Sakata la Kagera: Simba SC tutatumia Dola Elfu 15 kuipeleka barua FIFA

Yule mwesigwa ndio alichemka kabisa. Alikiri mchezaji Fakhi alikuwa na kadi tatu na akaamuru akakosa mchezo unaofuata wa Kagera hahahhaa tanzania kuna mapicha picha ya kifala sana.
Ni sawa! Let's assume Fakhi alikuwa na kadi 3 za njano.

Je kwanini hamkufuata kanuni za uwasilishwaji Rufaa...

Hapo ndipo FIFA Itawakama.
 
Hivi unajua unachokiandika? Ikimchezesha mchezaji mwenye kadi 3 za njano ni kupokwa points automatically. Haina haya ya kuandika barua wala rufani. Kumbuka mwaka jana Azam alivyonyang'anywa points na mbeya city akapewa. Mbeya city hawakuandika barua wala rufaa hata sms hawakutuma cz it's something automatically.
 
Kwenda kwao FIFA kupo based on wrong assumptions.

Wanadhani Yanga itateleza huku wao wakishinda mechi zao zote zilizo baki!

Wanapima upepo tu. Wakifungwa na African Lyon hata walipewa za mezani toka FIFA haitawasaidia.

Kuna kuna kulipa US $ 15,000 ambazo wanategemea hisani ya Mo Dewji
 
Ingekuwa hivyo, leo Simba Isingekuwa fainali ya Kombe la FA? Unalijua hilo?
Walimchezasha mwenye red card! Kama ingekuwa automatic basi polisi wasingeambiwa rufaa ilichelewa na haikulipiwa!
 
Halafu simba machizi kweli, walishindwa kulipa laki tatu tu, leo wanajibosti na ml 35!
 
Ingekuwa hivyo, leo Simba Isingekuwa fainali ya Kombe la FA? Unalijua hilo?
Walimchezasha mwenye red card! Kama ingekuwa automatic basi polisi wasingeambiwa rufaa ilichelewa na haikulipiwa!
Hapa tunaongelea ligi kuu. FA ina kanuni zake
 
Mbona huu mwaka wa nne imeachwa kama ilivyo?
Kwa hilo usitie shaka!
Na nyinyi mwaka wa ngapi mnafanya nini huko kama si aibu tupu kuleta hapa Tanzania.

Tulia wewe.. wenye kazi yao watakuja kaa mkao wa kula
 
Ingekuwa hivyo, leo Simba Isingekuwa fainali ya Kombe la FA? Unalijua hilo?
Walimchezasha mwenye red card! Kama ingekuwa automatic basi polisi wasingeambiwa rufaa ilichelewa na haikulipiwa!
 
Yani Mwesiga katia boko angekataa kuwa kuwa fakih ana kadi mbili simba wasingepata nguvu sasa yeye kukubali anatakiwa awape simba barua kwa maandishi kitu ambacho simba wanakingojea wawaburuze fifa na wapigwe faini yani TFF njia panda mimi namshauri Rais atoe maamzi kuwa point zirudi kwa simba kwakuwa makosa yapo na kanuni zipo wazi kwamtu mwenye kadi 3
 
Na nyinyi mwaka wa ngapi mnafanya nini huko kama si aibu tupu kuleta hapa Tanzania.

Tulia wewe.. wenye kazi yao watakuja kaa mkao wa kula
Wenye kazi yao walishachukua vikombe vingapi huko CAF?
 
Simba waende tu ili kuleta nidhamu na uadilifu kwenye usimamizi na utawala wa soka nchini ambao umeshuka kwa kiwango cha kutisha. Na Simba wafanye kweli wasilete uhuni, watafute pesa waende FIFA, ushindi ni guaranteed. Kule hakuna kupiga kura au kuangalia kamati ina wajumbe wangapi wa Yanga au Simba. Ni kanuni tu.

Malinzi na genge lake wanaendesha soka kwa kufuata upepo unavyovuma badala ya kuangalia kanuni zinasemaje. Kama kweli Simba wanalalamika kesi zao zote hazijatolewa maamuzi ila zile ambazo ziko againsta wao zinasikilizwa hata wakati wa sikukuu ujue kuna tatizo kubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom