Sakata la Israel na Palestina anaetafutwa na Marekani ni Saudi Arabia. Gaza wanazuga tu

Sakata la Israel na Palestina anaetafutwa na Marekani ni Saudi Arabia. Gaza wanazuga tu

Kuvamiwa kwa Isael ni mpango uliosukwa ukasukika kama ulivyosukwa mpango wa 9/11. Kinachotafutwa ni Saudi Arabia siyo Gaza wala Palestina wala Iran.

Naamini kuwa Israel na Palestina na yanayoendelea huko Gaza ni uwakala (proxy) tu wa kutafutwa Saudi Arabia. MBS wa Saudi Arabia" alimtowa nishai" sana Biden mara kadhaa. Alipotembelea Saudi Arabia miaka miwili nyuma alidharauliwa sana na MBS. Kafanya donge. Kumbuka MBS anawiza sana na Trump.

Kama hiyo haitoshi, Saudi Arabia kuikomowa USA, kaanza kukata biashara kwa kiwango kikubwa na USA na kahamia China na Urusi, kajiunga mpaka BRICS

MBS na Biden, picha haziendi kabisa toka Biden kaingia madarakani. Kwa mnaofatilia siasa za duniani, hilo haliwapi shida, lipo wazi kabisa.

Siamini kuwa kikundi kidogo kama Hamas, kiweze kufanya mashambulizi yale ya tarehe 7/10 bila Wayahudi kujuwa. Ile ni mipango iliyopangwa ikasukika kama ya 9/11, matokeo ya 9/11 ikavamiwa Iraq na Afghanistan. ikapigwa Sudan, Ikapigwa na kusambaratishwa Libya, zote hizo hazikuwa na hatia yoyote 9/11.

Saudi Arabia iliyosemekana vijana wake ndiyo waliohusika kwa zaidi ya 90% na shambulio la 9/11 haikuguswa kabisa bali ikawa inatemeshwa fedha zote za vita vya Iraq na Afghanistan, kibabe, ikipenda isipende.

MBS alivyogoma tu kutowa fedha na kubadilisha msimamo wake kwa kuwa yenyewe ilikuwa inakabiliwa na janga la Yemen, USA na NATO hawakubaki Afghanistan, wakajiondowa Afghanistan mbiombio.

MBS na Saudi Arabia ndiyo wanaoonekana nuksi kwa USA na NATO sasa hivi, Israel na Palestina wanatumika kama "proxy" tu.

Sasa hivi uchokozi wote uanelekezwa Saudi Arabia, wanatiwa uchungu Waarabu na Waislam waishinikize Saudi Arabia ijiingize kwenye mzozo liwageukie. Anachotakiwa Saudi Arabia sasa hivi ni arushe japo risasi moja au aseme hovyo tu aanze kutandikwa mpaka MBS aondolewe kabisa ili USA waweke vibaraka wao Saudi Arabia.

Bila MBS kuondoka Saudi Arabia, kwa hiyari au kwa nguvu, na vibaraka wa 'hewala bwana' kwa USA kuwepo, Israel na Palestina vita havitosimama elo wala kesho.

Hilo MBS alilielew, siyo mjinga, alipomfanyia ujeuri tu USA, tukaanza kuona, miaka miwili mitatu sasa, Saudi Arabia inajiingiza kwa nguvu kwenye uhusiano na Urusi na China. Tusishangae tukoona pia anaingia uhusiano na Kiduku.

Tanzania kama nchi tunatakiwa tuchukuwe fursa zilizopo za kinachoendelea hivi sasa. Tuendelee kulaani mauwaji ya raia wasio na hatia na tuendelee kubaki hatufungamani na upande wowote, huku tukizitumia fursa kuzifanya faida (Resilience).
Leo umechambua Kama sio mfia dini.
 
Waarabu wana roho mbaya kuliko Wayahudi,sema tu Waarabu wanazidiwa uwezo wa kivita na Wayahudi ndio maana mambo yanakuwa stable.Vinginevyo waarabu wangekuwa na uwezo Wayahudi wasingekuwepo!
 
