KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Na sisitiza hapo kwamba, hiyo kazi haiwezi kuwa ya mtu mmoja. Haiwezekani kamwe.Siku ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma utakapopigwa vita kwa vitendo na kwa nguvu zote ndo nchi itasonga mbele.
Halafu mtu mmoja huyo huyo anayetaka watu waone anapambana na ufisadi, yeye mwenyewe anaonyesha dalili zote za kuwa fisadi!