Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

uchunguzi gani mwingine unaoutaka ufanyike?

Tayari ashakutwa na hatia kama ni uchunguzi ufanyike kwa mambo mengine ambayo ni bado ni TUHUMA.
 
uchunguzi gani mwingine unaoutaka ufanyike?

Tayari ashakutwa na hatia kama ni uchunguzi ufanyike kwa mambo mengine ambayo ni bado ni TUHUMA.
 
Mafiaso a.k.a sukuma gang katika ubora wao wa muda wote...tulieni kristapen bado inafanya kazi, watu wa madini jiandaeni twaja kwa mbio zote huko ....nasikia huko ndiko kuna aibu ya milele..
 
Hata kama ndio kufata meza yenye bia nyingi ila hii ya kwako ni extreme
 
Heri enzi za JK zilipigwa zikaingia mtaani hawa kina jiwes and company zimepigwa hata mifupa inaishia juu kwa juu,wananchi uambulia harufu tu.
Uchumi wa Kati ni kwenye matumbo yao.
zinapigwa zinaenda china
 
Haya yamefanyika katika utawala wa rais mzalendo. fyoko fyoko fyoko. tuliwaambia wanaiba mkatuona hamnazo

Hata huko china wanakonjonga wanaiba itakua hapa[emoji23][emoji23]... housegirl wako tu nyumbani anakuibia
 
Ukaguzi wa CAG ulikuwa haujatoka wakati huo; kwa hiyo kuna habari ambazo Majaliwa hakuweza kuzijua mara moja.
Majaliwa alikuwa na Taarifa zote Mkononi, sema yeye amesimamisha wale tu ambao walikuwa kwenye Mamlaka yake, hao wengine walimzidi Kimo na Umri..,
 
uchunguzi gani mwingine unaoutaka ufanyike?

Tayari ashakutwa na hatia kama ni uchunguzi ufanyike kwa mambo mengine ambayo ni bado ni TUHUMA.
Tarifa zinasema jamaa alikamatwa morogoro akiwa anatoroka nje ya nchi sidhani kama kuna chakusubiria uchunguzi tena hapa huyu ni fisadi kigogo
 
Mnyambo wa Biharamlo huko Kagera. Alikuwa darasa moja pale UDSM na James Mbatia Civil Engineering! Alimaliza 1992.
Kakoko ni Mhangaza kutoka Ngara, na hata aliwahi kuwa kiongozi wa Daruso- UDSM, na alikuwa mpambanaji kwelikweli wa haki za wanafunzi( ingawa sasa sijui kitakuwa kimempata kitu gani) na yeye alimaliza 1991 mbele ya kina Mbatia....
 
Ukaguzi wa CAG ulikuwa haujatoka wakati huo; kwa hiyo kuna habari ambazo Majaliwa hakuweza kuzijua mara moja.
Umeongea ki ccm zaidi!
Kama hakuweza kuzitambua mara moja ilikuwaje awatumbue wafanyakazi wa chini?

Ndio dauble standard zenyewe! Kwamba "hawa hawana inshu"!!
 
Aisee umeandika kwa hisia sana pole mkuu
 
Kamata wote rafik zake miaka 6 za mateso kumbe kunamengine yanakula maisha
 
Kumbuka DG uteuzi/utenguzi upo ktk Mamlaka ya juu ya PM mkuu, so kazi yake ni kupeleka mapendekezo tu
Swali la msingi ni kwanini Majaliwa katika uchunguzi wake, akawatumbua "vidagaa" na kumuacha "papa" Kakoko aendelee kutamba?

Ndiyo utambue kuwa enzi za Hayati Magufuli, nchi alikuwa ikiendeshwa kwa mtindo wa "double standards" wa hali ya juu sana!
 
Uongo.

Sijawahi kumwona yeyote yule ni mtakatifu.

Nimemkosoa sana humu. Nimempinga panapostahili na umenigongea sana ‘likes’ nilipofanya hivyo. Facts. Provable.

Unabisha?
Acha unafiki mkuu na ww ulikuwa mmojawapo wa ile praise team
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…