Matukio ya kisiasa ,kiuchumi, kimazingira, kidini, au hata ya kijamii yanayotukia katika dunia hii ya sasa, naamini pasi na shaka yanakuwa yamepangwa na kikundi cha watu wachache wenye nguvu ya kimadaraka na kifedha ili kutimiza ajenda kuu za kishetani.

Kama huamini, tizama kwa umakink hichi kibonzo katika jarida maarufu la 'The Economist ' kilichochapishwa miaka michache iliyopita.

Note: Israel na hamas wakipigana katika namna ambayo hamas waliitumia kuishambulia Israeli.
IMG_20231022_221713.jpg
 
Fursa zipi kwa mfano
Eti fursa za viwanja vya michezo. Anatafuta watu na nchi za kuwaunga mkono hamas na palestina. Hatuhitaji fursa za namna hiyo. Tanzania tutaendelea kuwa nchi isiyofungamana na upande wowote. Hata tukikemea mauaji, ukatili,uasi, uonevu na kadhalika tutakemea, lakini si kwa minajili ya kujipatia chochote. Hizo fursa zao labda wapeleke Lebanon huko.
 
People are confusing different positions. Palestine is a "Geographical Area and not a Country" and has NEVER BEEN A COUNTRY. The name Palestine comes from the old Greek-Roman occupying power which has occupied various areas in the Middle East. It is like, for example, "Balkans" it is neither a country but a Geographical area. Israel is a country with its several thousand years of history with different Kings and dignitaries who fought for several thousand years with different Occupying Powers. Israel has its own "Unique Language" and Culture payment Coins and millions of archaeological recordings. Israel is one of the oldest countries on our planet.
 
hizo stori wanapigwa watoto gaza mmebana pumbu hakuna taifa la kiarabu linalopeleka msaada halafu mnasema wamoja.Gaza inakuwa majivu,Usicheze na wazayuni.
Tunaishi kwa maandiko na historia... tunapachikwa iman na zinakuwa thabit mpaka tunaamua kuyaishi maisha ya kufikirika.

Hakuna ajuaye kama kweli au sound...
 
Ulichokiandika ni sawa sawa na wale wake zetu wanaotupiga na wao kupiga kelele kwa majirani ananiua !! Ananiua wakati yeye ndio amenianza . Sasa hapo palikuwa pametulia kabisa hamasi kwa makusudi wakarusha mvua ya makombora kwa vijana waliokuwa kwenye sherehe. Sasa wamejibiwa mnaanza kumsingizia mmarekani
Pale pametulia una uhakika au ndo unskaa kwwa shemeji unakula bure haujui yanayotekea ,hivi unajua hamasi ni kama wako jela
 
Hana cha National Security, Israel ni mke waliyeambiwa kaa hapa akakaa. Hana kauli mbele ya mumewe.

Hiyi siyo "news" hiyo ni 'analysis" ya FaizaFoxy.

Unafikiri kila unachokiona kwenye mtandao ni "news"?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Faizafoxy aka bibi kikongwe Mbweha
 
Hiyo ya hamas ni mpango uliosukwa na US na Israel ule.
Yaani Israel atengeneze makusudi tu dili la Hamas kuua raia wake karibu elfu wasio na hatia, na mamia wengine watekwe?!
Em kuwa serious basi
 
Yaani Israel atengeneze makusudi tu dili la Hamas kuua raia wake karibu elfu wasio na hatia, na mamia wengine watekwe?!
Em kuwa serious basi
Hapana, game haijachezwa hivyo, imechezwa kiasi Wapalestina waone wamepata upenyo wautumie.

Kumbukuka "Hamas" linatajwa sana ili watu wasaghau kama tatizo ni Wapalestina na Israel.

