Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,984
- 2,971
Aliyekua Mkurugenzi wa mamlaka ya bandari, aliyesimamishwa kazi , injinia Kakoko amepekuliwa nyumbani kwake na polisi na TAKUKURU na kukutwa na begi kubwa lenye pesa za kimarekani 1,625,800.
Duh! Hii ni hatari kubwa maana zinazidi hata zile walizogundua CAG officers kwenye ukaguzi wao! Basi hapo bandari wakague tena wanaweza kukuta ni fedha mabilioni mengi zaidi!