Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Hatushindi humu maana tunajua hata humu pia hazipo. Humu ni muda wa mapumziko au wakati tukiwa ndani ya vyombo vya usafiri kurudi maskaniPesa ipo nyingi mtaani, uwezi ipata kwa kushinda unapiga spana JF.