Sakata la Israel na Palestina anaetafutwa na Marekani ni Saudi Arabia. Gaza wanazuga tu

Usisahau pia Saudi Arabia alikua kwenye mazungumzo chanya ya mashirikiano na Israel.

Iran na Hamas hawataki kuona hilo.
 
Kwa ninavyoijua USA haya yanawezekana kabisa. Wana michezo michafu mingi Sana kwa maslahi yao ya kiuchumi.

Sababu Hata Hawa Hamas na Hizbollah USA kashiriki kikamilifu kuwatengeneza. Na si ajabu pia Hamas kafanya haya kwa maelekezo ya Marekani.

Popote duniani Marekani Ina maslahi ya kudumu lkn hawana rafiki wa kudumu.
 
MBS ni kijana mdogo sana kwa USA.

Kumbuka USA ndio anatoa ulinzi wa Saudi Arabia kuanzia maka hadi nyumbani kwa MBS.

So USA wakitaka kumchomoa hawakawii, wanawapa waasi vifaa MBS anachomoka mchana kweupe.
 
Hivi kinachoendelea Palestine ni vita au mauaji sioni majibizano ya wapiganaji
 
Kama kweli vita ya 3 inanukia, ila wasijaribu tu kuigusa Africa
 
Duu hii kali kuliko! hivi Kuna mshirika mwaminifu wa Marekani kuliko MBS na ufalme wa Al Saud?
 
Hapana, Hamas linatumika jina tu, kama lilivyotumika jina Al Qaeda, wanauliwa huko ni Wapalestina.
Jicho umetumia kuangalia hii kitu liko ndani sana sio rahisi kueleweka nadhani inahitaji mtu awe anaweza kuunganisha dots nyingi
 
Duu hii kali kuliko! hivi Kuna mshirika mwaminifu wa Marekani kuliko MBS na ufalme wa Al Saud?
Alishaanza kwenda BRICS, karudisha uhusiano na Iran, kaounguza sana kununuwa silaha za.Kimarekani, kaacha vita na Houthi wa Yemen. Kaanzisha uhusiqno wa nguvu na China na USSR.

Pia inajulikana wazi kuwa MbS hapatani kabisa na Biden.

Lazima atafutwe.
 
porojo hizo
MBS huyuhuyu wa SAUDI VISION 2030 anayefanya reforms za kudestroy pure islam,aliyepata uenyeji wa Word Cup 2034
yaani bond ya USA na al Saudi family kipindi hiki ndio kipindi ambacho imekuwa stable kuliko kipindi chochote kile katika historia!
Tuepuke porojo nyingine zisizo na chembe hata ya ukweli
 
Sasa nikiwa kama muuguzi ninaetamania nafasi Izo za saudi 500 unalpi la kunishauri
 
Sasa nikiwa kama muuguzi ninaetamania nafasi Izo za saudi 500 unalpi la kunishauri
Nenda tu kafanye kazi, hukuyapenda unarudi, si unaenda kwa dhamana ya serikali.

Lakini kumbuka, kurudi ni lazima uwe umeshatumika mkataba wako wa kwanza ili watu warudishe japo gharama zao, hakuna kwenda kujaribu huko.
 
Nenda tu kafanye kazi, hukuyapenda unarudi, si unaenda kwa dhamana ya serikali.

Lakini kumbuka, kurudi ni lazima uwe umeshatumika mkataba wako wa kwanza ili watu warudishe japo gharama zao, hakuna kwenda kujaribu huko.
shukrani ila sidhan Kama serikalin yaweza tuuza iviv..ngja tujarb bahat
 
shukrani ila sidhan Kama serikalin yaweza tuuza iviv..ngja tujarb bahat
Tangazo hujaliona?

Kuuzwa au kwenda kufanya kazi ni wewe sasa utatafsiri upendavyo.

Haya mambo huyaelewi, wenzenu India huko hawaendi mpaka waweke dhamana za gharama zinazoingiwa. Hapa mpaka sasa serikali ndiyo inawadhamini, kwa maana inaamini mtakwenda kufanya kazi.
 
Kwani ulikua unakimbilia wapi we bibi kuandika uzi!
Ungeweza tu kutulia na kuandika
Kila maneno yanamakosa sijui tuanze kulekebisha wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…