Zingine PAKA kala na uswahiba ukakoma. Sisi tunakaza vyuma wao wanalegezazinapigwa zinaenda china
TPA iliwahi kuchunguzwa na Majaliwa wakati ule wa Magufuli, kukawa na heka heka sana nusra jamaa huyu apoteze madaraka.
Haya yamefanyika katika utawala wa rais mzalendo. fyoko fyoko fyoko. tuliwaambia wanaiba mkatuona hamnazo
Angeweka hata $10,000/- tu benki angedakwa siku hio hio. Money launders huwa hawatumii normal banking systems kwa sababu ziko mionitored na serikali 24/7 kupitia FIU. acha anyee debeEeh 3.7 B, home?
Nadhani alikwepa mkono wa Sharia kuziweka bank
Kutoka kanda pendwa wanaiba bila hata kusaza....Pambafu zaoWho does that in this day and age?
He must be the dumbest [if true] to be caught lacking like that.
Amateur hour.
Kama MTU ana nyumba zaidi ya moja?Nimeipenda hii style ya kukagua nyumbani kwa kustukiza, mama samia mikumi tena.
[emoji16][emoji16][emoji16]Labda alikuwa kipenzi cha bimkubwa wake huwezi kujua.
Kuwa na Dola Feki sio Kosa ? Tena huenda ni kosa kubwa zaidi..., Feki zote hizo akizisambaza unajua athari yake?
UKweli mchunguMapema mno kushangilia haya mambo.
Samia suluhu ni wa CCM na CCM kwa miaka yote imekuwa inatawala na inajua raha ya kuwa Chama dola.
Samia Suluhu kama ilivyokuwa kwa mtangulizi atalegea mapema sana na kitachomlegeza ni kitu kidogo kwa macho lakini kikubwa kwa impact yake nacho si kingine bali siku atakayoonyeshwa orodha ya wafadhili wa CCM hasa wakati wa uchaguzi.
Tusisahau kwa msimamo wa JPM usingetegemea hata siku ashikane mikona na Rostam Aziz lakini mwishowe naye alilegea.
CCM hawawezi kumruhusus aachie wazi na Chama kipoteze credibility!!
Bomba la Kakoko linaweza kwenda mpaka Chato,je ataweza kulitaja jina la......
Pale pesa ipo kwenye mfuko wa shati usitarajie wizi kuisha......hapo bandarini sijui nini kifanyike wizi umekithiri sana.
Majaliwa hana madaraka hayoSwali la msingi ni kwanini Majaliwa katika uchunguzi wake, akawatumbua "vidagaa" na kumuacha "papa" Kakoko aendelee kutamba?
Ndiyo utambue kuwa enzi za Hayati Magufuli, nchi alikuwa ikiendeshwa kwa mtindo wa "double standards" wa hali ya juu sana!
Kweli kabisa mdau jamaa kaiba nyingi mnoHiyo pesa aliyokamatwa nayo Eng kakonko ni tone la ma bilioni aliyokuwa nayo akibinywa vizuri jamaa Ana nusu trioni
Kuna mambo mawili, hapo... ukigundua ilikuwa $ 100 Million.. lazima utamsifia sana jamaa kubakiza hiyo $ 1.6 Million, penginepo ndo ile siku za mwizi ni arobaini.Who does that in this day and age?
He must be the dumbest [if true] to be caught lacking like that.
Amateur hour.
Mkurugenzi wa kwanza wa bandari huyo enzi ya nyerere......hakujawahi kuwa na mkurugenzi mtakatifu paleViongozi wote waliopitia bandari ni majizi tokea miaka ile tukiwa wadogo somebody "Janguo" waliishi maisha ya raha kuliko Raisi
Duuh . . . hivi MATAGA na Matokeo Chanya wako wapi ? Hawajaiona hii habari. Wazee wa lumbesa mpo ?Hiyo ni kama 3.7 Billion Tshs to be exact.
Halafu kuna watu wanasema ufisadi uliisha awamu ya tano. Haukumalizwa bali ni watu wachache walijimilikisha mianya ya pesa kwa kukingiwa kifua na ikulu.
Umeongea kwa uchungu sana mkuu . . . Nimekupata vilivyoAaaah! Bandari ilikuwa yake! Takataka hii kwa kiasi hiki tu cha fedha aingie lupango kwa makofi ya nguvu. Mbona mitaani kibaka wa jogoo tu anaingia lupango huku ameshavunjwa mikono, sembuse hili jangili la nyala za serikali.
Jamani, na sisi pia tuna matumbo ya kulisha, mbona mnatufanya waTz wenzenu mafala hivi? Maisha kwetu magumu lakini kwa huyu chizi na familia yake ni tambarale akitumia nyala zetu za serikali.
Tupa jela akiwa na mguu mmoja tu hayawani huyu.
Nimsifie kwa minajili gani sasa?Kuna mambo mawili, hapo... ukigundua ilikuwa $ 100 Million.. lazima utamsifia sana jamaa kubakiza hiyo $ 1.6 Million, penginepo ndo ile siku za mwizi ni arobaini.