Sakata la Gwajima limenipa picha niliyoitarajia

Sakata la Gwajima limenipa picha niliyoitarajia

Tumeshazoea kwa CHADEMA kuwatetea wahalifu. Endeleeni na kazi hiyo. Sisi tunajenga nchi
Nchi gani mnayoijenga Lizaboni zaidi ya kuibomoa pale mlipoikuta,
*mlitukuta wenye nchi wenzenu kuna furaha na tabasamu muda wote hatuna wasiwasi,lakini sasa hivi kitu kidogo tu ...central
Huku ujambazi ukitamalaki
*Mlitukuta watanzania wote sawa,no one is above the law, Leo hii Bashite yupo juu ya sheria kama Mungu awaye mbinguni
*Mlitukuta tunakula tunashiba mpaka kusaza,Leo hii tunavitafuta vya kusaza maana hatuli tena tukashiba.
*Hiyo nchi mnaijenga ni nchi gani? Au kisiwa cha chato?
 
Rais wa Tunisia....hahaaaaaaa eti napenda shilawaduu...serious !!!!!! Wanajuta
 
Gwajima akimshambulia Makonda mnashangilia, mashambulizi yakijibiwa mnalalamika ?!
Yale majibu yanaonekana kabisa yanatoka kwenye upande uliofeli yaani Zero ,yaani waliozungusha, Zero
After all azae asizae yeye sio wa kwanza na hatokua wa mwisho, ila cha ajabu bashite ndie pekee aliyethibitika kuwa wa mwisho serikalini mpaka sasa
 
Tumeshazoea kwa CHADEMA kuwatetea wahalifu. Endeleeni na kazi hiyo. Sisi tunajenga nchi
Mnajenga nchi wakati mnapora mali za wananchi, ama kweli this time mmeaibika kweli kweli maharamia wakubwa!
 
Tumeshazoea kwa CHADEMA kuwatetea wahalifu. Endeleeni na kazi hiyo. Sisi tunajenga nchi
Zero bashite hawezi kutupatia maendeleo labda mumtafutie cheo kingine hapo lumumba
 
ujinga mtupu,huyo Gwajima mwenye mahela ashindwe kulea mtoto? Ata kumfungulia huyo msichana kaduka ammudu mtoto? Pelekeni akili zaki bashite hko hatushabikii upuzi.
ili tuamini bashite atoe vyeti kwanza,Dar inaongozwa na std seven? What a mess!! Hivi huyu waziri mkuu na tamisemi wanashida gani? Siwampe kazi ya udereva tena amwendeshe sizonje mzee wa shilawadu maana nimabest sana
 
Mawingu nao wanatakiwa kuanikwa kwa maovu na uchafu wao wasijifanye wanajitenga na Bashite wakati walikua wanafanya juhudi za kumsafisha
 
Wana jamvi wenzangu
Nimekaa toka jana jion nikifikilia kwanin mtumish wa mungu anaweza kufanya maovu ya namna ile ya kumzalisha mwanamke haraf kumtelekeza huku akijua kabisa yeye ni moja ya mtumish wa mungu ambae anatakiwa kuongoza waumin waweze kufwata njia sahihi na kuepuka ya ulimwengun lakin kabla ya kuweka jibu la kutaka kumchukia gwajima nimekaa nimefikilia haya ndo nikapata jibu...

-kwanin yule mama ahojiwe kwa crip tu zirushwe mitandaon bila kutafutwa gwajima nae akahojiwa kwa crip pia zikarushwa mitandaon.?

-yule mama kuenda kuhojiwa uhuru fm na sio clouds fm ambako ndo chanzo cha hizo crip..?

-kwanin makonda ana kashfa ya kuenda na wafuas wake clouds usiku na kuzichukua hizo crip..?

-niwajuavyo clouds wana tabia ya kuhoji pand mbili na kuweka hizo video/sauti katika redio yao au tv yao zikinzane..?

-rais yang kipenz kupenda kipind cha ushilawadu si uchiz huu mana mzee wang kijijin kule hawez penda ujinga kama ule..?

