Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Zikiwa bandia kaziweka kuwafanya nyie ni wakurupukaji mtamfanya nini maana ni dola na dola feki maafisa wetu wengi hawaijui.
 
Tutayaona na kusikia mengi awamu hii.

Ila BOT si wanazijua account za watu wenye mitonyo mirefu! Au alikua kaficha Bahamas!?
Unaamini kweli utayaona na kuyasikia hayo mengi ?

Amini Nakwambia unayosikia huwa ni tip of the iceberg, mengi yanafunikwa kwa mwendo wa kulindana hususan kipindi hiki hatuna media bali vyombo vya propaganda
 
Zikiwa bandia kaziweka kuwafanya nyie ni wakurupukaji mtamfanya nini maana ni dola na dola feki maafisa wetu wengi hawaijui.
Kuwa na Dola Feki sio Kosa ? Tena huenda ni kosa kubwa zaidi..., Feki zote hizo akizisambaza unajua athari yake?
 
Maswaiba wa meko Wana mali nyingi Sana tofauti na mishahara yao.Thus walitaka aongezewe mda Ili kulinda himaya zao huku wananchi wakifa njaa huku familia zikisambaratika ndoa kuvunjika sababu ya vyuma kukaza mtaani moto ukirudi nyumbani moto pesa Hakuna mtaani maswaiba na meko wamejimbia hela.Waombe ushirikiano wa wananchi waziibue mali zao zitaifishwe account zao zifriziwe hela zirudi serikalini zikalipe malimbikizo ya mishahara.
 
Inawezekana kabla ya kauli ya Raisi,alikuwa ameshawekwa chini ya ulinzi..

This one makes sense,lakini siyo ile ya Kigogo eti “wameenda kupekua wakakuta baada ya kutumbuliwa....”

Pia kushikiliwa ni swala moja kuthibitisha hizo tuhuma ni swala jingine,unakumbuka Masamaki wa TRA na pesa kukutwa kwenye Ndoo! Tuliambiwa hapa hapa na kilichotokea baadae sote tunakifahamu.
 
Haya yamefanyika katika utawala wa rais mzalendo. fyoko fyoko fyoko. tuliwaambia wanaiba mkatuona hamnazo
Mzalendo fence tu ya nyumba yake kijijini kwake ukuta unajenga shule 10 za wanyonge, nyumba 200 za wanyonge.
 
Hayo maoni yako
 
Sema jamaa kafeli sana, hizo hela unaweza zificha hata chini ya siti ya gari yeye aliziwekaje ndani ya nyumba? Gari ambayo hutembelei mara kwa mara ndo unafichia pesa humo.

Wewe unaamini kweli kakutwa na hiyo pesa Cash ndani? Unakumbuka Masamaki wa TRA na tulichoaminishwa hapa kukutwa na pesa kwenye ndoo ndani?
 
unamtetea,nikweli amekutwa na kiasi kikubwa cha hela, naona ulikuwa mnufaika kwake shoga angu
 
Uzuri wa kigogo anatoa taarifa watu wanampinga weeee baadaye zikiwa za kweli wanakimbiana,katika habari 10 anazotoa karibu 70% zina ukweli ,30% zinakuwa mislead na "TEETH" kwa ajili ya kumuondelea kuaminika.

Wewe unaamini Kakoko alikuwa mjinga kiasi hicho cha kutunza pesa zote hizo ndani? Kigogo anatoa taarifa lkn nyingi anaziongezea chumvi sana. Kila habari anayotoa 20% ukweli 80% anaweka chumvi kuwafurahisha Wasomaji wake.
 
Ndio tuamini kwamba magufuli hakuwa mzalendo bali alitumia ukali kutuaminisha kuwa naye ni mpigania haki na maendeleo kumbe mwizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…