Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Sio mnyambo wala sio wa biharamuro.ni muhangaza wa ngara nimesoma nae rulenge sekondari

Ok, nashukuru kwa sahihisho ingawa mkoa nimeupatia maana mimi nilikuwa naye UDSM ingawa tulikuwa Faculties tofauti.
 
Ukumbuke ametoka kuishi kwenye kulindwa na system, ghafla bin vuu system ndo inakutafuta. Saa ngapi unajifunza skills za kujilinda bila system? Wenye uelewa wasingekuwa nchini.

Unaweza kuta aliwasiliana na mtu wa system anayemuamini akamwambia ficha nyumbani mpaka huu msala uishe, hatuna mpango wa kukupekua zaidi ya kukuhoji tu.
Yani ngumu sana hii.. Jamaa atachomeshaa wengi[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!

Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana hujo Jersey au Switzerland kama yule mzee.

View attachment 1738385
Mmmhh
Screenshot_20210330-091115.jpg
 
hii serikali ilijaa wezi waliojificha kichaka cha Uzalendo.
 
hii serikali ilijaa wezi waliojificha kichaka cha Uzalendo.

Ni kweli atakuwa alikuwa anachota kidogo kidogo maana kufikia dola zaidi ya mil. 1.6 siyo rahisi kuzibadilisha kwa haraka haraka kutoka hela za kitanzania na kwenda kwenye dola.
 
Ukumbuke ametoka kuishi kwenye kulindwa na system, ghafla bin vuu system ndo inakutafuta. Saa ngapi unajifunza skills za kujilinda bila system inayofahamu uozo wako nje ndani? Mwenye uelewa asingekuwa nchini. Angejificha nje pale tu mzee alipoondoka ili asome upepo unaendaje.

Unaweza kuta aliwasiliana na mtu wa system anayemuamini akamwambia ficha nyumbani mpaka huu msala uishe, hatuna mpango wa kukupekua zaidi ya kukuhoji tu.
Kutoroka ingekuwa ujinga.ngoja nikufundishe mbinu.wajanja wote huwa wanakuwa na safe house ambayo hakuna anayeijua hata dereva wako asijue.hiyo inaweza kuwa nyumba ya kupanga tu hata nje ya mji.huko ndo kwa kupeleka hizo cash na michepuko
 
Tunachokiona nchi yetu ni tajiri na hatujaingia uchumi wa kati kiupendeleo. Kiongozi mkuu angewakumbuka tu watumishi halafu ajikite kuhakikisha mifumo ya ukusanyaji wa mapato ya nchi unaimarika,kwanza ofisi ya mkaguzi mkuu wa hesabu za selikari iwepo kwa kanda zote na baadae kila mkoa ili taasisi na mashirika ya selikari yawe yanakaguliwa mapato na matumizi tena endelevu sio mpaka upotevu utokee.Pia CAG na TAKUKURU waendelee na kazi yao kwa mashirika mengine na halmashauri ambazo hazijakaguliwa na waliotuhumiwa wachukuliwe hatua kali na ikiwezekana pesa zirudi selikarini.Mwisho mhe. aunde TASK FORCE kali sana inayojumuisha maafisa kutoka ofisi ya mkaguzi wa hesabu za selikaki,TAKUKURU,BOT,POLICE,DPP na wengineo wanaohusika ili kutokomeza ufisadi nchini na kusafisha hao wapiga dili hasa hao wakuu wa hayo mashirika na taasisi wanaorudisha nyuma Taifa hili.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kutoroka ingekuwa ujinga.ngoja nikufundishe mbinu.wajanja wote huwa wanakuwa na safe house ambayo hakuna anayeijua hata dereva wako asijue.hiyo inaweza kuwa nyumba ya kupanga tu hata nje ya mji.huko ndo kwa kupeleka hizo cash na michepuko
Pale wale wenye gloves zenye nundu nundu wakikuchukua wakakupeleka kwenye chumba chenye sindano za kupitisha kwenye njia ya kutolea mkojo na virungu vya mbao vya kugongewa pumbu ndo utaelewa kwann hukutakiwa kuwepo nchini. Ukishakamatwa bora useme kabla hujaingizwa kwenye kile chumba. Unless wewe ni komando umefundishwa kuhimili maumivu.

UTATAJA KILA KITU.
 
Porojo za Kigogo na Chahali hizi. Hivi kama kweli alikuwa na pesa ndani akae nazo tu tangu JPM afariki? Unadhani yeye alikuwa hajui kuwa watu wamempania? Tutadanganywa sana hiki kipindi cha mwezi mmoja,baadae tutarudi kule kwa kumdhihaki tena SSH kama kawaida yetu.Ni swala la muda tu mbona.

Nimecheka Kigogo “anatoa” maelekezo ya nani akamatwe.
anashikiliwa tayari.

kwaiyo wewe na kigogo nani mtu?
 
Back
Top Bottom