Sakata la Israel na Palestina anaetafutwa na Marekani ni Saudi Arabia. Gaza wanazuga tu

Sakata la Israel na Palestina anaetafutwa na Marekani ni Saudi Arabia. Gaza wanazuga tu

Sio kweli

What GAO Found​

The Department of Defense (DOD) administered at least $54.6 billion of military support to Saudi Arabia and the United Arab Emirates (UAE) from fiscal years 2015 through 2021. The vast majority of this support was defense articles and defense services, including training, purchased by these countries through the Foreign Military Sales program. For example, sales of defense articles included helicopters, missiles, and small diameter bombs. DOD also provided advisory services to Saudi Arabia and UAE, some addressing civilian harm reduction.

Examples of Defense Articles That May Be Purchased through Foreign Military Sales: Helicopters, Missiles, and Small Diameter Bombs

NA HII KUTOKA ALJAZZIRA

Once in office, Biden seemed to stay true to this line. He kept his distance from the Saudis and adopted the tone from the campaign trail.

For instance, Biden had his intelligence service’s report on the grisly murder of exiled critic Jamal Khashoggi published – evidence that directly linked Crown Prince Mohammed bin Salman (MBS). As a result, sanctions against 76 citizens of Saudi Arabia were imposed, and arms deliveries to Saudi Arabia were frozen.

However, after eight months in office, Biden appears inclined to maintain the longstanding partnership despite all the controversy.

On Monday, US national security adviser Jake Sullivan became the highest-ranking Biden administration official to visit Saudi Arabia.

The US State Department also recently approved an agreement on military-support services for Saudi Arabia worth up to $500m.

As announced by the Pentagon, it involves the ongoing maintenance of a wide range of helicopters, including a future fleet of CH-47D Chinook transport aircraft.
 
Wapi imeeleza marekani inaisaidia bajeti ya kijeshi ya saudia kwa 80%?

Hiyo misaada ya kijeshi ni marekani t kijishebedua na kujipendekeza tu. Saudia ina uwezo wa kununua silaha zozote na popote pale inapohitaji.

Alikuwa anampa michumamichuma yenye gharama kubwa usanisi sawa na sifuri.
 
Wapi imeeleza marekani inaisaidia bajeti ya kijeshi ya saudia kwa 80%?

Hiyo misaada ya kijeshi ni marekani t kijishebedua na kujipendekeza tu. Saudia ina uwezo wa kununua silaha zozote na popote pale inapohitaji
Ahahahahaha! Kaa ukijuwa, no US no Saudia Arabia. Lala nayo hiyo.
 
Unajua lakini km saudi arabia kajiunga na brics?na usa alikuwa anamlinda saudia dhidi ya iran hakuna adui mwengine wa saudia na sasa hv wameshaelewana anabaki analinda nn na alikuwa anauza silaha nyingi saudia sababu ya uoga wa kuvamiwa na iran sasa hv vitisho hakuna amepoteza soko la silaha hapo ndio hasira zinapoanzia.
Iyo BRICS siyo tishio kwa USA ndio mahana Saudia ameachwa ajiunge ..kuna majirani kibao wa saud awaupendi ule ufalme ukiachana na wananchi wao ..siku US akiikacha saud ule utawala ata wiki aufikishi vita lazima itatokea either ya wenyewe kwa wenyewe au na majirani zake..
 
Kinachoipa shida US ni kitendo cha waarabu kuwa na muelekeo wa kuungana, hiyo ni shida sana.

Na tayari Iran na Saudia wana muelekeo wa kuungana. Na endapo waarabu wote wakiungana, yale mataifa makubwa Iran, Saudia, Egypty itakuwa ngumu sana kwa US kuleta chokochoko zozote middle east na hii itapelekea Israel kuwa kwenye hatari kubwa sana ya kiusalama
Eti warabu wana uelekeo wa kuungana!!!! Sio rahisi ki hivyo, USA, atabaki kuwa mbabe tu kwa miaka mingiiii!! Umemuona MADURO? sasa amekubali mwenyewe yaishe tu, baada ya kuona hao china, urusi ambao ni marafiki zake hawana la kumsaidia miaka yote, na hana uwezo wa kuuza mafuta yake nje, kisa vikwazo vya US!! Leo amekubali ufanyike uchaguzi huru tena waangalizi watoke EU, na US!!, na vikwazo vya uuzaji mafuta vinaenda kuondolewa!! Ili kuwa taifa kubwa duniani lazima uwe na NGUVU ZA KIUCHUMI NA USHAWISHI!! vitu ambavyo si china wala urusi mwenye navyo vyote!
 
