Sakata la Kampuni ya Lugumi: IGP na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani watupiana mpira

Sakata la Kampuni ya Lugumi: IGP na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani watupiana mpira

sasa hivi ni mtindo wa kutumia rungu kumuua innzi aliyeko kwenye kabati la kioo, kiwembe kumchuna nguruwe.
 
Hivi lumumba wanakulipa sh ngapi? Kama mshahara ni kidogo njoo uwe unamwagilia maua hapa ufipa utapata mshahara wa kutosha hivyo utapunguza matusi hayo
Kazi pekee ambayo nitakubali kufanya hapo ni Audit (Ukaguzi) wa matumizi ya pesa (ruzuku)...
 
Kaofisi kenyewe kadogo sana, nadhani we hujawahi hata kufika ofisini kwenu, uumejichimbia Igoma tu.
Teeeeeeh teeeeeh, naona vijana wa dentist mmechomoka majini kwa kupigania buku 7
 
Mkuu bado unawaamini hawa jamaa? katika miaka 10 ya utawala wa awamu ya nne pamoja na kushamiri sana kwa ufisadi na upokeaji rushwa walifanya nini? Usitegemee jipya kutoka kwa hawa si ajabu bajeti yao imeshakatwa kwa 80% watahangaika na vidagaa tu lakini mapapa wa ufisadi nchini kamwe hawawezi kuwasogelea karibu.

TAKUKURU mko wapi mbona kimya.Au waliotiwa ktk kashfa wapo juu yenu?
 
Tanzania Daima nanyi wachokozi! Hamjui hilo jipu limekaa pabaya sana - liktumbuliwa ina maana mhusika inabidi awe ameishaandika wosia! Haya ndio yale mzee wa 'wapigwe tu' alikuwa akiyasema 'ukiwagusa nchi itayumba'.
Taarifa ya habari usiku huu ITV wameongelea sawa tu Gazeti hilo
 
Mmeshaambiwa kampuni ya Lugumi ni Mali ya;

Ridhiwani Kikwete na
IGP Said Mwema

Hapo lazima danadana ziwepo.

Hawa nao wajinga sana, wamepewa mkataba mnono na kwa zaidi ya miaka mitano wameshindwa kufunga mashine ktk kila wilaya sawa sawa na mkataba wanategemea nini eti!!??

Aisee, acha tu watumbuliwe.......hakuna jinsi nyingine!!
 
Nimeona hii habari ITV muda huu.Hii issue Polisi na Wizara wote ni watuhumiwa tu.
Nakumbuka wakati uleee ZZK alivyowasweka ndani jamaa wa TPDC baada ya kushindwa kuwasilisha mikataba. Je kwa nini hawa jamaa wa Wizara ya Mambo ya Ndani, kwa maana ya Katibu Mkuu wa Wizara na IGP, wasisweke ndani?
 
Kama IGP alimsimamisha afisa manunuzi wake, mbona la kupeleka documents anasita? Au nae anamjengo mmoja kati ya hizo 40? Kwa katubu mkuu bado mgeni sana kwenye hiyo Wizara. Haelewi historia ya hicho kitu.
Kuja mambo hapo.
Tumpe muda mh,rais .Ninaimani atalishughulikia tatizo hili kwani hili ni jipu kama majipu mengine
 
Wanachokikwepa wote ni pale mmoja wao atakapotoa huo mikataba atakumbana na maswali ya fuatayo,
Je huu mkataba uliokabidhi una madudu au hauna madudu?
Kama una madudu umechukua hatua gani mpaka sasa?
 
Back
Top Bottom