Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaamini kweli utayaona na kuyasikia hayo mengi ?Tutayaona na kusikia mengi awamu hii.
Ila BOT si wanazijua account za watu wenye mitonyo mirefu! Au alikua kaficha Bahamas!?
Subirini mgawane pesa za bandariWatumishi wamenyimwa haki zao miaka 6 sasa kumbe pesa yameficha mafisadi ya awamu ya tano
Mbinu ni nyingi jamaa namuona mzembe sanaYaani nimecheka sana. Mkuu wewe ni mtaalam haswa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuwa na Dola Feki sio Kosa ? Tena huenda ni kosa kubwa zaidi..., Feki zote hizo akizisambaza unajua athari yake?Zikiwa bandia kaziweka kuwafanya nyie ni wakurupukaji mtamfanya nini maana ni dola na dola feki maafisa wetu wengi hawaijui.
Heri enzi za JK zilipigwa zikaingia mtaani hawa kina jiwes and company zimepigwa hata mifupa inaishia juu kwa juu,wananchi uambulia harufu tu.Subirini mgawane pesa za bandari
ahahahanyani nyabu ni mtu au takataka tu anajifanya anajua kumbe mbele usikute hadi ashàjaribu kuolewa
Inawezekana kabla ya kauli ya Raisi,alikuwa ameshawekwa chini ya ulinzi..
Mzalendo fence tu ya nyumba yake kijijini kwake ukuta unajenga shule 10 za wanyonge, nyumba 200 za wanyonge.Haya yamefanyika katika utawala wa rais mzalendo. fyoko fyoko fyoko. tuliwaambia wanaiba mkatuona hamnazo
kwannJamaa kadakwa kizembe sana
Hayo maoni yakoHiyo Mihela na mingine ya aina hiyo iliyokuwa ikipigwa huenda ndo ambayo ingetumika kununua watu ili Jiwe aondoe ukomo wa vipindi vya utawala.
Nikikumbuka wale wapinzani njaa waliokuwa wakinunuliwa waunge mkono juhudi huenda hela zilikuwa zikipatikana kwa staili hii
Sema jamaa kafeli sana, hizo hela unaweza zificha hata chini ya siti ya gari yeye aliziwekaje ndani ya nyumba? Gari ambayo hutembelei mara kwa mara ndo unafichia pesa humo.
unamtetea,nikweli amekutwa na kiasi kikubwa cha hela, naona ulikuwa mnufaika kwake shoga anguThis one makes sense,lakini siyo ile ya Kigogo eti “wameenda kupekua wakakuta baada ya kutumbuliwa....”
Pia kushikiliwa ni swala moja kuthibitisha hizo tuhuma ni swala jingine,unakumbuka Masamaki wa TRA na pesa kukutwa kwenye Ndoo! Tuliambiwa hapa hapa na kilichotokea baadae sote tunakifahamu.
Hio mbaya wazimwage mjini usiku asubui watu walewe pesa pia itakuwa thawabuSasa atasababisha wenzake wazimwage barabarani kwa kiwewe , maana wakiweka ndani moto wakipeleka benki hatari, watatembea nazo kwenye V8 mpaka wapagawe.
Aliokolewa na msogaWewe unaamini kweli kakutwa na hiyo pesa Cash ndani? Unakumbuka Masamaki wa TRA na tulichoaminishwa hapa kukutwa na pesa kwenye ndoo ndani?
Uzuri wa kigogo anatoa taarifa watu wanampinga weeee baadaye zikiwa za kweli wanakimbiana,katika habari 10 anazotoa karibu 70% zina ukweli ,30% zinakuwa mislead na "TEETH" kwa ajili ya kumuondelea kuaminika.
Mnipatie ndie aliyeushinda moshi wa ruangwa akapewa zawadi ya kupita bila kupingwaNaombeni mnipatie Gwajima