Sakata la Kampuni ya Lugumi: IGP na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani watupiana mpira

Huyo katibu kama ndo wanasaini mikataba-wanini asiutoe?
Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya ITV usiku huu,Bunge limetoa siku tatu kwa Jeshi la Polisi kuwasilisha mkataba huo na document zingine.Agizo limetolewa kwa njia ya Barua baada ya maagizo ya mdomo kutotekelezwa.
 
Kakudanganya nani wewe? Katiba ya warioba mliikataa kwa ushabiki sasa leo mnalialia? Wacha muisome namba
Mmawia mi na wewe tuko reli moja lakini kama bunge(kamati) ikija na ripoti tofauti na ile iliyotoka kwamba vituo 14 tu kati ya 108 ndo vyenye fingerprint reader basi Magu atakuwa kafeli.

Ila naamini Magu yuko smart na kamati ya bunge inajua imetumwa, na inatakiwa isikosee maana aliyewatuma anajua ila wao inatakiwa wathibitishe ili ionekane hakuna kuingiliana kwa mihimili ya dola
 
Duh ndo umwite fisi aisee
Hao jamaa hawa kila siku wenyewe ni kulalamika tu..utawasikilia wakipiga kelele kuwa JPM anatekeleza Ilani ya Chadema...alafu dakika chache baadae wanajisahau wanasema kamanda ni dikteta...wamechanganyikiwa
 
Wanahangaika kuficha pembe la ng'ombe,halifichiki hilo!
 
Mmawia mi na wewe tuko reli moja lakini kama bunge(kamati) ikija na ripoti tofauti na ile iliyotoka kwamba vituo 14 tu kati ya 108 ndo vyenye fingerprint reader basi Magu atakuwa kafeli.

Ila naamini Magu yuko smart na kamati ya bunge inajua imetumwa, na inatakiwa isikosee maana aliyewatuma anajua ila wao inatakiwa wathibitishe ili ionekane hakuna kuingiliana kwa mihimili ya dola
Mkuu pole sana kama nimekukwaza
 
Hao jamaa hawa kila siku wenyewe ni kulalamika tu..utawasikilia wakipiga kelele kuwa JPM anatekeleza Ilani ya Chadema...alafu dakika chache baadae wanajisahau wanasema kamanda ni dikteta...wamechanganyikiwa
Umechanganyikiwa wewe unayeshinda lumumba kila siku ukipiga deki
 
Yale yale. Sinema imeanza....... Chezeya mwana wa mfalme. Vita vya Mafisadi ni ngumu sana kwa Magufuli. Sidhani huo mkataba utapatikana

Mkataba utapatikana tu. Leo Lugumi walikuwa kwa Rpc ....... Wakifuatilia delivery notes. Ni magumashi kwenda nyuma
 
Kazi ya kupiga deki sio dhambi...watanzania wengi wana sustain familiazao kwa hizo kazi za deki
Hivi lumumba wanakulipa sh ngapi? Kama mshahara ni kidogo njoo uwe unamwagilia maua hapa ufipa utapata mshahara wa kutosha hivyo utapunguza matusi hayo
 
Kuna maua upande gani pale palipozungukwa na mateja kiasi kile!
 
Back
Top Bottom