Duh,
BAK, umetokea wapi tena! Karibu sana, nilianza kuingiwa na wasiwasi kuhusu uwepo wako humu. Naomba nikupe tahadhari moja tu, viwavi vingi vimemwagwa humu na wapo wenzetu wachache wamesalimu amri na kuweka silaha chini kwa ule mtindo wa
if you can't fight them, join them.
Taasisi za serikali zilizokuwa mstari wa mbele zikihusishwa na ufisadi bado ziko pale pale...Jeshi la Polisi lipo pale pale, jukumu lao kubwa kwa sasa ni kuwashughulikia wanaokosoa serikali. Badala ya kuwalinda raia wema na mali zao, wamejikita katika kukilinda chuo cha Mafisadi
na wahitimu wake!