Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hakuna lolote, hao walikuwa wanabebwa na mfumo wa dikteta lakini hawana lolote na hawajui chochote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well saidDada hizo nipesa, wakwapua pesa hawatumii nguvu niakil tu mtu anakuibia naukienda kumpekua kwenye mahesabu huon chochote
Utoto unakusumbuais this the phylosphy of hiding informtion you don't want others to think of?
Akiri mie sijakiri oh, Kumbe hujui matumizi ya r na l neno ni akiliNina umri, akiri na busara zaidi ya baba yako.
Kuanzia shilingi ngapi ndo kosa?huenda unaongea kutokana na uelewa wako au uzoefu wako, kwa mjibu wa sheria ni kosa kuihifadhi kiasi kikubwa hivyo cha fedha nyumbani
Ni kama vile kuna concerted effort ya kutaka kumchafua tu.Watu wajinga sana,wameanza kumnanga marehemu,tujiulize marehemu alikuwa polisi kiasi kwamba alikuwa anajua huyu ana ana koba lake kalificha nyumbani,hiyo USD 1M inawatoa roho na kuacha yote mazuri aliyoyafanya marehemu,hiyo USD 1M ni hela ya mboga tu jamani,acheni ujinga daima tutamuenzi marehemu, hizo za akina Kakoko ni kitu gani bana, hizo ndio roho za korosho na za kwanini.
DuhWewe akili zako zipo matakoni kabisa! Pumba tupu umeandika humu! Sasa bosi wa PCCB ameagizwa na Mkuu wa nchi, aogope au apindishe nini na kwa faida ya nani?
Wewe akili zako zipo matakoni kabisa! Pumba tupu umeandika humu! Sasa bosi wa PCCB ameagizwa na Mkuu wa nchi, aogope au apindishe nini na kwa faida ya nani?
Duuh, mkuu unataka Mzee Mkinga arudi benchi na kuanza kuzunguka kwenye TV station na ajenda zake za Nasaco na mapato kupotea.BODI ya TPA pia Kbla ya Kuvunjwa wajumbe wake wachunguzwe kwa kina.
tunaomba vikosi vyetu vifanye kazi kwa
uzalendo.
maaana nakumbuka mwaka 2016 Bodi ya
TPA ilivunwa kisha ikaundwa nyingine
ambayo ndio hii iliyopo na kwa mara nyingine
tena tumeshuhudia Ubadhirifu wa kutisha!! na bodi ipo!!
wajumbe wa bodi wachunguzwe wote, huenda baadhi yao wanahusika ktk ubadhirifu huu wa billioni 4.
ni aibu kuendelea kukaa kwenye Bodi wakati amechafuka, Tena ingekuwa nchi za wenzetu alipaswa ajiuzulu mapema kabla hata bodi haijavunjwa.Duuh, mkuu unataka Mzee Mkinga arudi benchi na kuanza kuzunguka kwenye TV station na ajenda zake za Nasaco na mapato kupotea.
Kila mmoja ale kwenye urefu wa kamba yakeAlafu watumishi miaka 6 hawajaongezwa mishahara, fedha mnaiba mnakufa mnaziacha.
Pesa haramu unafananisha na chuki walionayo wananchi, mtu apate hela kihalali na sio kiwizi,Kumchukia mwenye pesa hakufanyi wewe uwe na pesa. Watanzania tutafute pesa tuache makasiriko yasiyo na msingi.
Watu wanafurahi kusikia mwenye nacho anapata shida.
Mama Samia oyeeee
Mimi tu ambae Sina wadhifa huwezi kukosa mil 1 ndani kwaangu. Huyo DG wa bandari anaanzaje kukosa mil 9 ndani? Hiyo mil 9 ni nusu ya mshahara wake kwa mwezi.
Inawezekana kapiga hela nyingi, Ila hiyo taaarifa sijui kakutwa nazo ndani ni UONGO uliopitiliza
Kinazuia nn na nidola kwani ilikua hayo makapi yenu ,kama nitaamua kujichimbia chini au kujiwekea ndani shida iko napengine najiwekea kilamwaka kilamwezi ,vile navoaamua mimiKuna namna watanzania tunashindwa hata kutumia akili ya kawaida kabisa kwenye mambo madogo kama haya. Dola 1.6 ni zaidi ya bilioni 3.5 za kitanzania,sasa inakuaje mtu apokee rushwa kubwa mkononi halafu akazitunza chumbani kwake!
So what? Kilangila.Kasema Chahali....