Sakata la Israel na Palestina anaetafutwa na Marekani ni Saudi Arabia. Gaza wanazuga tu

Kinachoipa shida US ni kitendo cha waarabu kuwa na muelekeo wa kuungana, hiyo ni shida sana.

Na tayari Iran na Saudia wana muelekeo wa kuungana. Na endapo waarabu wote wakiungana, yale mataifa makubwa Iran, Saudia, Egypty itakuwa ngumu sana kwa US kuleta chokochoko zozote middle east na hii itapelekea Israel kuwa kwenye hatari kubwa sana ya kiusalama
Usisahau pia Saudi Arabia alikua kwenye mazungumzo chanya ya mashirikiano na Israel.

Iran na Hamas hawataki kuona hilo.
 
Kuvamiwa kwa Isael ni mpango uliosukwa ukasukika kama ulivyosukwa mpango wa 9/11. Kinachotafutwa ni Saudi Arabia siyo Gaza wala Palestina wala Iran.

Naamini kuwa Israel na Palestina na yanayoendelea huko Gaza ni uwakala (proxy) tu wa kutafutwa Saudi Arabia. MBS wa Saudi Arabia" alimtowa nishai" sana Biden mara kadhaa. Alipotembelea Saudi Arabia miaka miwili nyuma alidharauliwa sana na MBS. Kafanya donge. Kumbuka MBS anawiza sana na Trump.

Kama hiyo haitoshi, Saudi Arabia kuikomowa USA, kaanza kukata biashara kwa kiwango kikubwa na USA na kahamia China na Urusi, kajiunga mpaka BRICS

MBS na Biden, picha haziendi kabisa toka Biden kaingia madarakani. Kwa mnaofatilia siasa za duniani, hilo haliwapi shida, lipo wazi kabisa.

Siamini kuwa kikundi kidogo kama Hamas, kiweze kufanya mashambulizi yale ya tarehe 7/10 bila Wayahudi kujuwa. Ile ni mipango iliyopangwa ikasukika kama ya 9/11, matokeo ya 9/11 ikavamiwa Iraq na Afghanistan. ikapigwa Sudan, Ikapigwa na kusambaratishwa Libya, zote hizo hazikuwa na hatia yoyote 9/11.

Saudi Arabia iliyosemekana vijana wake ndiyo waliohusika kwa zaidi ya 90% na shambulio la 9/11 haikuguswa kabisa bali ikawa inatemeshwa fedha zote za vita vya Iraq na Afghanistan, kibabe, ikipenda isipende.

MBS alivyogoma tu kutowa fedha na kubadilisha msimamo wake kwa kuwa yenyewe ilikuwa inakabiliwa na janga la Yemen, USA na NATO hawakubaki Afghanistan, wakajiondowa Afghanistan mbiombio.

MBS na Saudi Arabia ndiyo wanaoonekana nuksi kwa USA na NATO sasa hivi, Israel na Palestina wanatumika kama "proxy" tu.

Sasa hivi uchokozi wote uanelekezwa Saudi Arabia, wanatiwa uchungu Waarabu na Waislam waishinikize Saudi Arabia ijiingize kwenye mzozo liwageukie. Anachotakiwa Saudi Arabia sasa hivi ni arushe japo risasi moja au aseme hovyo tu aanze kutandikwa mpaka MBS aondolewe kabisa ili USA waweke vibaraka wao Saudi Arabia.

Bila MBS kuondoka Saudi Arabia, kwa hiyari au kwa nguvu, na vibaraka wa 'hewala bwana' kwa USA kuwepo, Israel na Palestina vita havitosimama elo wala kesho.

Hilo MBS alilielew, siyo mjinga, alipomfanyia ujeuri tu USA, tukaanza kuona, miaka miwili mitatu sasa, Saudi Arabia inajiingiza kwa nguvu kwenye uhusiano na Urusi na China. Tusishangae tukoona pia anaingia uhusiano na Kiduku.

Tanzania kama nchi tunatakiwa tuchukuwe fursa zilizopo za kinachoendelea hivi sasa. Tuendelee kulaani mauwaji ya raia wasio na hatia na tuendelee kubaki hatufungamani na upande wowote, huku tukizitumia fursa kuzifanya faida (Resilience).
Kwa ninavyoijua USA haya yanawezekana kabisa. Wana michezo michafu mingi Sana kwa maslahi yao ya kiuchumi.

Sababu Hata Hawa Hamas na Hizbollah USA kashiriki kikamilifu kuwatengeneza. Na si ajabu pia Hamas kafanya haya kwa maelekezo ya Marekani.

Popote duniani Marekani Ina maslahi ya kudumu lkn hawana rafiki wa kudumu.
 
MBS ni kijana mdogo sana kwa USA.

Kumbuka USA ndio anatoa ulinzi wa Saudi Arabia kuanzia maka hadi nyumbani kwa MBS.

So USA wakitaka kumchomoa hawakawii, wanawapa waasi vifaa MBS anachomoka mchana kweupe.
 
Hivi kinachoendelea Palestine ni vita au mauaji sioni majibizano ya wapiganaji
 
Kama kweli vita ya 3 inanukia, ila wasijaribu tu kuigusa Africa
 
Duu hii kali kuliko! hivi Kuna mshirika mwaminifu wa Marekani kuliko MBS na ufalme wa Al Saud?
 
