Sakata la Kampuni ya Lugumi: IGP na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani watupiana mpira

Sakata la Kampuni ya Lugumi: IGP na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani watupiana mpira

Kwani Luguma si anayo nakala ya huo mkataba. Kwa nini wasimtake awapatie copy kama ile nakala ya wizara ilishakuwa displaced na ma auditors/ accoutants kama ilivyo kawaida yao.
 
Nahisi wiki hii mtasikia .....kafanya mazungumzo na raisi ikulu. Mbona ruksa haendagi.....LOL
 
Magufuli anatumbua vipele tu lakini majipu hasa yenye uhusiano na viongozi wa chama na serikali thubutuu, alifananishwa na nguruwe na kaufyata, hawezi kugusa kiini cha jipu huyu usanii tu.
 
Wamepewa siku tatu ngoja tuone kama mkataba utatolewa.
 
Magufuli anatumbua vipele tu lakini majipu hasa yenye uhusiano na viongozi wa chama na serikali thubutuu, alifananishwa na nguruwe na kaufyata, hawezi kugusa kiini cha jipu huyu usanii tu.
Nimeona hii habari ITV muda huu.Hii issue Polisi na Wizara wote ni watuhumiwa tu.
 
Magufuli kajua mahali pa kuwashika watanzania akili, anajua akifukuza mtu kazi ataonekana amefanya maamuzi ya maana, ila wanaofukuzwa ni watu wadogo tu, kaona upepo wa Lugumi unavuma, kahamisha muelekeo kwa kumtumbua Kilango.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuna kila dalili hapa hakukuwa na mkataba au kama ulikuwepo basi wajanja wameshauiba na kuuchana ili kupoteza ushahidi katika hili sakata la mabilioni chungu nzima.
 
sinema kama ya Kitilya wa TRA, hapo IGP anamkwepa IGP Mstaafu kwa makosa ya Ritz1
 
Kwani mkataba hauwezi kufungwa hata ndani ya siku 2 hizi usiku wa manane tuwafumbe midomo wadanganyika?
 
Huyo katibu kama ndo wanasaini mikataba-wanini asiutoe?
 
Back
Top Bottom