Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Another PONZI SCHEME
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kabisa Mkuu. Tulisutwa humu, tuache wenzetu wapate, sisi tuendelee kukosa!Tuliwaambia mkasema sisi tunawivu
Mkuu hii ilikuwa 2020 tuliwambia tukapigwa sana spanaSawa kabisa Mkuu. Tulisutwa humu, tuache wenzetu wapate, sisi tuendelee kukosa!
Wakatishaji tamaa, negative, tulisutwa, kidogo almanusura wanaume tuvalishwe Madera na shanga!
DSE ilikuwa Desperate wakati wa Magufuli ilikosa kabisa mashirikacha kushangaza Jatu imeingia mpaka kwemye soko la hisa DSE .na thamani ya vipande kupanda kufikia juu.hapa na chungulia naona bado hipo kwenye hisa.
inaonyesha target yao walitaka iingie kwenye hisa na kupata share kubwa kwa njia wanazojua wao. ila imestaki
Hahaaaa kuna jamaa zangu walitaka kuniingiza chaka mwaka 2017.Kuna Uzi humu unasema jatu n Mr kuku mwingine ilikuwa suala la muda TU
Na hapo serikali imeshaona akaunt imenona watataifisha zote Kama DECI
Huwa naenda pale sabasaba kila wikend kula kitimoto choma jiran na kijiofis chao nawaona vijana wakiingia na kutoka wengi wao machoni hawana nuru wamechoka