Sakata la Ibraah na Harmo: Tuhuma mpya za kutisha

Kupanga nikuchagua contract inajieleza
 
Spinning za Tarehe 19.
Huku bwana mrema, huku konde, kule sijui atakuja nani..
NAHISI NI KIKITUU – HAKUNA UKWELI KUHUSU IBRA KUONDOKA KONDE GANG

Baada ya @harmonize_tz kumtaka Ibraah_tz alipie deni lake kabla ya kuondoka lebo, na hata kumchangia 100K – hatimaye Ibraah kamjibu kwa ustaarabu mkubwa:

✍️ “ASANTE BOSS KONDE... NINAIMANI NITAFANIKIWA, MAANA SIKUZALIWA KUSHINDWA.”

Sasa ukiangalia kwa jicho la pili...

Mbona kama kuna ka-mchezo hapa?
Hivi kweli Ibraah anataka kuondoka, au ni kiki ya mpango maalum? Inawezekana harmonize au ibra anataka ku boost mziki wake

Mashabiki wa Konde Gang mpo? Mnadhani ni drama tu au Ibraah kweli anaondoka?
Tuachie maoni hapa chini – YUSKO TV pia usisahau kutufollow
#KondeGang
#Ibraah
#Harmonize
#NahisiNiKikituu
#DramaZaBongo
#BongoFlava
#Burudani2025
#GumzoLaMtaa
#YUSKOTV
 
Pengine hiyo ni intro tuu
 
Zote ni dhulma katika hii dunia hauwezi kupata haki ..Unaweza vip kukwapua pesa kwa mtu hana maendeleo , Diamond alikuwa sawa kwa vile Harmonize alikuwa na pesa ndio maana kalipa.
Harmonize alikua napesa wapi jembenijembe alimsaidia na alikopa crdb mzee hawa wasanii pesa wanapatasana shida matumizi makubwa ,namachawa niwengi
 
Ujinga wao ni kuamua kuweka vita yao mtandaoni na kibaya zaidi wote kuandika hawajui na busara za kuchagua maneno ya kutumia hawana
 
1:

"Nimuue mama kikatili" Kumuua kivipi yani sijakuelewa Ibraah

2: "Uliponiita chumbani" Kohiyo kidogo uliwe mdongo angu?? Haya mambo tangu lini Konde?? Kwako konde hilo konge lako ulikosa pakulisokomeza mpaka utake kumsokomeza nyuma kijana wa watu?? Sasa angewezaje kusokomezwa mkonge huo wajameni?? Na angekufia je?? Mkonge huo si ndo Paula aliorusha mtandaoni?? Au kuna mwingine?? hebu tuwe na huruma, kijana wa watu unatakaje kumbemenda??
 
Hawa watu wanapitia mengi wasiyoyasema
 
Washakula pesa hawa kama nduguyetu kisembeboy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…