Hiyo ni kama samaki katupiwa chambo, matokeo? Wapalestina wakaitumia fursa na ndiyo Israel wakachochewa na US, mkiwaacha hawa watarudi tena, wamalizeni kabisa, sisi tupo na nyinyui. US kasogeza Maowari za kivita, anaendelea kutuma silaha na intelijensia za sattellite kila kukicha.

Ni game kubwa hiyo ya Hollywood.
 
FaizaFoxy Ebana huko Saudia si ndo Makkah ilipo?!

Marekani kama watathubutu kutwanga makombora kule ndo tutaona rasmi mwisho wa Marekani na kusambaratika kwake kama tissue kwenye maji au chumvi na sukari.

Ref: Jeshi la tembo na ndege, enzi za kina Mfalme Abrah, wakatumwa jeshi la ndege kutoka kwa Allah na vijiwe vya moto [emoji4][emoji1474]
Aiseeeeee!
 
Unaweza kututhibitishia hili tafadhali?
Pitia mtandao kabla ya tarehe 7/10 ujionee. Kilichokuwa kinaendelea.

Ushahidi nimeanza kuuweka juu huko, nimeweka jinsi MBS na Biden wasivyo wiva chungu kimoja, tazama post #19. Ntaendelea kuwaletea vitu kidogo kidogo.
 
Hapana, game haijachezwa hivyo, imechezwa kiasi Wapalestina waone wamepata upenyo wautumie.

Kumbukuka "Hamas" linatajwa sana ili watu wasaghau kama tatizo ni Wapalestina na Israel.

Hiyo ni kama samaki katupiwa chambo, matokeo? Wapalestina wakaitumia fursa na ndiyo Israel wakachochewa na US, mkiwaacha hawa watarudi tena, wamalizeni kabisa, sisi tupo na nyinyui. US kasogeza Maowari za kivita, anaendelea kutuma silaha na intelijensia za sattellite kila kukicha.

Ni game kubwa hiyo ya Hollywood.
Okay, a bit sensible..
Sasa, Saudi Arabia kutafutwa kunaingiaje hapo?!
 
Okay, a bit sensible..
Sasa, Saudi Arabia kutafutwa kunaingiaje hapo?!
Unajuwa USA kipato chake kikubwa cha nje anategemea biashara za vita. Ulinzi na silaha. Saudi Arabia MBS aligoma kuendlea kutowa pesa, akaparana na Iran akagoma kupunguza kiwango cha kuzalisha mafuta ili bei zipande.

Ikawa picha haiendi MBS na Biden, na Wamarekani kama kawaida yao, kama haupo nao basi ni adui yao. Kama hufanyi nao biashara kihiyari waingize pesa, watakutowa tu madarakani kwa njia yoyote ile, mradi uchumi wao uendelee kuwa na nguvu. Huwezi kinyangarakata mmoja ukateteresha uchumi wao wakakuwachia.
 
Pia kwa MBS kuna laana za kuwafunga mashekh.
Wale masheikh walikuwa wanafungwa sababu ya ugomvi wake na iran ni masheikh wa kishia sasa hv wameelewana hakuna hayo mambo.
 
Siasa za kimataifa bado ujazijua wewe USA ndiye anayelinda ufalme wao mpaka leo upo pale na saud Arabia Yuko pale ili kulinda interest zao..west wanaikumbuka vizuri Dola ya ottoman ilivyowasumbua wakaapa watahakikisha kitu kama kila akitokei tena.. Saudia ndio walioipa nguvu dola Kwenye Mafuta baada ya kukubaliana kuwa wao watauza mafuta kwa dola na US kazi yao itakuwa ni kuakikisha ufalme wao wanaulinda kwa kila condition.. mambo ya Biden kutokuelewana na MBS wa saud yasikuumize kichwa ni siasa tu lakini Saud hana uwezo wala nguvu ya kumkacha US kwa kila angle..
Unajua lakini km saudi arabia kajiunga na brics?na usa alikuwa anamlinda saudia dhidi ya iran hakuna adui mwengine wa saudia na sasa hv wameshaelewana anabaki analinda nn na alikuwa anauza silaha nyingi saudia sababu ya uoga wa kuvamiwa na iran sasa hv vitisho hakuna amepoteza soko la silaha hapo ndio hasira zinapoanzia.
 
