalifu!
Kwani Gwajima ni mtumishi wa Mungu?
Hilo la kubaka endapo una vielelezo peleka kwenye vyombo vya sheria ili sheria ichukue mkondo wake huna haja ya kutoa povu.
Kama toka moyoni mwako waona Gwajima si mtumishi wa kweli wa Mungu, wewe ambae UNA imani ya kweli piga magoti umuombee, usiwe kama Mafarisayo.
Bashite Onyesha cheti kimoja tu unatumia nguvu kubwa bure!!!! Cheti kimoja tu cha form 4!!!!
Hamna lolote mnachochea ili atumbuliwe, mumchukue mkamtakase sijui huwa mnawatakasa na nini vile...........mtaanza kutuaminisha tena kwamba ameonewa na ana vyeti mpaka vya university........bado sijasahau ya lowasaKama chadema wanatetea wahalifu, mbona hawamtetei huyu kilaza mwalifu wa kufoji vyeti????