Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

TPA iliwahi kuchunguzwa na Majaliwa wakati ule wa Magufuli, kukawa na heka heka sana nusra jamaa huyu apoteze madaraka.

Jiwe angekuwepo hakuna ambaye angekuwa na ubavu wa kumgusa Huyu jamaa. PM tu alinywea.
 
Eeh 3.7 B, home?

Nadhani alikwepa mkono wa Sharia kuziweka bank
Angeweka hata $10,000/- tu benki angedakwa siku hio hio. Money launders huwa hawatumii normal banking systems kwa sababu ziko mionitored na serikali 24/7 kupitia FIU. acha anyee debe
 
U
Mapema mno kushangilia haya mambo.
Samia suluhu ni wa CCM na CCM kwa miaka yote imekuwa inatawala na inajua raha ya kuwa Chama dola.

Samia Suluhu kama ilivyokuwa kwa mtangulizi atalegea mapema sana na kitachomlegeza ni kitu kidogo kwa macho lakini kikubwa kwa impact yake nacho si kingine bali siku atakayoonyeshwa orodha ya wafadhili wa CCM hasa wakati wa uchaguzi.

Tusisahau kwa msimamo wa JPM usingetegemea hata siku ashikane mikona na Rostam Aziz lakini mwishowe naye alilegea.
CCM hawawezi kumruhusus aachie wazi na Chama kipoteze credibility!!

Bomba la Kakoko linaweza kwenda mpaka Chato,je ataweza kulitaja jina la......
UKweli mchungu
 
Swali la msingi ni kwanini Majaliwa katika uchunguzi wake, akawatumbua "vidagaa" na kumuacha "papa" Kakoko aendelee kutamba?

Ndiyo utambue kuwa enzi za Hayati Magufuli, nchi alikuwa ikiendeshwa kwa mtindo wa "double standards" wa hali ya juu sana!
Majaliwa hana madaraka hayo
 
Who does that in this day and age?

He must be the dumbest [if true] to be caught lacking like that.

Amateur hour.
Kuna mambo mawili, hapo... ukigundua ilikuwa $ 100 Million.. lazima utamsifia sana jamaa kubakiza hiyo $ 1.6 Million, penginepo ndo ile siku za mwizi ni arobaini.
 
Viongozi wote waliopitia bandari ni majizi tokea miaka ile tukiwa wadogo somebody "Janguo" waliishi maisha ya raha kuliko Raisi
Mkurugenzi wa kwanza wa bandari huyo enzi ya nyerere......hakujawahi kuwa na mkurugenzi mtakatifu pale
 
Hiyo ni kama 3.7 Billion Tshs to be exact.

Halafu kuna watu wanasema ufisadi uliisha awamu ya tano. Haukumalizwa bali ni watu wachache walijimilikisha mianya ya pesa kwa kukingiwa kifua na ikulu.
Duuh . . . hivi MATAGA na Matokeo Chanya wako wapi ? Hawajaiona hii habari. Wazee wa lumbesa mpo ?
 
Aaaah! Bandari ilikuwa yake! Takataka hii kwa kiasi hiki tu cha fedha aingie lupango kwa makofi ya nguvu. Mbona mitaani kibaka wa jogoo tu anaingia lupango huku ameshavunjwa mikono, sembuse hili jangili la nyala za serikali.

Jamani, na sisi pia tuna matumbo ya kulisha, mbona mnatufanya waTz wenzenu mafala hivi? Maisha kwetu magumu lakini kwa huyu chizi na familia yake ni tambarale akitumia nyala zetu za serikali.

Tupa jela akiwa na mguu mmoja tu hayawani huyu.
Umeongea kwa uchungu sana mkuu . . . Nimekupata vilivyo
 
Back
Top Bottom