Aliyekua Mkurugenzi wa mamlaka ya bandari, aliyesimamishwa kazi , injinia Kakoko amepekuliwa nyumbani kwake na polisi na TAKUKURU na kukutwa na begi kubwa lenye pesa za kimarekani 1,625,800.
Chanzo cha taarifa, kama ni tofauti na cha Kihogo sawa, ila kama ni chanzo kigogo kua uzi uko hapaAliyekua Mkurugenzi wa mamlaka ya bandari, aliyesimamishwa kazi , injinia Kakoko amepekuliwa nyumbani kwake na polisi na TAKUKURU na kukutwa na begi kubwa lenye pesa za kimarekani 1,625,800.
Mbona kama mataga mnaumia sana watu/wapinzani wanapomsifu Raisi?Kwani hata wana muda basi,wataanza hapa hapa kumkejeli Rais.Sisi tutafukua tu hizi Thread zao kuwakumbusha.
Nileteeni GwajimaaaaaaaaNaombeni mnipatie Gwajima
Aliyekua Mkurugenzi wa mamlaka ya bandari, aliyesimamishwa kazi , injinia Kakoko amepekuliwa nyumbani kwake na polisi na TAKUKURU na kukutwa na begi kubwa lenye pesa za kimarekani 1,625,800.
Si sahihi kusema ufisadi uliisha wakati wa awamu ya tano, na sidhani kama kuna mtu anayesema hivyo.Bado tunasafari ndefu.
View attachment 1738279
Hiyo ni kama 3.7 Billion Tshs to be exact.
Halafu kuna watu wanasema ufisadi uliisha awamu ya tano. Haukumalizwa bali ni watu wachache walijimilikisha mianya ya pesa kwa kukingiwa kifua na ikulu.
Siku ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma utakapopigwa vita kwa vitendo na kwa nguvu zote ndo nchi itasonga mbele.
Tumche aliye juuAliyekua Mkurugenzi wa mamlaka ya bandari, aliyesimamishwa kazi , injinia Kakoko amepekuliwa nyumbani kwake na polisi na TAKUKURU na kukutwa na begi kubwa lenye pesa za kimarekani 1,625,800.
Tumche aliye juu
Injinia ni kabila gani?
Pesa nyingi hiyo kuiweka homeMnyambo wa Biharamlo huko Kagera. Alikuwa darasa moja pale UDSM na James Mbatia Civil Engineering! Alimaliza 1992.
Unajua maana ya suprise visit? Labda kama kawekewa ila kama sivyo unakuta pesa zilikuwa in transit kuhifadhiwa ghafla usiku watu hawa hapa wanataka kukukagua.Kama kafanya hivo basi atakuwa mjinga wa dunia, hiyo pesa yote unaweza iweka ndani? Na siku alivyo tumbuliwa si ndo angestuka kuificha?
Mwizi gani huyo anashindwa kuzichimbia hata shimo?
Atakuwa aliziweka benk na sio nyumbani hakuna mtu mjinga kiasi hicho.
Pesa nyingi hiyo kuiweka home
Angethubutu kumgusa jamaa ya boss? Huo mrija utakuwa ulikuwa unatema mbali. Mtu anabweka kwa sauti kubwa ili kuficha ya chini ya carpet. Mh. Rais safisha mpaka Tanroad.Swali la msingi ni kwanini Majaliwa katika uchunguzi wake, akawatumbua "vidagaa" na kumuacha "papa" Kakoko aendelee kutamba?
Ndiyo utambue kuwa enzi za Hayati Magufuli, nchi alikuwa ikiendeshwa kwa mtindo wa "double standards" wa hali ya juu sana!