Kila mtu anamuona mwenzake hana akili🤣🤣
Wewe upo kwenye kukariri tu lakini alichokieleza hapo bi mkuwa kina make sense.

Saudia ndio ilikuwa kete kubwa sana ya marekani kufanya nchi za kiarabu zisiwe na uwelewano. Kama huo uwadui wa iran na saudia marekani ndio alioutengeneza ili apige pesa ya msaudia na kuisaidia Israel kwa kuzifanya nchi za kiarabu kutoelewana.

Sasa hii kitu saudia ilivyochenji kwa kiasi kikubwa, ni jambo la kuwekea question mark. Kwanza hilo la kupatana na irani ni pigo kubwa kwa Israel na marekani, kujiunga na bricks, kujiweka karibu na china na Russia. Haya mambo tunayaangalia kwa uwepeai sana lakini kuna kitu kikubwa sana ktk huku kubadilika kwa saudia
Ugomvi wa Saudia na Iran ni kwa sababu ya SUNNI na Shia. Ugomvi huo uko Pakistan, ambako nyinyi SUNNI mnawaua wenzenu Shia; ugomvi huo upo Iraq; upo Lebanon na pia hapa Tanzania unafikuta au unakifanya hauujui?
Bricks, Wala isikupe shida. Kwanza haitadumu na Wala hawatafanikiwa kuireplace Anglo-American super power. The bible says so
 
Kuvamiwa kwa Isael ni mpango uliosukwa ukasukika kama ulivyosukwa mpango wa 9/11. Kinachotafutwa ni Saudi Arabia siyo Gaza wala Palestina wala Iran.

Naamini kuwa Israel na Palestina na yanayoendelea huko Gaza ni uwakala (proxy) tu wa kutafutwa Saudi Arabia. MBS wa Saudi Arabia" alimtowa nishai" sana Biden mara kadhaa. Alipotembelea Saudi Arabia miaka miwili nyuma alidharauliwa sana na MBS. Kafanya donge. Kumbuka MBS anawiza sana na Trump.

Kama hiyo haitoshi, Saudi Arabia kuikomowa USA, kaanza kukata biashara kwa kiwango kikubwa na USA na kahamia China na Urusi, kajiunga mpaka BRICS

MBS na Biden, picha haziendi kabisa toka Biden kaingia madarakani. Kwa mnaofatilia siasa za duniani, hilo haliwapi shida, lipo wazi kabisa.

Siamini kuwa kikundi kidogo kama Hamas, kiweze kufanya mashambulizi yale ya tarehe 7/10 bila Wayahudi kujuwa. Ile ni mipango iliyopangwa ikasukika kama ya 9/11, matokeo ya 9/11 ikavamiwa Iraq na Afghanistan. ikapigwa Sudan, Ikapigwa na kusambaratishwa Libya, zote hizo hazikuwa na hatia yoyote 9/11.

Saudi Arabia iliyosemekana vijana wake ndiyo waliohusika kwa zaidi ya 90% na shambulio la 9/11 haikuguswa kabisa bali ikawa inatemeshwa fedha zote za vita vya Iraq na Afghanistan, kibabe, ikipenda isipende.

MBS alivyogoma tu kutowa fedha na kubadilisha msimamo wake kwa kuwa yenyewe ilikuwa inakabiliwa na janga la Yemen, USA na NATO hawakubaki Afghanistan, wakajiondowa Afghanistan mbiombio.

MBS na Saudi Arabia ndiyo wanaoonekana nuksi kwa USA na NATO sasa hivi, Israel na Palestina wanatumika kama "proxy" tu.

