Sakata la Israel na Palestina anaetafutwa na Marekani ni Saudi Arabia. Gaza wanazuga tu

Kuivamia Iran ni kuivuruga middle east yote, Iran ana makundi Lebanon, Syria, Iraq, Yemen . Ingekuwa rahisi angeshavamiwa siku nyingi, Marekan kuivamia Iraq kumewapa somo, badala ya kujenga wamezidi kubomoa
 
Ulichokiandika ni sawa sawa na wale wake zetu wanaotupiga na wao kupiga kelele kwa majirani ananiua !! Ananiua wakati yeye ndio amenianza . Sasa hapo palikuwa pametulia kabisa hamasi kwa makusudi wakarusha mvua ya makombora kwa vijana waliokuwa kwenye sherehe. Sasa wamejibiwa mnaanza kumsingizia mmarekani
 
Hiyo ya hamas ni mpango uliosukwa na US na Israel ule.

Anataka kuingizwa mtu chaka hapo. Mpaka sasa kastuka. presha inazidi.
 
Wasimchukue Rostamu pekee wabebe na Msoga
 
Kuivamia Iran ni kuivuruga middle east yote, Iran ana makundi Lebanon, Syria, Iraq, Yemen . Ingekuwa rahisi angeshavamiwa siku nyingi, Marekan kuivamia Iraq kumewapa somo, badala ya kujenga wamezidi kubomoa

hakuna mahali nimesema kwamba ni rahisi bali nimesema anayetafutwa ni Irani …
 
sasa kama hivyo ndivyo kwanini ulikua unashabikia ati mifumo ya ulinzi ya israel na intelijensia yao ni hafifu na ukawa unawapa heko Hamas ?!! Silly, lazy brain, bitc*h ass femaile gaidi muslim idiot, leo umeona Hamas wananyukwa umekuja na mkanda mwingine.
 
Tanzania kama nchi tunatakiwa tuchukuwe fursa zilizopo za kinachoendelea hivi sasa. Tuendelee kulaani mauwaji ya raia wasio na hatia na tuendelee kubaki hatufungamani na upande wowote, huku tukizitumia fursa kuzifanya faida (Resilience).
Fursa zipi kwa mfano
 
Hapo nakuelewa kabisa,,,,,, kuna mchezo hapo unachezwa
 
Ramli chonganishi

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Conspiracy theory
 
Siasa za kimataifa bado ujazijua wewe USA ndiye anayelinda ufalme wao mpaka leo upo pale na saud Arabia Yuko pale ili kulinda interest zao..west wanaikumbuka vizuri Dola ya ottoman ilivyowasumbua wakaapa watahakikisha kitu kama kila akitokei tena.. Saudia ndio walioipa nguvu dola Kwenye Mafuta baada ya kukubaliana kuwa wao watauza mafuta kwa dola na US kazi yao itakuwa ni kuakikisha ufalme wao wanaulinda kwa kila condition.. mambo ya Biden kutokuelewana na MBS wa saud yasikuumize kichwa ni siasa tu lakini Saud hana uwezo wala nguvu ya kumkacha US kwa kila angle..
 
Kuungana hakujaanza leo, ndicho kimojawapo kinachowatisha US.

Baada ya MBS kukorofishana na Biden tu, akaanza kufanya mahusiano na wale wote ambao USA haiwakubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…