demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Ni sawa! Let's assume Fakhi alikuwa na kadi 3 za njano.Yule mwesigwa ndio alichemka kabisa. Alikiri mchezaji Fakhi alikuwa na kadi tatu na akaamuru akakosa mchezo unaofuata wa Kagera hahahhaa tanzania kuna mapicha picha ya kifala sana.
Je kwanini hamkufuata kanuni za uwasilishwaji Rufaa...
Hapo ndipo FIFA Itawakama.