Sasa hivi uchokozi wote uanelekezwa Saudi Arabia, wanatiwa uchungu Waarabu na Waislam waishinikize Saudi Arabia ijiingize kwenye mzozo liwageukie. Anachotakiwa Saudi Arabia sasa hivi ni arushe japo risasi moja au aseme hovyo tu aanze kutandikwa mpaka MBS aondolewe kabisa ili USA waweke vibaraka wao Saudi Arabia.

Bila MBS kuondoka Saudi Arabia, kwa hiyari au kwa nguvu, na vibaraka wa 'hewala bwana' kwa USA kuwepo, Israel na Palestina vita havitosimama elo wala kesho.

Hilo MBS alilielew, siyo mjinga, alipomfanyia ujeuri tu USA, tukaanza kuona, miaka miwili mitatu sasa, Saudi Arabia inajiingiza kwa nguvu kwenye uhusiano na Urusi na China. Tusishangae tukoona pia anaingia uhusiano na Kiduku.

Tanzania kama nchi tunatakiwa tuchukuwe fursa zilizopo za kinachoendelea hivi sasa. Tuendelee kulaani mauwaji ya raia wasio na hatia na tuendelee kubaki hatufungamani na upande wowote, huku tukizitumia fursa kuzifanya faida (Resilience).
Umechemka kidogo,mbona serikali ya Saudi Arabia imelitambua rasmi taifa la Israel?
 
Kweli lakini si vile tena, haya nieleze vipi America anaitafuta Saud Arabia wakati kila kitu anapata kutoka kwa Saud Arabia na hao askari 10,000 siwatakua chambo kutoka Iran, Turkey na Yemen na mataifa mengi tu ya kislam.

Amerika acheze na Saud Arabia kwa urafiki tu zaidi ya hapo America hawezi kupigana na mataifa ya kislam.
Unaongea kwa hisia au kwa fact ..?

Wenzako wanajua America anaweza kupigana na Russia , China na N KOREA at the same time

Kuna taifa la kiarabu linaweza uo mtiti ..?
 
Waarabu wana roho mbaya kuliko Wayahudi,sema tu Waarabu wanazidiwa uwezo wa kivita na Wayahudi ndio maana mambo yanakuwa stable.Vinginevyo waarabu wangekuwa na uwezo Wayahudi wasingekuwepo!
Fact
 
Eti warabu wana uelekeo wa kuungana!!!! Sio rahisi ki hivyo, USA, atabaki kuwa mbabe tu kwa miaka mingiiii!! Umemuona MADURO? sasa amekubali mwenyewe yaishe tu, baada ya kuona hao china, urusi ambao ni marafiki zake hawana la kumsaidia miaka yote, na hana uwezo wa kuuza mafuta yake nje, kisa vikwazo vya US!! Leo amekubali ufanyike uchaguzi huru tena waangalizi watoke EU, na US!!, na vikwazo vya uuzaji mafuta vinaenda kuondolewa!! Ili kuwa taifa kubwa duniani lazima uwe na NGUVU ZA KIUCHUMI NA USHAWISHI!! vitu ambavyo si china wala urusi mwenye navyo vyote!
Still bado maduro atashinda Maduro awezi kuwasahau maswahiba zake Russia na China msaada waliompa mpaka kufikia apo ni mkubwa sana bila wao leo hii maduro angekuwa ameshakimbia nchi lakini kitendo cha Russia kuingilia tu tuliona west wote wakitokomea kusikojulikana ..muache apige hela za mafuta west wenyewe nao wanamuitaji kwa ajili ya kustabilize bei mafuta duniani..
 
Hana cha National Security, Israel ni mke waliyeambiwa kaa hapa akakaa. Hana kauli mbele ya mumewe.

Hiyo siyo "news" hiyo ni 'analysis" ya FaizaFoxy.

Unafikiri kila unachokiona kwenye mtandao ni "news"?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Labda walisomea shule za madrasa.
 
So unaunga mkono upumbavu aliofanya MBS wa kumuua mtu kwa kumkata kata vipande? Maana ugomvi wa Marekani na na yeye unaanzia hapo. Halafu siku huyo mtu wako anafanikiwa kuwa mfalme wa Saudia, hakuna rangi wenzake hawataiona. Maana japo wenzake ni madikteta ila wanatafuta consensus. Hana tofauti na Xi.
Xi kafanyaje?
 
Back
Top Bottom