Hapana, Hamas linatumika jina tu, kama lilivyotumika jina Al Qaeda, wanauliwa huko ni Wapalestina.
Jicho umetumia kuangalia hii kitu liko ndani sana sio rahisi kueleweka nadhani inahitaji mtu awe anaweza kuunganisha dots nyingi
 
Duu hii kali kuliko! hivi Kuna mshirika mwaminifu wa Marekani kuliko MBS na ufalme wa Al Saud?
Alishaanza kwenda BRICS, karudisha uhusiano na Iran, kaounguza sana kununuwa silaha za.Kimarekani, kaacha vita na Houthi wa Yemen. Kaanzisha uhusiqno wa nguvu na China na USSR.

Pia inajulikana wazi kuwa MbS hapatani kabisa na Biden.

Lazima atafutwe.
 
porojo hizo
MBS huyuhuyu wa SAUDI VISION 2030 anayefanya reforms za kudestroy pure islam,aliyepata uenyeji wa Word Cup 2034
yaani bond ya USA na al Saudi family kipindi hiki ndio kipindi ambacho imekuwa stable kuliko kipindi chochote kile katika historia!
Tuepuke porojo nyingine zisizo na chembe hata ya ukweli
 
Sasa nikiwa kama muuguzi ninaetamania nafasi Izo za saudi 500 unalpi la kunishauri
 
Nenda tu kafanye kazi, hukuyapenda unarudi, si unaenda kwa dhamana ya serikali.

Lakini kumbuka, kurudi ni lazima uwe umeshatumika mkataba wako wa kwanza ili watu warudishe japo gharama zao, hakuna kwenda kujaribu huko.
 
shukrani ila sidhan Kama serikalin yaweza tuuza iviv..ngja tujarb bahat
 
Tangazo hujaliona?

Kuuzwa au kwenda kufanya kazi ni wewe sasa utatafsiri upendavyo.

Haya mambo huyaelewi, wenzenu India huko hawaendi mpaka waweke dhamana za gharama zinazoingiwa. Hapa mpaka sasa serikali ndiyo inawadhamini, kwa maana inaamini mtakwenda kufanya kazi.
 
Kuvamiwa kwa Isael ni mpango uliosukwa ukasukika kama ulivyosukwa mpango wa 9/11. Kinachotafutwa ni Saudi Arabia siyo Gaza wala Palestina wala Iran.

Naamini kuwa Israel na Palestina na yanayoendelea huko Gaza ni uwakala (proxy) tu wa kutafutwa Saudi Arabia. MBS wa Saudi Arabia" alimtowa nishai" sana Biden mara kadhaa. Alipotembelea Saudi Arabia miaka miwili nyuma alidharauliwa sana na MBS. Kafanya donge. Kumbuka MBS anawiza sana na Trump.

Kama hiyo haitoshi, Saudi Arabia kuikomowa USA, kaanza kukata biashara kwa kiwango kikubwa na USA na kahamia China na Urusi, kajiunga mpaka BRICS

MBS na Biden, picha haziendi kabisa toka Biden kaingia madarakani. Kwa mnaofatilia siasa za duniani, hilo haliwapi shida, lipo wazi kabisa.

Siamini kuwa kikundi kidogo kama Hamas, kiweze kufanya mashambulizi yale ya tarehe 7/10 bila Wayahudi kujuwa. Ile ni mipango iliyopangwa ikasukika kama ya 9/11, matokeo ya 9/11 ikavamiwa Iraq na Afghanistan. ikapigwa Sudan, Ikapigwa na kusambaratishwa Libya, zote hizo hazikuwa na hatia yoyote 9/11.

Saudi Arabia iliyosemekana vijana wake ndiyo waliohusika kwa zaidi ya 90% na shambulio la 9/11 haikuguswa kabisa bali ikawa inatemeshwa fedha zote za vita vya Iraq na Afghanistan, kibabe, ikipenda isipende.

MBS alivyogoma tu kutowa fedha na kubadilisha msimamo wake kwa kuwa yenyewe ilikuwa inakabiliwa na janga la Yemen, USA na NATO hawakubaki Afghanistan, wakajiondowa Afghanistan mbiombio.

MBS na Saudi Arabia ndiyo wanaoonekana nuksi kwa USA na NATO sasa hivi, Israel na Palestina wanatumika kama "proxy" tu.

Sasa hivi uchokozi wote uanelekezwa Saudi Arabia, wanatiwa uchungu Waarabu na Waislam waishinikize Saudi Arabia ijiingize kwenye mzozo liwageukie. Anachotakiwa Saudi Arabia sasa hivi ni arushe japo risasi moja au aseme hovyo tu aanze kutandikwa mpaka MBS aondolewe kabisa ili USA waweke vibaraka wao Saudi Arabia.

Bila MBS kuondoka Saudi Arabia, kwa hiyari au kwa nguvu, na vibaraka wa 'hewala bwana' kwa USA kuwepo, Israel na Palestina vita havitosimama elo wala kesho.

Hilo MBS alilielew, siyo mjinga, alipomfanyia ujeuri tu USA, tukaanza kuona, miaka miwili mitatu sasa, Saudi Arabia inajiingiza kwa nguvu kwenye uhusiano na Urusi na China. Tusishangae tukoona pia anaingia uhusiano na Kiduku.

Tanzania kama nchi tunatakiwa tuchukuwe fursa zilizopo za kinachoendelea hivi sasa. Tuendelee kulaani mauwaji ya raia wasio na hatia na tuendelee kubaki hatufungamani na upande wowote, huku tukizitumia fursa kuzifanya faida (Resilience).
Kwani ulikua unakimbilia wapi we bibi kuandika uzi!
Ungeweza tu kutulia na kuandika
Kila maneno yanamakosa sijui tuanze kulekebisha wapi
 
Back
Top Bottom