Sakata la Gwajima limenipa picha niliyoitarajia

Sakata la Gwajima limenipa picha niliyoitarajia

Gwajima anasema kuzaa yeye anazaa Kiroho Na Kimwili. Tena angekuwa hivyo angechagua mzuri siyo kichaa.


Ana cheti cha kuthibitisha ukichaa wa huyo Mwanamke?

Inawezekana ikawa ni ya kutunga au Ikawa ni ya kweli watu wakaifikisha kwa Bashite nae akaona ndio pa kumkomesha Gwajima.

Kipi kinafanya tuamini kua yule mama ni kichaa?
Kipi kinafanya tuona yule mama ni Muongo?

Kuhusika kwa Daudi sio kigezo kuona ni uongo.

Tusiwe vigeugeu. Kwa Daudi tunapiga kelele, kwa Gwajima tunakua watetezi wake.
 
Anatabia zinazofanana na jina lake la kujibatiza (makonda) kwa sababu wengi hawawi na akili timamu
 
FB_IMG_1489932643979.jpg
 
duhQUOTE="jingalao, post: 20222818, member: 56995"]we gonga safaari zako achana na manabii wa uongo[/QUOTE]
d
 
Mwizi wa vyeti anapotetewa na wahakiki WA vyeti....,real .all animals are equal but others are.......
 
Inaonekana unajua mengi sana kuhusu Gwajima. Sasa unasubiri nini kuisaidia polisi wamkamate huyu mhalifu!


Nayajuwa mengi sana ya huyu kijana, licha ya kutonywa na baadhi ya waumini wake waliomkimbia pia nina data za uhakika toka kwa nduguze. Alisema atamfufua kaka yake mwaka jana lakini mpaka leo hii hakuna lolote wala dalili hakuna.
 
Hilo la kubaka endapo una vielelezo peleka kwenye vyombo vya sheria ili sheria ichukue mkondo wake huna haja ya kutoa povu.
Kama toka moyoni mwako waona Gwajima si mtumishi wa kweli wa Mungu, wewe ambae UNA imani ya kweli piga magoti umuombee, usiwe kama Mafarisayo.


Nina muombea sana Gwajima lakini naye ili apone inabidi atupe manyanga yake na nguvu zake za giza baharini na kukiri madhambi yake. Ile misukule aliyoificha kule Mwabepande inabidi aifungulie na aseme ukweli aliitoa wapi.
 
Kama chadema wanatetea wahalifu, mbona hawamtetei huyu kilaza mwalifu wa kufoji vyeti????
Hamna lolote mnachochea ili atumbuliwe, mumchukue mkamtakase sijui huwa mnawatakasa na nini vile...........mtaanza kutuaminisha tena kwamba ameonewa na ana vyeti mpaka vya university........bado sijasahau ya lowasa
 
Back
Top Bottom