Kuvamiwa kwa Isael ni mpango uliosukwa ukasukika kama ulivyosukwa mpango wa 9/11. Kinachotafutwa ni Saudi Arabia siyo Gaza wala Palestina wala Iran.

Naamini kuwa Israel na Palestina na yanayoendelea huko Gaza ni uwakala (proxy) tu wa kutafutwa Saudi Arabia. MBS wa Saudi Arabia" alimtowa nishai" sana Biden mara kadhaa. Alipotembelea Saudi Arabia miaka miwili nyuma alidharauliwa sana na MBS. Kafanya donge. Kumbuka MBS anawiza sana na Trump.

Kama hiyo haitoshi, Saudi Arabia kuikomowa USA, kaanza kukata biashara kwa kiwango kikubwa na USA na kahamia China na Urusi, kajiunga mpaka BRICS

MBS na Biden, picha haziendi kabisa toka Biden kaingia madarakani. Kwa mnaofatilia siasa za duniani, hilo haliwapi shida, lipo wazi kabisa.

Siamini kuwa kikundi kidogo kama Hamas, kiweze kufanya mashambulizi yale ya tarehe 7/10 bila Wayahudi kujuwa. Ile ni mipango iliyopangwa ikasukika kama ya 9/11, matokeo ya 9/11 ikavamiwa Iraq na Afghanistan. ikapigwa Sudan, Ikapigwa na kusambaratishwa Libya, zote hizo hazikuwa na hatia yoyote 9/11.

Saudi Arabia iliyosemekana vijana wake ndiyo waliohusika kwa zaidi ya 90% na shambulio la 9/11 haikuguswa kabisa bali ikawa inatemeshwa fedha zote za vita vya Iraq na Afghanistan, kibabe, ikipenda isipende.

MBS alivyogoma tu kutowa fedha na kubadilisha msimamo wake kwa kuwa yenyewe ilikuwa inakabiliwa na janga la Yemen, USA na NATO hawakubaki Afghanistan, wakajiondowa Afghanistan mbiombio.

MBS na Saudi Arabia ndiyo wanaoonekana nuksi kwa USA na NATO sasa hivi, Israel na Palestina wanatumika kama "proxy" tu.

Sasa hivi uchokozi wote uanelekezwa Saudi Arabia, wanatiwa uchungu Waarabu na Waislam waishinikize Saudi Arabia ijiingize kwenye mzozo liwageukie. Anachotakiwa Saudi Arabia sasa hivi ni arushe japo risasi moja au aseme hovyo tu aanze kutandikwa mpaka MBS aondolewe kabisa ili USA waweke vibaraka wao Saudi Arabia.

Bila MBS kuondoka Saudi Arabia, kwa hiyari au kwa nguvu, na vibaraka wa 'hewala bwana' kwa USA kuwepo, Israel na Palestina vita havitosimama elo wala kesho.

Hilo MBS alilielew, siyo mjinga, alipomfanyia ujeuri tu USA, tukaanza kuona, miaka miwili mitatu sasa, Saudi Arabia inajiingiza kwa nguvu kwenye uhusiano na Urusi na China. Tusishangae tukoona pia anaingia uhusiano na Kiduku.

Tanzania kama nchi tunatakiwa tuchukuwe fursa zilizopo za kinachoendelea hivi sasa. Tuendelee kulaani mauwaji ya raia wasio na hatia na tuendelee kubaki hatufungamani na upande wowote, huku tukizitumia fursa kuzifanya faida (Resilience).
hujui hata kusoma nyakari. anayetafutwa hapo ni IRAN. marekani hawezi hata siku moja kuifanyia hivyo saudia kwasababu ni mshirika wake mkubwa sana. hapo anatafutwa iran na muda si mrefu kibuyu kitapasuka.
 
Back
Top Bottom