Sakata la Kagera: Simba SC tutatumia Dola Elfu 15 kuipeleka barua FIFA

Sakata la Kagera: Simba SC tutatumia Dola Elfu 15 kuipeleka barua FIFA

Wacha wakapate haki yao huko.TFF imejaa uzandiki unafiki na upendeleo wa wazi. Mwaka jana AZAM F.C walipokwa pointi tatu bila hiyo timu pinzani iliyocheza nao bila hata kukata rufaa ya kupewa pointi tatu. Walifanya hivyo ili AZAM F.C izidiwe pointi na timu ya Yanga timu ya Rais Malinzi.
Mkuu mbona unalialia sana kwani mmejipangaje mwaka huu!
 
Simba waende tu ili kuleta nidhamu na uadilifu kwenye usimamizi na utawala wa soka nchini ambao umeshuka kwa kiwango cha kutisha. Na Simba wafanye kweli wasilete uhuni, watafute pesa waende FIFA, ushindi ni guaranteed. Kule hakuna kupiga kura au kuangalia kamati ina wajumbe wangapi wa Yanga au Simba. Ni kanuni tu.

Malinzi na genge lake wanaendesha soka kwa kufuata upepo unavyovuma badala ya kuangalia kanuni zinasemaje. Kama kweli Simba wanalalamika kesi zao zote hazijatolewa maamuzi ila zile ambazo ziko againsta wao zinasikilizwa hata wakati wa sikukuu ujue kuna tatizo kubwa zaidi.
Si bure Simba imemis Libolo!
 
Hivi unajua unachokiandika? Ikimchezesha mchezaji mwenye kadi 3 za njano ni kupokwa points automatically. Haina haya ya kuandika barua wala rufani. Kumbuka mwaka jana Azam alivyonyang'anywa points na mbeya city akapewa. Mbeya city hawakuandika barua wala rufaa hata sms hawakutuma cz it's something automatically.
Vipi kuhusu rufaa ya Polisi dhidi ya Simba ilivyokataliwa sababu ya kanuni? (kutolipa ada ya tufaa)
 
Back
Top Bottom