Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

"Hapana huo ni uongo, hizo taarifa za kukutwa na fedha nyumbani kwake sio sahihi, ni watu nadhani pengine ni maadui zake wanajaribu kutengeneza hoja za kuonyesha alikuwa na hizo hela, KAKOKO anashikiliwa na sisi TAKUKURU hilo halina ubishi" Brigedia Generali Mbungo, Mkurugenzi Mkuu TAKUKURU
Wabongo noma

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Muafrica ananunua Bunduki kwa mzungu amuue muafrica mwenzie....

Watoto wanakaa chini na twaambiwa tuko vizuri kumbe kuna keki kwenye sahani wanamega wachache na wenye keki wanaitwa wanyonge
images%20(24).jpg
 
Aseme kwanini kawekwa lupango? Watamweka mtu lupango kwa sababu tu wamependa kufanya hivyo bila ya kuwepo sababu husika? [emoji15][emoji15]
Nyie si ndo mlisema Rais huyu atafata haki?
 
Ndiyo upumbavu wa polisiccm wa kuwatia watu lupango bila kutangaza sababu husika za kufanya hivyo matokeo yake ni kuwapa mwanya wa kuwabambikia kesi Watanzania wengi wasio na hatia kesi mbaya za uchochezi, uhujumu uchumi etc. Unamtia mtu lupango sema hadharani sababu husika na kwamba uchunguzi unaendelea siyo kupiga kimya ili kuanza kutafuta cha kumbambikia.
Mbona ipo wazi anashikiliwa kutokana na report ya CAG kuna ubadhirifu wa fedha? Rais alitoa amri achunguzwe..yupo huko kwa mahojiano maana yeye ndo boss lazima awe wa Kwanza kutoa maelezo. Ni kipi tena unataka kusikia?
 
Sasa kama kakanusha kwanini ashindwe kuweka hadharani sababu za kumuweka lupango? [emoji15]

Hahahaha kamandaaaaa! Pole sana kaa chini unywe maji
 
Shukrani sikujua hili maana nilisikia kutoka kwa Mama kwamba Wafanyakazi wa ngazi za chini ndiyo waliosimamishwa kutokana na ubadhirifu huo wa karibu bilioni nne.

Audit query kutoka CAG haistahili kumuweka mtu lupango kama haijadhibitishwa kwamba alihusika na huo ubadhirifu kwa namna moja au nyingine kwamba amefanya wizi au ameshiriki kwenye wizi wa pesa za walipa kodi.

Kilichostahili kufanyika ni kumsimamisha kazi huku akilipwa nusu mshahara hadi hapo uchunguzi utakapokamilika na kumtia hatiani au kumuona hana hatia.
Mbona ipo wazi anashikiliwa kutokana na report ya CAG kuna ubadhirifu wa fedha? Rais alitoa amri achunguzwe..yupo huko kwa mahojiano maana yeye ndo boss lazima awe wa Kwanza kutoa maelezo. Ni kipi tena unataka kusikia?
 
Hivi ulizusha ili iweje? Weka na hii kama hakuwa na nia mbaya

Jifunze kusoma na kuelewa; soma post zangu zote utagundua kuwa ninatumia phrase "kama ni kweli." Unajua maana ya phrase hiyo?
 
Kuna namna watanzania tunashindwa hata kutumia akili ya kawaida kabisa kwenye mambo madogo kama haya. Dola 1.6 ni zaidi ya bilioni 3.5 za kitanzania,sasa inakuaje mtu apokee rushwa kubwa mkononi halafu akazitunza chumbani kwake!

Yani mwenyewe toka asubuhi nashangaa huu uongo aiseee leo hii naona uzi huu umepoa kwakuwa watu hawapendi kusikia habari nzuri hahaha
 
Mnatuchanganya tu nakutuporeza maboya tusiwaze vitu vya maana, hapa tunatajiwa figure hiyo huku wengine wanapakuwa kule tukija shituka tunakuta mfereji mwingine unavuja

Hahahahaha
 
Milioni 18 baada ya kodi ni mshahara wa kawaida sana tena sana
Mshahara huo ni wa kawaida katika nchi ambayo inamlipa mwalimu chini ya shilingi laki tano!
Msikufuru, huo mshahara sio wa kawaida katika taasisi ya serikali. Ungekuwa wa kawaida majority wangekuwa wanapokea mshahara unao karibia hapo! Nchini mwetu hata mshahara wa shilingi milioni moja sio wa kawaida maana ni wachache ( ukilinganisha na idadi ya wafanyakazi) wanao lipwa kiasi hicho.

Amandla....
 
Aliweza kuzichimbia kabla nini, maana rumaz zilienea sana kitaa hizo fedha ni kama milioni 7 zote hata mimi mtoto wa mchungaji tunapata katika makusanyo ya sadaka. Da! inamaana kachomoa soo?

Hahahahaha
 
Wakina nani hao mbona Takukuru wamekanusha?
Hao wanaolipwa mshahara wa kawaida wa shilingi milioni 18 baada ya kodi ( ambao ni zaidi ya milioni 30 kabla ya kukatwa kodi). Hao wanao ona mtumishi wa umma kuwa na dola 3000 na shilingi milioni moja na nusu nyumbani sio kitu cha kushangaza maana ni pesa ya "mboga".

Amandla...
 
Back
Top Bottom