Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa uelewa wa wengi ni kuwa zilikuwa zinapita tuu kwenda kwa wahusika. Ziliwahiwa zikiwa stendi ya basi. Na baada ya wakina Rugemarila, watu wako tayari kuamini chochote.Kuna namna watanzania tunashindwa hata kutumia akili ya kawaida kabisa kwenye mambo madogo kama haya. Dola 1.6 ni zaidi ya bilioni 3.5 za kitanzania,sasa inakuaje mtu apokee rushwa kubwa mkononi halafu akazitunza chumbani kwake!
sipendelei sana Matema ila nitakuwa kule kwa Mwamunyange
Mnatuchanganya tu nakutuporeza maboya tusiwaze vitu vya maana, hapa tunatajiwa figure hiyo huku wengine wanapakuwa kule tukija shituka tunakuta mfereji mwingine unavuja
Watu wengi hawajazoea kuyaona mahela mengi ndio manaMimi tu ambae Sina wadhifa huwezi kukosa mil 1 ndani kwaangu. Huyo DG wa bandari anaanzaje kukosa mil 9 ndani? Hiyo mil 9 ni nusu ya mshahara wake kwa mwezi.
Inawezekana kapiga hela nyingi, Ila hiyo taaarifa sijui kakutwa nazo ndani ni UONGO uliopitiliza
Wamekanusha eeh? We shall revisit hamtoamini siku ya awamu hii yakiwekwa wazi sababu ile hofu kuu haitokuwepoWakina nani hao mbona Takukuru wamekanusha?
Tena mengi mno!Mambo ni mengi sana
Labda hujanielewa. Nimezungumzia tuhuma, na polisi haimtii mtu hatiani. Na polisi popote duniani wakipewa lalamiko watamtafuta mlalamikiwa ili uchunguzi wa hizo tuhuma ufanywe. Wakigundua kuwa ni kweli jukumu lao ni kupeleka kesi mahakamani.Ni loophole hiyo ya kutosema hadharani sababu husika za kumuweka lupango mtu bila ya kusema kwanini kawekwa lupango imetumiwa vibaya kuwaumiza Watanzania wengi sana kwa kubambikiwa kesi FAKE. Polisi inayotenda kazi zake kwa kufuata taratibu haiwezi kumtia hatiani raia bila ya kuweka hadharani sababu zilizosababisha waone umuhimu wa kumuweka lupango.
Labda hujanielewa. Nimezungumzia tuhuma, na polisi haimtii mtu hatiani. Na polisi popote duniani wakipewa lalamiko watamtafuta mlalamikiwa ili uchunguzi wa hizo tuhuma ufanywe. Wakigundua kuwa ni kweli jukumu lao ni kupeleka kesi mahakamani.
Mkuu tulia kidogo. Nakushauri ujifunze ku digest taarifa kabla ya kuhukumu. Muacheni the late president apumzike kwa amani. Na kakoko unaweza kuta anatoka akiwa hana hatia hata moja ukashangaa. Isije ikawa ma auditors hawakupata details vizuri maana hiyo hutokea pia katika audit. Ila kama ka kwapua hela basi tutamuona akifunguliwa mashitaka.Bado tunasafari ndefu.
View attachment 1738279
Hiyo ni kama 3.7 Billion Tshs to be exact.
Halafu kuna watu wanasema ufisadi uliisha awamu ya tano. Haukumalizwa bali ni watu wachache walijimilikisha mianya ya pesa kwa kukingiwa kifua na ikulu.
Siku ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma utakapopigwa vita kwa vitendo na kwa nguvu zote ndo nchi itasonga mbele.
Why bring such a stupid and shocking information! Hata kama ni swali? Unakumbuka Mwalimu aliwajibuje waandishi wa habari. Ona jinsi watu walivyo conclude haswa michadema against JPM. It’s not fairJifunze kusoma na kuelewa; soma post zangu zote utagundua kuwa ninatumia phrase "kama ni kweli." Unajua maana ya phrase hiyo?
is this the phylosphy of hiding informtion you don't want others to think of?Why bring such a stupid and shocking information! Hata kama ni swali? Unakumbuka Mwalimu aliwajibuje waandishi wa habari. Ona jinsi watu walivyo conclude haswa michadema against JPM. It’s not fair
Utoto unakusumbuais this the phylosphy of hiding informtion you don't want others to think of?