Ni sawa! Let's assume Fakhi alikuwa na kadi 3 za njano.Yule mwesigwa ndio alichemka kabisa. Alikiri mchezaji Fakhi alikuwa na kadi tatu na akaamuru akakosa mchezo unaofuata wa Kagera hahahhaa tanzania kuna mapicha picha ya kifala sana.
Hivi unajua unachokiandika? Ikimchezesha mchezaji mwenye kadi 3 za njano ni kupokwa points automatically. Haina haya ya kuandika barua wala rufani. Kumbuka mwaka jana Azam alivyonyang'anywa points na mbeya city akapewa. Mbeya city hawakuandika barua wala rufaa hata sms hawakutuma cz it's something automatically.Ni sawa! Let's assume Fakhi alikuwa na kadi 3 za njano.
Je kwanini hamkufuata kanuni za uwasilishwaji Rufaa...
Hapo ndipo FIFA Itawakama.
Ingekuwa hivyo, leo Simba Isingekuwa fainali ya Kombe la FA? Unalijua hilo?Hivi unajua unachokiandika? Ikimchezesha mchezaji mwenye kadi 3 za njano ni kupokwa points automatically. Haina haya ya kuandika barua wala rufani. Kumbuka mwaka jana Azam alivyonyang'anywa points na mbeya city akapewa. Mbeya city hawakuandika barua wala rufaa hata sms hawakutuma cz it's something automatically.
Halafu simba machizi kweli, walishindwa kulipa laki tatu tu, leo wanajibosti na ml 35!Kwenda kwao FIFA kupo based on wrong assumptions.
Wanadhani Yanga itateleza huku wao wakishinda mechi zao zote zilizo baki!
Wanapima upepo tu. Wakifungwa na African Lyon hata walipewa za mezani toka FIFA haitawasaidia.
Kuna kuna kulipa US $ 15,000 ambazo wanategemea hisani ya Mo Dewji
Hapa tunaongelea ligi kuu. FA ina kanuni zakeIngekuwa hivyo, leo Simba Isingekuwa fainali ya Kombe la FA? Unalijua hilo?
Walimchezasha mwenye red card! Kama ingekuwa automatic basi polisi wasingeambiwa rufaa ilichelewa na haikulipiwa!
Iache Simba kama ilivyo..!Habari za kwenda kwenda FIFA ni politics za kuwatuliza wanachama ili waone viongozi wao kuna kitu wanafanya.
Mbona huu mwaka wa nne imeachwa kama ilivyo?Iache Simba kama ilivyo..!
Kanuni za rufaa ndiyo hizo hizo au zinafananaHapa tunaongelea ligi kuu. FA ina kanuni zake
Na nyinyi mwaka wa ngapi mnafanya nini huko kama si aibu tupu kuleta hapa Tanzania.Mbona huu mwaka wa nne imeachwa kama ilivyo?
Kwa hilo usitie shaka!
Ingekuwa hivyo, leo Simba Isingekuwa fainali ya Kombe la FA? Unalijua hilo?
Walimchezasha mwenye red card! Kama ingekuwa automatic basi polisi wasingeambiwa rufaa ilichelewa na haikulipiwa!
Wenye kazi yao walishachukua vikombe vingapi huko CAF?Na nyinyi mwaka wa ngapi mnafanya nini huko kama si aibu tupu kuleta hapa Tanzania.
Tulia wewe.. wenye kazi yao watakuja kaa mkao wa kula