KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Duh!!Mahakama ilitoa haki lini tena mahakama hii ya tanzania ?
ndio maana mtu mmoja alisema siendi mahakaman maana najua una nguvu ya pesa na cheo lakini nakuhakikishia kuna mahali mimi nitashinda , na kweli haikupita wiki mtu na mkewe na bint yao wakaliwa kichwa na israeli mtoa roho kwa pamoja
Mkuu ilikuaje hiyo.....??
Aliwatandika risasi au....??