Sio mnyambo wala sio wa biharamuro.ni muhangaza wa ngara nimesoma nae rulenge sekondari
Yani ngumu sana hii.. Jamaa atachomeshaa wengi[emoji23][emoji23]Ukumbuke ametoka kuishi kwenye kulindwa na system, ghafla bin vuu system ndo inakutafuta. Saa ngapi unajifunza skills za kujilinda bila system? Wenye uelewa wasingekuwa nchini.
Unaweza kuta aliwasiliana na mtu wa system anayemuamini akamwambia ficha nyumbani mpaka huu msala uishe, hatuna mpango wa kukupekua zaidi ya kukuhoji tu.
MmmhhNimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!
Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana hujo Jersey au Switzerland kama yule mzee.
View attachment 1738385
hii serikali ilijaa wezi waliojificha kichaka cha Uzalendo.Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!
Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana hujo Jersey au Switzerland kama yule mzee.
View attachment 1738385
Kumbe we muhenga mwenzanguOk, nashukuru kwa sahihisho ingawa mkoa nimeupatia maana mimi nilikuwa naye UDSM ingawa tulikuwa Faculties tofauti.
wewe ndiyo debekutika kabisaWho does that in this day and age?
He must be the dumbest [if true] to be caught lacking like that.
Amateur hour.
Tena kama ni muoga hajazoea vitasa na havijui basi yajayo yanafurahisha. Atajikuta anataja hata asiyoulizwa maana atakuwa kwenye panic.Yani ngumu sana hii.. Jamaa atachomeshaa wengi[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
hii serikali ilijaa wezi waliojificha kichaka cha Uzalendo.
nyani nyabu ni mtu au takataka tu anajifanya anajua kumbe mbele usikute hadi ashàjaribu kuolewaMhh, halafu kina Nyani Ngabu walimuona msukuma mwenzao alikuwa mtakatifu eti.
Halafu Sisi tunafurahia kuitwa wanyonge🙄🙄🙄.Huu utaahira wengine tuliukataa.!Haya yamefanyika katika utawala wa rais mzalendo. fyoko fyoko fyoko. tuliwaambia wanaiba mkatuona hamnazo
Kutoroka ingekuwa ujinga.ngoja nikufundishe mbinu.wajanja wote huwa wanakuwa na safe house ambayo hakuna anayeijua hata dereva wako asijue.hiyo inaweza kuwa nyumba ya kupanga tu hata nje ya mji.huko ndo kwa kupeleka hizo cash na michepukoUkumbuke ametoka kuishi kwenye kulindwa na system, ghafla bin vuu system ndo inakutafuta. Saa ngapi unajifunza skills za kujilinda bila system inayofahamu uozo wako nje ndani? Mwenye uelewa asingekuwa nchini. Angejificha nje pale tu mzee alipoondoka ili asome upepo unaendaje.
Unaweza kuta aliwasiliana na mtu wa system anayemuamini akamwambia ficha nyumbani mpaka huu msala uishe, hatuna mpango wa kukupekua zaidi ya kukuhoji tu.
Dumbest of them all. He is not smart as he looks
unacheka kama shoga ITV wamemhoji mkuu takukuru ame approveKigogo/Chahali ha ha ha. Mtu anasema nimesoma mahali, kumbe porojo za kina Kigogo[emoji3][emoji3]
Pale wale wenye gloves zenye nundu nundu wakikuchukua wakakupeleka kwenye chumba chenye sindano za kupitisha kwenye njia ya kutolea mkojo na virungu vya mbao vya kugongewa pumbu ndo utaelewa kwann hukutakiwa kuwepo nchini. Ukishakamatwa bora useme kabla hujaingizwa kwenye kile chumba. Unless wewe ni komando umefundishwa kuhimili maumivu.Kutoroka ingekuwa ujinga.ngoja nikufundishe mbinu.wajanja wote huwa wanakuwa na safe house ambayo hakuna anayeijua hata dereva wako asijue.hiyo inaweza kuwa nyumba ya kupanga tu hata nje ya mji.huko ndo kwa kupeleka hizo cash na michepuko
anashikiliwa tayari.Porojo za Kigogo na Chahali hizi. Hivi kama kweli alikuwa na pesa ndani akae nazo tu tangu JPM afariki? Unadhani yeye alikuwa hajui kuwa watu wamempania? Tutadanganywa sana hiki kipindi cha mwezi mmoja,baadae tutarudi kule kwa kumdhihaki tena SSH kama kawaida yetu.Ni swala la muda tu mbona.
Nimecheka Kigogo “anatoa” maelekezo ya nani akamatwe.