Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Siku ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma utakapopigwa vita kwa vitendo na kwa nguvu zote ndo nchi itasonga mbele.
Na sisitiza hapo kwamba, hiyo kazi haiwezi kuwa ya mtu mmoja. Haiwezekani kamwe.

Halafu mtu mmoja huyo huyo anayetaka watu waone anapambana na ufisadi, yeye mwenyewe anaonyesha dalili zote za kuwa fisadi!
 
Sasa kama kakanusha kwanini ashindwe kuweka hadharani sababu za kumuweka lupango? [emoji15]

Alichokifanya ni sahihi kabisa,kukanusha uwongo,sababu alikwishaweka tangu jana,anashikiliwa kwa Uchunguzi,au ulitaka aseme wamemkuta na kiasi gani cha pesa ndiyo uridhike?
 
Hapo bado akaunti za Uswisi na zingine zenye majina ya bandia kwa kutumia wapambe wake.
 

Kiasi hicho cha pesa ni cha kawaida kabisa kwa nafasi aliyokuwa nayo.
 
Watu wamepiga hela kwa mgongo wa uzalendo, tujihadhari sana na hawa watu wanaolitaja jina la Mungu na kuhubiri uzalendo, ni wauwaji na wezi wa rasilimali za Taifa
 
Aseme kwanini kawekwa lupango? Watamweka mtu lupango kwa sababu tu wamependa kufanya hivyo bila ya kuwepo sababu husika? 😳😳
Alichokifanya ni sahihi kabisa,kukanusha uwongo,sababu alikwishaweka tangu jana,anashikiliwa kwa Uchunguzi,au ulitaka aseme wamemkuta na kiasi gani cha pesa ndiyo uridhike?
 
Alichoweza jiwe ni kuhalalisha wizi kwa ndugu, jamaa, marafiki na watendaji aliowapenda kwa sababu zake binafsi.

Ndiyo maana unasema wezi walipungua, hao ndugu zake ndiyo wameifilisi nchi kwa kuiba mabilioni na aliwakingia kifua.

"Watendaji chapeni kazi maana mjomba hayupo". Makamu wa Rais Dr. Philipo Mpango. Hii kauli ina maana kubwa sana.
 
Uongo.

Sijawahi kumwona yeyote yule ni mtakatifu.

Nimemkosoa sana humu. Nimempinga panapostahili na umenigongea sana β€˜likes’ nilipofanya hivyo. Facts. Provable.

Unabisha?
Watu wajinga sana,wameanza kumnanga marehemu,tujiulize marehemu alikuwa polisi kiasi kwamba alikuwa anajua huyu ana ana koba lake kalificha nyumbani,hiyo USD 1M inawatoa roho na kuacha yote mazuri aliyoyafanya marehemu,hiyo USD 1M ni hela ya mboga tu jamani,acheni ujinga daima tutamuenzi marehemu, hizo za akina Kakoko ni kitu gani bana, hizo ndio roho za korosho na za kwanini.
 
Aseme kwanini kawekwa lupango? Watamweka mtu lupango kwa sababu tu wamependa kufanya hivyo bila ya kuwepo sababu husika? 😳😳
Unawekwa lupango kwa tuhuma zinazokukabili ili uhojiwe. Haijalishi umetuhumiwa ugoni au kukojoa hadharani
 
Aseme kwanini kawekwa lupango? Watamweka mtu lupango kwa sababu tu wamependa kufanya hivyo bila ya kuwepo sababu husika? [emoji15][emoji15]

Mada husika hapa ni Kukutwa na kiasi kikubwa cha pesa! Hayo ya kushikiliwa kila mtu anajua kashikiliwa. Sasa sijui unatakaje? But najua umekuwa dissapointed sana na bado,subiri afutiwe tuhuma ndiyo utachoka zaidi.Unakumbuka ya Masamaki wa TRA?
 
Ndiyo upumbavu wa polisiccm wa kuwatia watu lupango bila kutangaza sababu husika za kufanya hivyo matokeo yake ni kuwapa mwanya wa kuwabambikia kesi Watanzania wengi wasio na hatia kesi mbaya za uchochezi, uhujumu uchumi etc. Unamtia mtu lupango sema hadharani sababu husika na kwamba uchunguzi unaendelea siyo kupiga kimya ili kuanza kutafuta cha kumbambikia.
Mada husika hapa ni Kukutwa na kiasi kikubwa cha pesa! Hayo ya kushikiliwa kila mtu anajua kashikiliwa. Sasa sijui unatakaje? But najua umekuwa dissapointed sana na bado,subiri afutiwe tuhuma ndiyo utachoka zaidi.Unakumbuka ya Masamaki wa TRA?
 
We jamaa una medula kweli? Mama Samia ndio alitoa agizo kwa takukuru, wao takukuru ndio wakaenda kumshikilia kutokana na report ya CAG.
Sasa siku ile mlikuwa mnashangilia nini report ya CAG huku ukiwa hujui kwa nini DG wa bandari anashikiliwa?
 
Ni loophole hiyo ya kutosema hadharani sababu husika za kumuweka lupango mtu bila ya kusema kwanini kawekwa lupango imetumiwa vibaya kuwaumiza Watanzania wengi sana kwa kubambikiwa kesi FAKE. Polisi inayotenda kazi zake kwa kufuata taratibu haiwezi kumtia hatiani raia bila ya kuweka hadharani sababu zilizosababisha waone umuhimu wa kumuweka lupango.
Unawekwa lupango kwa tuhuma zinazokukabili ili uhojiwe. Haijalishi umetuhumiwa ugoni au kukojoa hadharani
 
kwann tanroads?
tanroads imetoa rais
rais chuma wafanyakazi tanroads chumaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Hivi ni kwa nini taasisi za kiserikari zina ongozwa na mwanajeshi alaaa .amna watu wengine .adi tuanze kuchanganywa na jeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…