-sherehe ya mwaka mmoja wa makonda kuoneshwa tbc pekee na sio tena clouds kwamba alichokwa na hao ndgu au..?

-nijuavyo wachungaj weng wana watto wa nje lakin wako makin kuwalea ili wasiharibu taswira zao iwe kwa gwajima ambae anajua muda wote yupo katika vita..?

Conclusion; mwana sisiem mwenzang unatumia nguvu nying sana katika kitu kidogo mno ambacho mpaka sasa ungekuwa ushamaliza na unaendelea na kazi au kurud mtaan kuungana na sis wenzio hapa lumumba street.
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une

Usiwe mwehu na wewe, Gwajima si mtumishi wa Mungu bali ni tapeli tu anayesingizia kazi ya Mungu huku nyuma anafanya unyama. Gwajima inabidi awe jela, ana maovu mengi sana ayatendayo. Alimbaka Flora Mbasha na huyu dada wa jana, na wengine wengi tu watakuja kulalamika. Aliwadanganya watoto wa kaka yake mwaka jana kuwa atamfufua baba yao (kaka yake), mpaka leo holaaaaa, zile dawa za kufufua misukule yake zimekwisha nguvu mpaka arudi Nigeria kuongeza nguvu za giza.
 
Wana jamvi wenzangu
Nimekaa toka jana jion nikifikilia kwanin mtumish wa mungu anaweza kufanya maovu ya namna ile ya kumzalisha mwanamke haraf kumtelekeza huku akijua kabisa yeye ni moja ya mtumish wa mungu ambae anatakiwa kuongoza waumin waweze kufwata njia sahihi na kuepuka ya ulimwengun lakin kabla ya kuweka jibu la kutaka kumchukia gwajima nimekaa nimefikilia haya ndo nikapata jibu...

-kwanin yule mama ahojiwe kwa crip tu zirushwe mitandaon bila kutafutwa gwajima nae akahojiwa kwa crip pia zikarushwa mitandaon.?

-yule mama kuenda kuhojiwa uhuru fm na sio clouds fm ambako ndo chanzo cha hizo crip..?

-kwanin makonda ana kashfa ya kuenda na wafuas wake clouds usiku na kuzichukua hizo crip..?

-niwajuavyo clouds wana tabia ya kuhoji pand mbili na kuweka hizo video/sauti katika redio yao au tv yao zikinzane..?

-rais yang kipenz kupenda kipind cha ushilawadu si uchiz huu mana mzee wang kijijin kule hawez penda ujinga kama ule..?

-sherehe ya mwaka mmoja wa makonda kuoneshwa tbc pekee na sio tena clouds kwamba alichokwa na hao ndgu au..?

-nijuavyo wachungaj weng wana watto wa nje lakin wako makin kuwalea ili wasiharibu taswira zao iwe kwa gwajima ambae anajua muda wote yupo katika vita..?

Conclusion; mwana sisiem mwenzang unatumia nguvu nying sana katika kitu kidogo mno ambacho mpaka sasa ungekuwa ushamaliza na unaendelea na kazi au kurud mtaan kuungana na sis wenzio hapa lumumba street.
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
tatizo 89% ya uvccm walipata bashite
 
Tumeshazoea kwa CHADEMA kuwatetea wahalifu. Endeleeni na kazi hiyo. Sisi tunajenga nchi
mnajenga au mnabomoa? mpaka sasa ni kipi mlichofanya cha maana? mnapeleka ma dotor kenya wakati Tz kwny dispensary vijini hamna....akili zako ni za kibinafs sana kisa unapewa hela.
 
Tumeshazoea kwa CHADEMA kuwatetea wahalifu. Endeleeni na kazi hiyo. Sisi tunajenga nchi
Shilawadu ndio mnajenga nao nchi?
Ama kweli akili za maccm zimejaa matakataka!
Siyo ajabu 95% ya mccm inatumia vyeti feki na wewe pasipo shaka ni miongoni mwao...
 
Back
Top Bottom